Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,849
- 36,141
Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa!
Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu, niliwahi tuma 7m+ toka equity kwenda crdb na wakakata buku mpka nilihisi wamekosea!
Je hawa watu wamewekeana sanctions? Waliojaribu kutumia kadi ya nmb kwenda lipa namba ya voda je fees zikoje?
Mytake; cashless economy hapa bongo bado ina safari ndefu sana!