PostGE2025 Kwanini TEC hawakutoa ushirikiano kwa Tume ya Jaji Chande?

PostGE2025 Kwanini TEC hawakutoa ushirikiano kwa Tume ya Jaji Chande?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.

Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.

sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.

Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.

Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?

Mungu Ibariki Tanzania.
Hiyo Tume imeundwa na nani?
 
Mkuu Tilatila, Tlaatlaah , with due respect, nakuomba usitake kutupeleka huko, tukaishia kuhitlafiana kwa mambo ya kiimani. TEC ndie msimamizi wa Wakristo Wakatoliki Tanzania, ni taasisi iliyosimama wima iko very straight, haitaki ujinga, wala usiingize kwenye mambo ya kijinga!, hawawezi kushiriki ujinga!.

Kitendo cha TEC Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli kuwa TEC wako straight, hawawezi kushiriki ujinga!.

Kwa vile baada ya tumme ya Uchunguzi, inaundwa tume jinai, kama una ushahidi wa TEC kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025 na wewe ni shuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakati uchaguzi mkuu wa oct upeleke kwenye Tume jinai!.

Kwa kawaida, TEC, hawatakagi ujinga kabisa!. Hata Baba wa Taifa, angekuwa hai, asingeshiriki ujinga kama huo, yule Mzee ni Mkatoliki, hatutakagi kabisa ujinga!.
Hakuna dhehebu jingine lolote ambalo linaiombea nchi hii na kuliombea taifa hili kama Kanisa Katoliki!.
Madhebu mengine na wachungaji, maaskofu, manabii na mitume wetu pia wanaliombea taifa, ila wengi wao, maombi yao ni ya kichawa chawa, kuna mtu akiboronga, hawathubutu kukemea!, Kanisa Katoliki, hatutaki ujinga, ukituletea mambo ya ujinga, tunakemea na hatujali nani ni nani!, tunamkemea!.

GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!
P
Ila wewe jamaa una ndimi mbili.
 
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.

Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.

sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.

Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.

Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?

Mungu Ibariki Tanzania.
hao walsihakuambia wana hoispitali na dhahanati nchi nzima, kwahiyo wanajua idadi ya majerudi na vifoo vya wagonjwa waliofika hospitali zao.
 
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Ni kwa kuwa walijua lile lilikuwa genge la Wahuni lenye lango la kuhadaa wajinga na kuwasafisha wauaji
 
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.

Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa TEC walivyohubiri chuki na walivyotamani fujo, vurugu, maafa na uharibifu kutokea katika wakato uchaguzi mkuu wa oct.

sheria ni msumeno, na mkono wa sheria ni mrefu kuliko wanavyodhani.

Ni muhimu sana mamlaka za nchi kuwadhibiti kuwazuia wahusika wasitoke nje ya mipaka ya Tanzania.

Kulikoni wasiisaidie tume ya uchunguzi?

Mungu Ibariki Tanzania.
TEC walishavuka hatua ya usanii na ujinga. Hawawezi kwenda kutoa ushahidi wowote kwa tume ya rais yenye lengo la kuficha ukweli
 
Ww ukiitwa tume ya kujadili utamunwa ushoga utaenda?
 
TEC siyo Wanafiki! Hawako tayari kushiriki dhambi ya Umwagaji damu.
Uzuri wao walionya,walitahadharisha kuwa Taifa linakwenda pabaya,lakini serikali ikaziba masikio! Sasa mnawatakia nini tena?
Walishatimiza wajibu wao wanaiangalia serikali jinsi inavyotapatapa.
ila wako tayari kulawiti vijana wa kiume na kufanya ngono na wake za waamini wao right??
 
Back
Top Bottom