Unataka nilinganishe na s6?Sasa unalinganisha simu ya miaka 5 ilopita na simu ya mwaka Jana..
Unataka nilinganishe na s6?Sasa unalinganisha simu ya miaka 5 ilopita na simu ya mwaka Jana..
Yani hata Phantom itayotako 2018 haitofikia hata theluthi ya s6.. Linganisha c8 na Samsung j3, Samsung A8, Samsung j5 ndio simu zilizopo kwenye category maana hizi ndio zipo kwenye Low-Medium end segmentUnataka nilinganishe na s6?
Mi naona watu wanazarau anayetumia tecno lakini ukichunguza inakidhi mahitaji ya soko walilolenga....wanatumia vitu basic sanaYani hata Phantom itayotako 2018 haitofikia hata theluthi ya s6.. Linganisha c8 na Samsung j3, Samsung A8, Samsung j5 ndio simu zilizopo kwenye category maana hizi ndio zipo kwenye Low-Medium end segment
Yani hata Phantom itayotako 2018 haitofikia hata theluthi ya s6.. Linganisha c8 na Samsung j3, Samsung A8, Samsung j5 ndio simu zilizopo kwenye category maana hizi ndio zipo kwenye Low-Medium end segment
Habari mkuu Chief-Mkwawa naomba msaada wako wa Link nzr ya ku analyse/ku evaluate Simu (Inayo onesha specifications, strengths, weaknesses and ina icompare na simu nyingine). Kuna jamaa mmoja aliweka hiyo Link hapa leo nimejaribu kuisearch nimekoswa (nadhani Key word ndio issue). Msaada tafadhali mkuu.Tecno wenyewe hawajui specs za simu zao, mara kibao wanatoa simu ikiwa na specs za uongo au specs ambazo hazijakamilika
Habari mkuu Chief-Mkwawa naomba msaada wako wa Link nzr ya ku analyse/ku evaluate Simu (Inayo onesha specifications, strengths, weaknesses and ina icompare na simu nyingine). Kuna jamaa mmoja aliweka hiyo Link hapa leo nimejaribu kuisearch nimekoswa (nadhani Key word ndio issue). Msaada tafadhali mkuu.
Ahsante mkuu. Nilimaanisha mf naandika Samsung J1 hiyo Link inaleta Picha, specifications za simu husika, weaknesses na strengths za simu husika. Nashukuru kwa hii dozi ya kutosha pia.mkuu sijui unamaanisha ipi ila ipo hii
Versus. Compare mobile phones, cameras, tablets, cities, camcorders, e-readers, MP3 players, headphones, mobile phone headsets, monitors, projectors, PC and gaming headsets, combo washer dryers, scanners, speakers, televisions, tumble dryers, voice recorders, washing machines
unaandika iphone 6 vs galaxy s6 inakuletea faida na hasara ya kila moja
ingia google andika simu husika halafu kwa mbele eka neno reviewAhsante mkuu. Nilimaanisha mf naandika Samsung J1 hiyo Link inaleta Picha, specifications za simu husika, weaknesses na strengths za simu husika. Nashukuru kwa hii dozi ya kutosha pia.
Ahsante mkuuingia google andika simu husika halafu kwa mbele eka neno review
Techradar wana review nzuri sana hao jamaaingia google andika simu husika halafu kwa mbele eka neno review
yap nimewacheki hapa wapo vizuriTechradar wana review nzuri sana hao jamaa