mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,572
Kuna wanaoagiza tecno na kuziuza ila wao wanatumia Samsung na iPhones
[emoji23]
[emoji23]
Shida yetu watz hatutaki kufikirisha akili zetu,na hatujiwekei options nyingi za machaguzi kwa mfano mtu ana budget ya laki 3 mpk laki 5 anataka simu yenye hadhi sawa ya flagship za samsung,sony android n.k na watu kwenye machaguzi ya simu wanaangalia sana majina bada ya quality na features,kuna simu aina nyingi sana nzuri ambazo watu hawazipi priority na bei yake ni affordable mf nexus,moto x,g,e xiaomi, n.ksasa Africa ndio tunataka Substandard ? mkuu hiv tecno phantom 5 ni simu ya kuuzwa lak 8? bado utasema ni simu za africa
pia anza kuhesabu thread za matatizo ya tecno humu ndan kila siku ni majanga
mbona simu nzur zipo nying tu around lak 3 had 450
Asante kwa majibu mazuri but Chief-Mkwawa anaongelea vitu ambavyo viko beyond our normal mentality. Kama aina za display zinaharibu macho and the like, by that matter siwezi kupinga kwani mediatek yenyewe siiijuiTecno H6is far better than Huawei Ascend Y530. Having used both.
Tatizo nililogundua wengi wanaoponda Tecno hawajazitumia. Hebu walioponda hapa watuambie exactly walitumia Tecno ipi kwa muda gani na ilikosa nini. Having used different brands I can see "I'm rich can't eat beans" kind of mentality. Watanzania kwa kujikweza mh..!
Hahaha daah Mkuu soon Utahamia kwenye baiskel, sababu na yenyewe ni chombo cha usafirihahahahaha duuh lakini vyote ni vyombo vya usafiri vinamtoa mtu kutoka sehemu moja hadi nyingine...naoenda sana Nissan march!!
hahahaha tena baiskeli ndo nayoitumia mpaka sahizi huwa napenda vitu cheap si unajua uwezo hakuna mkuu umasikini mbaya sana usikie tu kwa kina sisi lakini usikukute mkuu sh 100 unaiona kama 1M daahHahaha daah Mkuu soon Utahamia kwenye baiskel, sababu na yenyewe ni chombo cha usafiri
Watumiaji wa tecno akili zenu huwa chenga sana, mfano mzuri tu ni katika kuandika kama watoto vile.
Kwanza tutake radhi wanaJF, samsung anapumulia gas kwa tecno!!??wabongo achen roho mbaya, kwanza mngetakiwa muwapongeze tecno kwa hatua waliyofikia......tecno katoka mbal sana, na asidanganye mtu tecno ni low qulity phone...kwangu ni big noooo....tecno exposure ndo inamsumbua tu lakin teyar ana reputation ya kutosha sokoni tu tofaut na akina iphone,htc na samsung wanauzia goodwill tu, mfano mzur ni matoleo ya samsung j1 na j1 ace ambapo wanajaribu kuteka szoko la chin ambalo tecno anawapa watu bidhaa yenye 5*, VILE VILE KWA IPHONE KATOA MATOLEO MADOGO YA IPHONE 6 et al ili kuwa moderate price kwa soko....bishen na kunanga muwezavyo ila tecno anaumiza vichwa wakorea na wachina wenzake....samsung anapumulia gas ssa iv kwan tecno ana affordable price ambayo low income earner anaweza kutia mguu....
YANGU NI HAYO TUU user wa boom j8.....
hyo itakuwa remix ya nilichosemaKwanza tutake radhi wanaJF, samsung anapumulia gas kwa tecno!!??
Kuwa serious japo kidogo
Katika hizo nyingi mbona tecno haimo?GSMARENA sio kipimo cha ubora wa simu, ile ni website kama website zingine ila tu ilitangulia kabla ya website zingine na kupata umaarufu kipindi hicho watu hawajafunguka kimtandao. I am not biased lakini sio kwamba kilichopo GSMArena ndio bora!!
pale kuna simu za kichina nyingi sana
Intex
Xiaomi
hisense na wachina wengine.
kinachofanya GSMARENA ni contribution za wasomaji, ndio maana wameweka ilani mwisho wa specs za kila simu:
Disclaimer. We can not guarantee that the information on this page is 100% correct
wanafanya hiv nn[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji116]Hahaha halafu wamiliki wa techno siku hizi Wana tabia ya kufuta label kwenye simu zao na kuivisha kasha, hahah sijui kwanini hawapendi kuonyesha superbrand phone yao.
Hii haimaanishi kuwa haina kiwango.Tecno Mobile is a Chinese mobile phone manufacturer. The company was started in July 2006 in Hong Kong with its first research and development centre in Shanghai, China. Tecno Mobile was founded as Tecno Telecom Limited, but later changed its name to Transsion Holdings with Tecno Mobile serving as one of its subsidiaries. Initially, Tecno focused its business on the South Asia market. However, following market research conducted in South East Asia, Africa and Latin America, the company found that Africa was the most lucrative region.[1] As a result of this, in 2008, it stopped doing business in Asia to exclusively focus on Africa.
Kampuni ya Tecno ni kampuni ya kichina ya utengenezaji simu. Kampuni hii iliasisiwa july 7 2006 katika mji wa Hong Kong ambapo utafiti wake wa kwanza na kituo chake ilikuwa Shanghai,China. Kampuni ya Tecno ilianza kama Tecno Telecom Limited, na baadae kubadilishwa jina na kuwa Transsion Holdings pamoja na Tecno mobile kama wasaidizi wake. Mwanzoni, Tecno iliwekeza sana biashara zake katika soko la kibiashara la kusini mwa Asia . Licha ya , kufuatiwa na utafiti uliofanywa kusini mashariki mwa Asia,Afrika na Amerika ya kilatini (South America), kampuni iligundua kwamba Afrika ndio sehemu itakayozalisha faida kubwa. Namatokeo yake 2008, ikasimamisha kufanya biashara ndani ya Asia na kuangalizia bara la Afrika zaidi.
Hapa nahitimisha kuwa tecno ni Afrika tu!
Hii haimaanishi kuwa haina kiwango.
Boom J8 - Device Highlights
Operating System: HiOS (Based on Android 5.1)
Network: GSM/WCDMA/LTE
Band: GSM:900/1800
WCDMA:900/2100
LTE:Band B3/7/20
Dimension: 76.84*153.3*7.35mm
Connectivity: Wi-Fi, BT, GPS
Processor: Quad-core
Display: 5.5" HD IPS Touchscreen
Camera: 13.0 MP AF Back Camera with Flash
5.0 MP Front Camera with Flash
Memory: 16GB ROM + 2GB RAM
Expandable Micro SD, up to 128 GB
Battery Capacity: 3000mAh
Kuna wanaoagiza tecno na kuziuza ila wao wanatumia Samsung na iPhones
[emoji23]
Sasa unalinganisha simu ya miaka 5 ilopita na simu ya mwaka Jana..Mke wangu anatumia tecno c8 , mie natumia samsung galaxy s2 naona kama tecno iko vizuri battery iko sana mambo mengine naona yanalingina tu