Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
- Thread starter
- #81
Mpaka hapo tu Mmarekani kashapata objection.
Atakwambia tax inatakiwa kuwa target raia wote sawasawa, ukileta mfumo wa tax unao wa target raia walio nje kwa njia ambayo hauwa target raia walio ndani, mfumo huo una discrimination na haufai kuwepo katika mikataba ya Marekani.
TRA watasema nini?
Nitaendelea kutofautiana na wewe kwenye suala hili.
Unapotoa kauli hiyo hapo juu unapingana na kauli nyingine uliyoitoa hapo nyuma kuwa Marekani kuna kiwango cha chini cha kipato, nadhani ulisema $12,000 ambacho kama mtu hajakifikia halazimiki kisheria kufile na kudeclare kipato chake.
Swali ni Tanzania tuna kipengele kama hicho katika sheria za kodi? Na kama kipo hiko kiwango ni kipi? Kwa hiyo suala siyo discimination katika kodi, suala ni sheria kuwekwa wazi zinasemaje na kusimamiwa.