Asirudie tena!
calm down gentleman plz
Huenda ikwawa ni kweliJe Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.
sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.
Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?
Mungu Ibariki Tanzania.
Mfia dini kaa kwa kutulia, hao TEC wapuuzi tuMkuu Tilatila, Tlaatlaah , with due respect, nakuomba usitake kutupeleka huko, tukaishia kuhitlafiana kwa mambo ya kiimani. TEC ndie msimamizi wa Wakristo Wakatoliki Tanzania, ni taasisi iliyosimama wima iko very straight, haitaki ujinga, wala usiingize kwenye mambo ya kijinga!, hawawezi kushiriki ujinga!.
Kitendo cha TEC Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli kuwa TEC wako straight, hawawezi kushiriki ujinga!.
Kwa vile baada ya tumme ya Uchunguzi, inaundwa tume jinai, kama una ushahidi wa TEC kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025 na wewe ni shuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakati uchaguzi mkuu wa oct upeleke kwenye Tume jinai!.
Kwa kawaida, TEC, hawatakagi ujinga kabisa!. Hata Baba wa Taifa, angekuwa hai, asingeshiriki ujinga kama huo, yule Mzee ni Mkatoliki, hatutakagi kabisa ujinga!.
Hakuna dhehebu jingine lolote ambalo linaiombea nchi hii na kuliombea taifa hili kama Kanisa Katoliki!.
Madhebu mengine na wachungaji, maaskofu, manabii na mitume wetu pia wanaliombea taifa, ila wengi wao, maombi yao ni ya kichawa chawa, kuna mtu akiboronga, hawathubutu kukemea!, Kanisa Katoliki, hatutaki ujinga, ukituletea mambo ya ujinga, tunakemea na hatujali nani ni nani!, tunamkemea!.
GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!
P
Kwanza sina uhakika na usahihi wa hizi takwimu zako, ila hili swali la TEC kutoa sana Waraka wakati wa Rais akiwa ni wa upande wa pili, nilimuuliza Father Kitima.Mfia dini kaa kwa kutulia, hao TEC wapuuzi tu
Kama wanakemea, kwanini wanakemea kwa selective order
View attachment 3580370
Shikamoo brother Pasco!Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , with due respect, nakuomba usitake kutupeleka huko, tukaishia kuhitlafiana kwa mambo ya kiimani. TEC ndie msimamizi wa Wakristo Wakatoliki Tanzania, ni taasisi iliyosimama wima iko very straight, haitaki ujinga, wala usiingize kwenye mambo ya kijinga!, hawawezi kushiriki ujinga!.
Kitendo cha TEC Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli kuwa TEC wako straight, hawawezi kushiriki ujinga!.
Kwa vile baada ya tumme ya Uchunguzi, inaundwa tume jinai, kama una ushahidi wa TEC kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025 na wewe ni shuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakati uchaguzi mkuu wa oct upeleke kwenye Tume jinai!.
Kwa kawaida, TEC, hawatakagi ujinga kabisa!. Hata Baba wa Taifa, angekuwa hai, asingeshiriki ujinga kama huo, yule Mzee ni Mkatoliki, hatutakagi kabisa ujinga!.
Hakuna dhehebu jingine lolote ambalo linaiombea nchi hii na kuliombea taifa hili kama Kanisa Katoliki!.
Madhebu mengine na wachungaji, maaskofu, manabii na mitume wetu pia wanaliombea taifa, ila wengi wao, maombi yao ni ya kichawa chawa, kuna mtu akiboronga, hawathubutu kukemea!, Kanisa Katoliki, hatutaki ujinga, ukituletea mambo ya ujinga, tunakemea na hatujali nani ni nani!, tunamkemea!.
GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!
P
Kwanza sina uhakika na usahihi wa hizi takwimu zako, ila hili swali la TEC kutoa sana Waraka wakati wa Rais akiwa ni wa upande wa pili, nilimuuliza Father Kitima.
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=v4HkSz4vHlCdKQHJ
Msikilize alijibuje
P.
You have shown appology,nahifadhi tusi la kilatinii'm sory mwalimu Pascal Mayalla, i'm sory TEC & wadau wote wa heshima sana wa JF.
Moderator plz, hata kama kufuta uzi sio utaratibu basi walau naomba kufungiwa uzi huu ili walau kuepuka kuwakwaza wadau wengi zaid muhimu na waheshima sana wa JF.
i'm very sory to all once again
Binadamu tunatofautiana sana uwezo wa kusikiliza kitu na uwezo wa kuelewa, kwani kuna swali ameulizwa kuhusu idadi ya matamko?.Out of the question !
Hakuna alichoongea kuhusu idadi ya matamko
Pasco, jibu swali acha mbaambaaBinadamu tunatofautiana sana uwezo wa kusikiliza kitu na uwezo wa kuelewa, kwani kuna swali ameulizwa kuhusu idadi ya matamko?.
P
Ujinga mzigo.Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.
sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.
Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?
Mungu Ibariki Tanzania.
Nyerere aliwahi kukiri kwamba kanisa katoliki liliwahi kimpinga na kumtenga.Mfia dini kaa kwa kutulia, hao TEC wapuuzi tu
Kama wanakemea, kwanini wanakemea kwa selective order
View attachment 3580370
Alikuwa anatuzuga tuNyerere aliwahi kukiri kwamba kanisa katoliki liliwahi kimpinga na kumtenga.
Elrwa sentensi "waliwahi kumpinga na kumtenga" sio kumkataa. Walimrudisha kwenye mstari baada ya kujirisha amefanyia kazi waliyomshauri ayafanyie kazi.Alikuwa anatuzuga tu
Wakati mpaka alimteua Kadinali kuwa msaidizi na mshauri wake
View attachment 3580481
Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , with due respect, nakuomba usitake kutupeleka huko, tukaishia kuhitlafiana kwa mambo ya kiimani. TEC ndie msimamizi wa Wakristo Wakatoliki Tanzania, ni taasisi iliyosimama wima iko very straight, haitaki ujinga, wala usiingize kwenye mambo ya kijinga!, hawawezi kushiriki ujinga!.