Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
kuna mtu humu aliwahi kutudanganya Tecno wana kiwanda Hong Kong nikampigia mahesabu kama Apple wangejenga kiwanda/campus Hongkong basi wangefilisika sembuse Tecno,H
Hacheni tabia zenu za kutisha tisha watu, kama nia yako ni kutangaza biashara tangaza kwa kutumia lugha ya kistaarabu, umepata taarifa wapi inayo sema TECNO ni simu fake? Hivi una habari kwamba simu nyingi.mnazo zipigia debe zina kua assembled in Dubai.
wewe unatumabia kwamba Dubai nako kuna sehemu wana assemble unajua square mita moja ya ardhi ni shilingi ngapi? kiwanda kipya cha cha foxconn india ni mamilioni ya sqf huwezi ukakieka mji kama dubai na hakuna kampuni yoyote duniani yenye akili ambayo haitaki kufilisika itaeka kiwanda pale