Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

wolverineGG

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2025
Posts
1,363
Reaction score
2,376
Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni??

Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha muda tu. Kwa mujibu wa dini, binadamu tupo katika uso wa dunia si zaidi ya miaka 4000, wakati historia na sayansi inasema tupo hapa almost 60M years. Na kabla yatu kunaviumbe (dinosaurs) waliishi zaidi ya miaka 200 Million years.

Sasa dhana ya dunia kuumbwa kwa siku tano alaf ya situ akaumbwa Adam ndo mpaka kuwepo sisi ni muda mchache sana ukilinganisha na ushaidi wa kisayansi tunaouna sasa.
 
Attachments

  • Dinosaurs_On_Earth_🌍_w__Neil_deGrasse_Tyson(360p).mp4
    1.3 MB
Kwasababu dini (Biblia na Quran) zimetungwa na watu ambao wanazidiwa elimu hata na mtoto aliyefika darasa la 3.
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika, let that sink in.

Kwahyo uelewa wao ndo uliishia hapo.
Wayahudi walotunga Biblia (ambapo Muhammad alikopi) Wanakuambia Dunia imeumbwa miaka 4000 iliyopita wakati dini tu ya kihindu imekuwepo takribani miaka 5000 iliyopita.

Sumerians walikuwepo Mesopotamia (Iraq Kwa sasa) takribani miaka 5000 iliyopita na walikuwa na dini zao na Miungu yao.
Ambapo ukifuatilia stori za Miungu yao nyingi zilikopiwa na kuingizwa kwenye Biblia.

Unajua hata stori ya Mungu kuzaliwa na bikra haijaanza Kwa Yesu?

Kuna Miungu wengi wa kale waliozaliwa na bikra. Kina Horus,Krishna, Mithra, nk.

Kwahyo dini ni stori za kale zinabumbwa na kuunganishwa kutengeneza dini nyingine, kama ambavyo Muhammad alivyochukua ukristo na uyahudi na akauchanganyia Mila za kiarabu akatoa uislamu.
 
Huu ni ukweli mgumu ambao ndugu katika imani na kondoo wa yesu hua hawataki kuusikia kabisa.. Nilisha bishana siku moja na mchumgaji flani kuhusu pyramids, kazi zake na nani alotengeneza... Hajui chochote kuhusu ancient civilizations, na bado anakua mkali anadai mungu aliyaumba ili yatukuze uumbaji wake. Nkamwambia ngoja nikukubalie, haya taja andiko.
 
Vp nawe unaamini ulikua sokwe ukabadilika au nimesoma vibaya
hakuna binadamu alowahi kua sokwe.. Zile hatua za mabadiliko ya binadamu zilitokea kwa vipindi tofauti na zilitoweka duniani kwa nyakati tofauti. hakuna hata mmoja aliebadilika spontaneously.
 
Kwahyo dini ni stori za kale zinabumbwa na kuunganishwa kutengeneza dini nyingine, kama ambavyo Muhammad alivyochukua ukristo na uyahudi na akauchanganyia Mila za kiarabu akatoa uislamu.
Asalamaleko ndugu zangu Muislamu
 
Kwasababu dini (Biblia na Quran) zimetungwa na watu ambao wanazidiwa elimu hata na mtoto aliyefika darasa la 3.
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika, let that sink in.

Kwahyo uelewa wao ndo uliishia hapo.
Wayahudi walotunga Biblia (ambapo Muhammad alikopi) Wanakuambia Dunia imeumbwa miaka 4000 iliyopita wakati dini tu ya kihindu imekuwepo takribani miaka 5000 iliyopita.

Sumerians walikuwepo Mesopotamia (Iraq Kwa sasa) takribani miaka 5000 iliyopita na walikuwa na dini zao na Miungu yao.
Ambapo ukifuatilia stori za Miungu yao nyingi zilikopiwa na kuingizwa kwenye Biblia.

Unajua hata stori ya Mungu kuzaliwa na bikra haijaanza Kwa Yesu?

Kuna Miungu wengi wa kale waliozaliwa na bikra. Kina Horus,Krishna, Mithra, nk.

Kwahyo dini ni stori za kale zinabumbwa na kuunganishwa kutengeneza dini nyingine, kama ambavyo Muhammad alivyochukua ukristo na uyahudi na akauchanganyia Mila za kiarabu akatoa uislamu.
Mudi alikuwa kilaza asiyejua hata herufi "a" leo hii eti ndio anaabudiwa na maelfu ya kobazi....😂

Mitoto ya Mudi ni mabumunda kweli!
 
Back
Top Bottom