Kwanini Tanzania haina Income Tax Treaty na Marekani (USA)?

Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Mpaka hapo tu Mmarekani kashapata objection.

Atakwambia tax inatakiwa kuwa target raia wote sawasawa, ukileta mfumo wa tax unao wa target raia walio nje kwa njia ambayo hauwa target raia walio ndani, mfumo huo una discrimination na haufai kuwepo katika mikataba ya Marekani.

TRA watasema nini?
Nitaendelea kutofautiana na wewe kwenye suala hili.

Unapotoa kauli hiyo hapo juu unapingana na kauli nyingine uliyoitoa hapo nyuma kuwa Marekani kuna kiwango cha chini cha kipato, nadhani ulisema $12,000 ambacho kama mtu hajakifikia halazimiki kisheria kufile na kudeclare kipato chake.

Swali ni Tanzania tuna kipengele kama hicho katika sheria za kodi? Na kama kipo hiko kiwango ni kipi? Kwa hiyo suala siyo discimination katika kodi, suala ni sheria kuwekwa wazi zinasemaje na kusimamiwa.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Je haitasababisha double taxation ?

Mathalani katika situation kama hii

Tanzania ikatoza kodi kuzingatia source of income

Marekani ikawa inatoza kodi kuzingatia residence ya mlipa kodi

Umetengeneza income tanzania ambayo inazingatia source of income na wewe ni resident wa marekani huoni kuwa hapa kutakuwa na double taxation ?
Issue zote hizo zinaangaliwa katika mkataba huo nia ni kuepuka hiyo double taxation. Kwa hiyo scenarios zote zinaangaliwa.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Nyie mnajifurahisha tu. Pamoja na kuwepo mpango wa Agoa Tanzania imeitumiaje hiyo fursa, hamna kitu.

Tanzania imebakia na siasa za kibabe tu za kuwaonea wapinzani lkn kwenye kufanya mambo positive ya kuweza kuinufaisha nchi ni ziro kabisa. Very hopeless indeed.
AGOA ina fursa kibao, tena Obama kahimiza sana.

Ila mpaka leo watu wanapigwa show za koroshow.

Mimi nikienda supermaket Marekani kifuko kidogo cha korosho hata gram 200 hakifiki kinauzwa $20. Tena hapo kwa wajanja tunaojua bei rahisi.

Halafu tunataka kuongea habari za treaty ya kodi.
Sipingani na nyie linapokuja suala la mapungufu yetu makubwa katika utekelezaji wa mikataba na kulalia fursa mbalimbali zilizopo kimataifa. Nimeshawahi kulitolea maoni yangu siku za nyuma katika mada mbalimbali. Ili nisiondoke kwenye mada, nitaepuka kujikita huko kwa sababu najua nitatoka kabisa kwenye reli.

Mwisho wa siku, swali ni tufanyeje? Tujikalie tu chini kimya na tujikatie tamaa au tuendelee kupiga kelele ili siku moja kuwe na uwajibikaji na wahusika waamke?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,324
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,324 2,000
Nitaendelea kutofautiana na wewe kwenye suala hili.

Unapotoa kauli hiyo hapo juu unapingana na kauli nyingine uliyoitoa hapo nyuma kuwa Marekani kuna kiwango cha chini cha kipato, nadhani ulisema $12,000 ambacho kama mtu hajakifikia halazimiki kisheria kufile na kudeclare kipato chake.

Swali ni Tanzania tuna kipengele kama hicho katika sheria za kodi? Na kama kipo hiko kiwango ni kipi? Kwa hiyo suala siyo discimination katika kodi, suala ni sheria kuwekwa wazi zinasemaje na kusimamiwa.
Wewe unayetaka mkataba na Wamarekani una majibu ya maswali yako?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,324
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,324 2,000
Sipingani na nyie linapokuja suala la mapungufu yetu makubwa katika utekelezaji wa mikataba na kulalia fursa mbalimbali zilizopo kimataifa. Nimeshawahi kulitolea maoni yangu siku za nyuma katika mada mbalimbali. Ili nisiondoke kwenye mada, nitaepuka kujikita huko kwa sababu najua nitatoka kabisa kwenye reli.

Mwisho wa siku, swali ni tufanyeje? Tujikalie tu chini kimya na tujikatie tamaa au tuendelee kupiga kelele ili siku moja kuwe na uwajibikaji na wahusika waamke?
Get political will from the top. Get real commitment at the presidential level. Tena mtu kama Magu anapenda sana kukusanya kodi, sijui kama kuna a strong case inekuwa built.

Bila hilo, hapa tunafanya academic exercise kujadili kama tupo chuoni.

Kwa sababu haya ni mambo ambayo policymakers wakiyawekea seriousness yanafanyika, hata kama kuna vikwazo vinaweza kufanyiwa kazi.

Otherwise, tuendelee na soga tu hapa.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Get political will from the top. Get real commitment at the presidential level. Tena mtu kama Magu anapenda sana kukusanya kodi, sijui kama kuna a strong case inekuwa built.

Bila hilo, hapa tunafanya academic exercise kujadili kama tupo chuoni.

Kwa sababu haya ni mambo ambayo policymakers wakiyawekea seriousness yanafanyika, hata kama kuna vikwazo vinaweza kufanyiwa kazi.

Otherwise, tuendelee na soga tu hapa.
Sawa sawa.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
9,115
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
9,115 2,000
Hii kauli ina ukweli fulani ila mchungu na haitabadilika bila Watanzania na siasa zetu hazijabadilika. Inasikitisha na kutia huruma.
Halafu unataka treaty kati ya IRS na TRA?
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Halafu unataka treaty kati ya IRS na TRA?
Nadhani itakayofaidika ni nchi. Ndiyo maana nikasema inahitajika mabadiliko ya fikra ili wananchi wajue wanahitaji kufanya nini ili viongozi wao wabadilike na kuwaletea maendeleo wanayoyataka.

Kukaa tu kimya na kutumaini siku ifike ambayo viongozi wataamua wenyewe walete mabadiliko hayo kama wengine wanavyoshauri siyo njia sahihi. Huo ni mtazamo wangu tu.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
9,115
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
9,115 2,000
Nadhani itakayofaidika ni nchi. Ndiyo maana nikasema inahitajika mabadiliko ya fikra ili wananchi wajue wanahitaji kufanya nini ili viongozi wao wabadilike na kuwaletea maendeleo wanayoyataka.

Kukaa tu kimya na kutumaini siku ifike ambayo viongozi wataamua wenyewe walete mabadiliko hayo kama wengine wanavyoshauri siyo njia sahihi. Huo ni mtazamo wangu tu.
Mabadiliko ya fikra kwa viongozi wa sasa?
 
Forum statistics

Threads 1,336,684
Members 512,696
Posts 32,547,592
Top