Kwanini Tanzania haina Income Tax Treaty na Marekani (USA)?

Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,391
Points
2,000
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,391 2,000
Keynez anataka mpaka Watanzania wanaoishi Marekani walipe kodi Tanzania, au IRS ilipe sehemu ya kodi yao Tanzania.
Tax treaties nyingi huwa hazirihusu double taxation.
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
771
Points
1,000
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
771 1,000
I support the idea, and probably you may have not read such treaties in detail. They have clauses against double taxation.

Taxes are not always paid at the moment you get paid, they are only paid at the end of a certain period of time, norammly annually or quarterly after putting together the total income in that period. A Tanzanian resident in USA will pay tax in USA, not in Tanzania; however, a Tanzanian visiting USA for a day and makes money from acts such as winning lottery, making a paid speech or perfoming arts shows does not pay tax in USA because he/she is not resident, so he/she has no tax number or social security number. Unfortunately such income also does not reflect in his/her taxes in Tanzania; that is when tax treaties come into play.
IRS gets withholding tax for non-resident aliens.
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,391
Points
2,000
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,391 2,000
IRS gets withholding tax for non-resident aliens.
Hizo ndiyo pesa zinazopotea tu kwa vile wahusika hawajui sheria. Federal tax withholding yoyote lazima iambatane na Social Security Number (SSN) au Tax Identification Number (TIN). Kama wewe siyo resident huwezi kuwa na namba hizo, kwa hivyo hutakiwi kuwa na witholding yoyote kwenye income yako. Of course kuna sheria nyingine zitakazokubana kuwa kama wewe huna namba hizo inakuwaje unapata income nchini, hata hivyo kuna utaratibu mwingine wa kushughulikia katika hali kama mtu anayaeingia nchini kwa muda mfupi na kulipwa chini ya makubaliano yaliyomleta.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Unataka kuangalia mambo kwa mtazamo chanya wakati IRS wakiuliza ubalozi wa Marekani Tanzania vipi serikali ya Tanzania inatoza kodi Tanzania wanaambiwa hapa hakuna kodi kuna a Shylocking system?
Mkuu hakuna mfumo ulio perfect duniani. Suala ni kila siku kutochoka kuangalia jinsi ya kufanya maboresho, ndiyo maana tuko hapa tunajadiliana mambo mbalimbali.

Kutoa tu malalamiko au kuwa dismissive kwa mawazo ya watu bila kutoa mawazo mbadala hakumsaidii yeyote yule. Tusifanye kama vile hakuna malalamiko na mapungufu katika mifumo ya kodi Marekani.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,323
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,323 2,000

Hakuna mfumo ulio perfect, perfection is an illusion to be pursued but never attained. Wengine wameenda mbali na kusema mfumo ulio perfect ni ule ambao haupo.

Having said that, hilo halimaanishi kila mfumo tuukubali tu, kwa sababu hakuna mfumo perfect.

Katika nchi zote za Africa, US ina tax tearies na nchi tatu tu. Egypt, Morocco na South Africa.

Hujajiuliza kwa nini? Nchi nyingine zote za Africa hazitaki kuwa na tax treaty na US?
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Hizo ndiyo pesa zinazopotea tu kwa vile wahusika hawajuia sheria. Federal tax withholding yoyote lazima iambatane na Social Security Number (SSN) au Tax Identification Number (TIN). Kama wewe siyo resident huwezi kuwa na namba hizo, hutakiwa kuwa na witholding yoyote kwenye income yako. Of course kuna sheria nyingine zitakazokubana kuwa kama wewe huna namba hizo inakuwaje unapata income nchini, hata hivyo kuna utaratibu mwingine wa kushughulikia hali kama mtu anayaeingiwa nchini kwa muda mfupi na kulipwa chini ya makubaliano yaliyomleta.
Kodi ya mapato inayopotelea nje ya nchi hasa katika nchi zilizoendelea na zenye idadi kubwa ya Watanzania wanaolipa kodi huko ni uzembe wa hali ya juu.

Sioni hii kitu ikimuumiza mtu. Income tax treaties hazitamuongezea Mtanzania aliye nje mzigo wa kodi.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Katika nchi zote za Africa, US ina tax tearies na nchi tatu tu. Egypt, Morocco na South Africa.

Hujajiuliza kwa nini? Nchi nyingine zote za Africa hazitaki kuwa na tax teary na US?
Tukumbuke hilo lilikuwa swali langu la msingi, kwa nini hatuna tax treaty na Marekani?

Nimekusikia na kukuelewa kuwa kwa mtazamo wako ni kuwa hatujakidhi vigezo vya kuwa na mkataka kama huo na Marekani. Sijui una inside knowledge kwamba tuliomba na kuna nchi zingine za Africa ziliomba kuingia mkataba huo zikakataliwa kwa sababu hizo?

Lakini kumbuka Africa pia imewahi kukataa mikataba na Marekani. Unakumbuka saga la AFRICOM?

Baadhi ya nchi zingine zilizo na income tax treaty na Marekani ni Bangladesh, India, Pakistan, Kazakhstan. Ukiacha ukubwa wa hizi nchi, sina uhakika kama kwenye ufanisi wa ukusanyaji kodi tumepishana nao sana.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
1,441
Points
2,000
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
1,441 2,000
Having said that, hilo halimaanishi kila mfumo tuukubali tu, kwa sababu hakuna mfumo perfect.
Sijakuelewa hapa ungetaka kuona tunafanyaje. Kwa sababu hoja iliyopo hapa ni kuwaingiza katika mfumo wa ulipaji kodi Watanzania ambao tayari wanalipa kodi huko nje ila ni kodi ambayo haiingii TRA. Wewe unaona hilo jambo siyo kipaumbele chetu?

By the way, kauli za viongozi kwa wapiga kura wao ni za kuzitafakari kwa umakini. Kuna mtu aliwahi kusema 'All politics is local'. Wamarekani katika siasa zao wanazibagaza sana nchi kama Saudi Arabia, ila wakikutana heshima iko pale pale na dili bado zinafanyika. Hivyo hivyo China vs USA, na sisi ndiyo kabisa. Hatujaanza leo kuita watu mabeberu. It's just local politics, at least kwenye siasa za leo.
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
4,080
Points
2,000
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
4,080 2,000
Nyie mnajifurahisha tu. Pamoja na kuwepo mpango wa Agoa Tanzania imeitumiaje hiyo fursa, hamna kitu.

Tanzania imebakia na siasa za kibabe tu za kuwaonea wapinzani lkn kwenye kufanya mambo positive ya kuweza kuinufaisha nchi ni ziro kabisa. Very hopeless indeed.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,323
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,323 2,000
Tukumbuke hilo lilikuwa swali langu la msingi, kwa nini hatuna tax treaty na Marekani?

Nimekusikia na kukuelewa kuwa kwa mtazamo wako ni kuwa hatujakidhi vigezo vya kuwa na mkataka kama huo na Marekani. Sijui una inside knowledge kwamba tuliomba na kuna nchi zingine za Africa ziliomba kuingia mkataba huo zikakataliwa kwa sababu hizo?

Lakini kumbuka Africa pia imewahi kukataa mikataba na Marekani. Unakumbuka saga la AFRICOM?

Baadhi ya nchi zingine zilizo na income tax treaty na Marekani ni Bangladesh, India, Pakistan, Kazakhstan. Ukiacha ukubwa wa hizi nchi, sina uhakika kama kwenye ufanisi wa ukusanyaji kodi tumepishana nao sana.
N8meelezea pia suala la political will pande zote kuwa ndogo sana, hii mikataba huwa ina commitments nyingine zenye political implications, Wamarekani wataanza kuongea mambo ya accountability na transparency hapo, serikali zetu za amri kutoka juu haziwezi.

Ndiyo maana unaona nchi za Africa tatu tu. Si kwamba Wamarekani wanakataa, pengine Waafrika wanakataa kwa sababu wanaona watakuwa on the hook.
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,925
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,925 2,000
OECD model ndiyo inayotumika na kama tunatumia OECD model kwenye international taxation sidhani kunahaja ya kuwa na Bilateral treaty on the same subject matter unless kuwe na special arrangements between states .
Kuna mambo mawili
1. Tax treat
2.. International taxation
Tax treat ni makubaliano kati ya nchi na nchi kwenye suala la import product toka nchi hizo kwenda mojawapo ya nchi hizo hizo kwamba % ya tax itakuwa kiasi gani mfano 3%, or 10% ya import tax. Mfano USA na China walikuwa na tax treat Donald trump alipoingia akafungua nayo ndo maana ikaleta mzozo wa kiuchumi. Bidhaa zinazoingia toka China kwenda USA tax yake ni ndogo sana, ndo maana kampuni nyingi za marekani zikawekeza viwanda vingi China kwenye cheap labour, wakizalisha wanasafilisha kwenda marekani kwenye soko Kubwa la uwakika kwa kulipa tax kidogo sana. Vile vile USA walikuwa wanaexport agricultural products mfano soya beans kwenda China walikuwa wanalipa tax ndogo sana.
Kuna tax treat nyingine ya NAFTA North America free trade area, ukizalisha bidhaa zako toka Canada or Mexico or USA unaweza peleka nchi yeyote kwa kulipa tax kidogo sana. Kampuni nyingi za European countries waliwekeza sana upande wa Mexico karibu na border ya USA kwa sababu ya cheap labour kwa upande wa Mexico wakizalisha wanapeleka USA kwa vile wanakuwa ndani ya treat ya NAFTA, (Maquiladola industrial area) . Vile vile kampuni nyingi za USA walianzisha viwanda upande wa Mexico kufuata cheap labour. Wakizalisha tu wanapeleka USA kwneye soko la uwakika.
2. International taxation, hapa Unaongelea unayosema, kwa nchi nyingi duniani mfano USA, kama kampuni imesajiliwa kwenye Ardhi yao, ikifanya operations nje ya mipaka yake, lazima income proceeds na profit walejeshe kwenye kampuni mama uko USA, mfano kama wamepata profit ya $1billion toka Tanzania, na Tanzania wamekata corporate tax ya 30% hivyo basi kampuni lazima walejeshe yote USA, na USA wanapiga corporate tax yao ya 30%, wanakuwa refunded 30% waliyokatwa nchini Tanzania, vile vile kwa wafanyakazi wao lazima walejeshe mapato na makato yote, Serikali inacharge tax yake mwisho wa siku Wanakuwa refunded makato waliyokatwa Tanzania. Kama Tanzania watawapa tax holiday kwao USA lazima walipe kodi ya profit waliyotengeneza Tanzania. USA hakuna tax holiday Unalipa from day one unapoamza biashara.
Kama Tanzania watakuwa na system kama hiyo ni mzuri, swali litakuja kwenye refund itakuwa kichefuchefu, forgery nyingi.
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,925
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,925 2,000
Hiki kitu hakifanyika kutokana na mfumo wa kodi kutokuwatambua watu wote kama walipa kodi.

Nafikiri sera ya kujikita kulipisha kodi ya mapato wafanyabiashara na wafanyakazi ndiyo iliyosababisha hili.
Watanzania walio Tanzania wana declare income TRA kila mwaka?
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,925
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,925 2,000
Je haitasababisha double taxation ?

Mathalani katika situation kama hii

Tanzania ikatoza kodi kuzingatia source of income

Marekani ikawa inatoza kodi kuzingatia residence ya mlipa kodi

Umetengeneza income tanzania ambayo inazingatia source of income na wewe ni resident wa marekani huoni kuwa hapa kutakuwa na double taxation ?
Nadhani unachanganya madesa mkuu. Makubaliano ya namna hiyo yanayohusu import duties tayari tunayo mfano Millenium Challenge (MCC).

Hapa tunazungumzia Income Tax.

By the way, faida nyingine ni kuwa Watanzania walioko Marekani watakuwa wanasamehewa au kupunguziwa baadhi ya kodi za mapato wanazotakiwa kulipa nchini Marekani badala yake watazilipia Tanzania.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,323
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,323 2,000
Sijakuelewa hapa ungetaka kuona tunafanyaje. Kwa sababu hoja iliyopo hapa ni kuwaingiza katika mfumo wa ulipaji kodi Watanzania ambao tayari wanalipa kodi huko nje ila ni kodi ambayo haiingii TRA. Wewe unaona hilo jambo siyo kipaumbele chetu?

By the way, kauli za viongozi kwa wapiga kura wao ni za kuzitafakari kwa umakini. Kuna mtu aliwahi kusema 'All politics is local'. Wamarekani katika siasa zao wanazibagaza sana nchi kama Saudi Arabia, ila wakikutana heshima iko pale pale na dili bado zinafanyika. Hivyo hivyo China vs USA, na sisi ndiyo kabisa. Hatujaanza leo kuita watu mabeberu. It's just local politics, at least kwenye siasa za leo.
Bottom line ni kwamba hakuna political will pande zote kutekeliza hili. Ingekuwepo political will hata hayo matatizo yote ninayosema ni kiasi cha kuyafanyia kazi tu.

Nakupa mfano.

Wamarekani wana vikwazo vingi sana ili mtu aweze kurusha ndege yake directly kwenda Marekani. Vikwazo hivi vimwongezeka hususan baada ya 9/11.

Lakini Wakenya wamechukua vikwazo hivi kama changamoto, wamevifanyia kazi, wametimiza requirements na ndege yao inaenda JFK directly.

Sisemi kwamba hatuwezi tukijipanga.

Nasema hatujaipa habari hii kipaumbele.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,323
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,323 2,000
Nyie mnajifurahisha tu. Pamoja na kuwepo mpango wa Agoa Tanzania imeitumiaje hiyo fursa, hamna kitu.

Tanzania imebakia na siasa za kibabe tu za kuwaonea wapinzani lkn kwenye kufanya mambo positive ya kuweza kuinufaisha nchi ni ziro kabisa. Very hopeless indeed.
AGOA ina fursa kibao, tena Obama kahimiza sana.

Ila mpaka leo watu wanapigwa show za koroshow.

Mimi nikienda supermaket Marekani kifuko kidogo cha korosho hata gram 200 hakifiki kinauzwa $20. Tena hapo kwa wajanja tunaojua bei rahisi.

Halafu tunataka kuongea habari za treaty ya kodi.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,323
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,323 2,000
Hiki kitu hakifanyika kutokana na mfumo wa kodi kutokuwatambua watu wote kama walipa kodi.

Nafikiri sera ya kujikita kulipisha kodi ya mapato wafanyabiashara na wafanyakazi ndiyo iliyosababisha hili.
Sasa kama hatujaweza kuwafanya Watanzania walio nchini wa file tax, kuwafanya walio nje mbona kama tunataka kupanda ngazi 100 kabla hatujaweza 10?

Hawa wa ndani hatuhitaji mkataba na nchi yoyote, hatujawaweza.

Hao wa nje wa kuhitaji mikataba tutawaweza?
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
5,925
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
5,925 2,000
Hakika
Sasa kama hatujaweza kuwafanya Watanzania walio nchini wa file tax, kuwafanya walio nje mbona kama tunataka kupanda ngazi 100 kabla hatujaweza 10?

Hawa wa ndani hatuhitaji mkataba na nchi yoyote, hatujawaweza.

Hao wa nje wa kuhitaji mikataba tutawaweza?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,323
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,323 2,000
Mpaka hapo tu Mmarekani kashapata objection.

Atakwambia tax inatakiwa kuwa target raia wote sawasawa, ukileta mfumo wa tax unao wa target raia walio nje kwa njia ambayo hauwa target raia walio ndani, mfumo huo una discrimination na haufai kuwepo katika mikataba ya Marekani.

TRA watasema nini?
 
Forum statistics

Threads 1,336,675
Members 512,696
Posts 32,547,468
Top