Mimi nilibamiza simu yangu lami. Impact ambayo kila mtu alishika kichwa...Siyo kila wakati simu inapodondoka inapasuka! Ni mara ngapi wewe binafsi unadondosha simu bila kuvunjika?
Hata yai linaweza kudondoka na lisipasuke vile vile!
Hivi ziliishia wapi zile liquid protectors?[emoji16]
Mie huwa siweki protector, simu zangu vioo ni kama nipo msitu wa amazon. [emoji23]
Protector ni kwa ajili ya kulinda display na zinasaidia sana ukidondosha haiwezi kupasua display ila kioo cha nje tu ndio kitaathirika.
Kiuchumi inaumiza mnoHapa nahangaika na 350,000 kisa ubishi wa kuweka screen protector. S8+ yangu imekufa kioo
Huawei P30 back cover ni glass, sikuivalisha hizo plastic cover ile naiweka chini taratibu tu, ikakutana na very small kipande cha mchanga, cover ime-crack. Kwahiyo kuna simu itakulazimu kutumia hizi plastic kulinda simu.
[emoji3][emoji3]Simu haitelezi mkononi mkuu??
Wengine tunatumia cover ili watu wasione neno Tecno[emoji1][emoji1]
Kioo kina nyufa kama vichochoro vya uswazi.[emoji888]
We akili huna protector hata kama ni elf mbili ni tofaut na kutokuwa nayo kabisa ..inazuia scratechesHonestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors.
Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika?
Hivi unadhani protector nzuri yenye uwezo wa kulinda simu yako itauzwa sh. 2000 au sh. 3,000?
Hivi unatambua kwamba kuna screen protectors zinafika mpaka $100?
Unadhani quality yake itakuwa sawa na hizo za 2000 au elfu tatu?
Eti protector imeandikwa 9H halafu inauzwa 2000. Hivi nyie mnaijua hardness level 9 nyinyi?
Hardness level 10 ni diamond, Sasa rudi hatua moja nyuma kwa ugumu. Halafu ndo uuziwe buku 2
Hell no.
Halafu Bongo mtu ananunua simu ya 2m ina kioo kizuri, gloss finish, akitoka hapo anaenda kuweka screen protector nyeupe kama vioo vya zile simu fulani... Ni ushamba au ni nini?
Hebu angalia hii video ya Mr. Whosetheboss. Kwa wanaomfatilia huyu jamaa huenda wameshawahi kuiona.
Mtu ana Tecno kisha unamwambia anunue simu yenye Gorilla glass 6? Taja simu yenye glass protection hiyo yenye bei chini ya 700,000Kanunue simu yenye gorilla glass 6 na uache kulialia.
Nmewawekea video hata hamjaangalia. JF ina mazuzu wengi sana.
Sawa wewe mwenye akili. Simu yako ikiangukua kajiwe tena kwenye edge ndio utajua protector ya 2000 ni takataka kama takataka zingine.We akili huna protector hata kama ni elf mbili ni tofaut na kutokuwa nayo kabisa ..inazuia scrateches
Nliwah dondosha simu yangu lami one drop kwenye lami ilidunda mara tatu kutua naokota imeweka kreki tatu niliumia sana...lkn after 2month hivi nilirudi mkoani kwangu siku natoa ile protector niljua kioo kitakuwa kimeguswa ila ilikuwa protector tu na ni ya elf mbili ila ili save na ika absorb ile shock kwa kupasuka yenyewe ugumu sio kinga ....
Mtu ana Tecno kisha unamwambia anunue simu yenye Gorilla glass 6? Taja simu yenye glass protection hiyo yenye bei chini ya 700,000
Mara ya mwisho kutumia LCD display ni 2019. Kwa sasa sizielewi kabisa ingawa Poco X3 Pro iko vizuriRedmi Poco X3 pro base version ambayo ina RAM 6, 128GB storage bei yake $220 tu ambapo haifiki hata laki 5. Hiyo simu ni Gorilla glass 6.
Ina Snapdragon 860 6nm
Ina Refresh Rate ya 120Hz
Nimemnunulia mtu simu kama hiyo ikiwa na 256GB kwa 8GB of RAM ila hata laki 6 na nusu haijafika.
Halafu mtu una laki 6 unaenda kununua tecno.
Watu hawazijui simu nzuri.
hiyo poco x3 pro ulinunulia wapi?Redmi Poco X3 pro base version ambayo ina RAM 6, 128GB storage bei yake $220 tu ambapo haifiki hata laki 5. Hiyo simu ni Gorilla glass 6.
Ina Snapdragon 860 6nm
Ina Refresh Rate ya 120Hz
Nimemnunulia mtu simu kama hiyo ikiwa na 256GB kwa 8GB of RAM ila hata laki 6 na nusu haijafika.
Halafu mtu una laki 6 unaenda kununua tecno.
Watu hawazijui simu nzuri.