Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

Screenshot_20240315-144040_X.jpg
 
Mm nadhani tujikite kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya mama hodari Samia kufanikisha mlo.
2025 mama apite bila uchaguzi
Ni kweli au ndo utani?

Kama ndo ukweli wa fikra zako;
  • Ni muda muafaka sasa kwa wewe kukabidhi kifaa unachotumia kutolea maoni kwa wenye maoni.
  • Mwijaku + Doto Magari/Baba Levo = Wewe
  • Ile wanayosema(ga), "mwenda tezi na omo, marejeo ngamani", basi wewe ndo Omo, Mama ni tezi.

Hivi lengo la BiBiTi....ti ni nini?
 
Hakuna jinsi ya kuwadunisha watu kama kuwapa chakula cha bure. Licha ya nchi yetu kua na chakula cha kutosha adui atataka akupe chakula na kukufanya kuamini huna uwezo kujilisha.

Sijui hii awamu yenye vichwa kama cha yule kipara kibaraka wa ubeberu anayejiamini bure wanaelewa hili.

Kama taifa nchi inayotaka kutupa chakula cha bure tuwe wapole na kuwaeleza shida yetu nyingine kama wanataka kutupa vya bure ili kutufanya tuamini sisi ni maskini na ni watu wa kusaidiwa tu.
 
Back
Top Bottom