Xiaomi ni cm nzuri sana na wanaipa presha iphone kwenye soko la simu asia na marekanisasa mkuu xiaomi utafananisha na tecno?
Tecno Telecom Limited - TECNO C8 - Kama aina iliyotajwa haioani na simu yako, ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani ITAFUNGIWAtecno na itel magumashi sana ndio maana hawatambuliki gsmarena.hata ukiinstal cpuz ktk simu hizi utaambiwa unknown manufacture sasa kama mtengenezaji hajulikani kwa nn watu wanakurupuka sana na hizi akina tecno?nunueni simu zenye viwango mfaidi pesa zenu.any way subirini tarehe 16/6 muone mitecno itakavyozimwa na tcra tehetehetehe
Mkuu vp zle za kkoo mbona hazitoki? Xiaomi zimekaa kichina zaidiXiaomi ni cm nzuri sana na wanaipa presha iphone kwenye soko la simu asia na marekani
Hazitoki watu hawajazielewa tu na wao xiaomi hawajajitangaza africa vizuri lkn ni nzuri sana na imaraMkuu vp zle za kkoo mbona hazitoki? Xiaomi zimekaa kichina zaidi
hahahahaha duuh lakini vyote ni vyombo vya usafiri vinamtoa mtu kutoka sehemu moja hadi nyingine...naoenda sana Nissan march!!Hahaha ni Sawasawa na mtu kusema anajisikia vibaya akiendesha VX V8 lkn akiendesha NISSAN MARCH anakua comfortable Zaid hahah
ShikamooHuwa nashangaa sana...utakuta mtu anatumia dvd player au tv au blenda ya singsung halafu kwenye simu ndio anajifanya mtu wa viwango kwa kutumia sijui galaxy,htc au iphone..huu si u.f.a.l.a.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani we acha kabisaHaya tajiri wahi kulala kesho ukapande daladala mapema kabla ya foleni. Watanzania kwa kujivuna na kujikweza mh..!
Kama vitu gani? Acha kujifariji nduguTecno c8 inauzwa laki3 ina vitu adimu kama samsung za laki 9. Sasa kwani mi bwege, Tecno ndo habari ya mjini
ina maana hupendi makelele? Rington za tecno zina makelele sana, yaani utadhani redio ya bodabodaKama kuna simu zisizo na ubora ni hizi tecno wala hata sifikirii kuzitumia ni mtazamo tu
To conclude without evidence is a critical mistake... Binafsi napenda kufanya benchmarking ya performance za simu nazokua nazo, nimewahi kuwa na tecno j7 na h6 lakini specs zilizo ainishwa na tecno ziliwiana pia kwenye benchmarking software kama antutuSimu za Tecno Wana specifications za uongo. Wakiandika 1gb Ram lakini ni nusu yake. Processor 1.5-1.2ghz ujue ni nusu yake. Wana uongo sana ndio maana chukua samsung ya - 1gb inakuwa 512 mb. Kila kitu ni nusu ya specifications waizoandika apo
xiaomi hawauzi simu huku east africa kuna kesi mahakamani na mi phone mpaka ikiisha ndio wataanza. kuna uwezekano mkubwa hizo ulizoziona ni fake sababu hawa jamaa hupenda kuuza simu kwa flash sales wanaleta unit 100,000 zinaisha ndani ya dakika mnasubiri tena hadi zije nyengine. bei zao mara nyingi ni nusu au robo ya bei ambazo makampuni mengine yanatozaMkuu vp zle za kkoo mbona hazitoki? Xiaomi zimekaa kichina zaidi
HhhhaaaaaHahaha halafu wamiliki wa techno siku hizi Wana tabia ya kufuta label kwenye simu zao na kuivisha kasha, hahah sijui kwanini hawapendi kuonyesha superbrand phone yao.
umenikosesha amaniUnanikwaza
Magumashi kuanzia specification,kuwa substandard na mbaya zaidi sio orignal huwezi kuishtaki tecno,hakuna kiwanda rasmi kinachotambulikaShida ni substandard mkuu
Gsmarena hawez poteza mda wake kuchambua simu za magumashi
Simu ya 2000mAh utuandikie ni 4000mAh is it possible?
Mkuu tecno ni substandard phone,bora utumie huawei y 530 kuliko tecno phantom,ndo mana hata iweje huwezi kukuta tecno inauzwa zaidi ya 1MMkuu mbona hapo unazungumzia batteries!!
Tatizo letu kuu Wantanzania ni dhalau, jamaa kawaeleza vizuri tu kwamba Tecno zimehundwa mahsusi kwa ajili ya soko la Africa zinakua assembled Nigeria kama sikosei - huo ndio ukweli wenyewe, lakini wakuja watu humu na kuanza kuziponda ponda na kuafanya watu wanao tumia TECNO as if wana walakini fulani au ni maskini sana!!
Ni sub standard,Hivi kama tecno phantom-z nayo ni ya low quality!?... This is insane...