Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,517
- 104,791
Atumie mamlaka yake sawa sawa aachane na Mataga
Ni kweli. Nchi imeparanganyika kabisa. Utu, heshima na hadhi ya mtu vimetoweka kabisa. Mama Samia anaonekana ana nia ya kuturudisha kwenye mstari lakini bado ana woga wa kuonekana anamkosoa na anaogopa kuwaudhi wafuasi wa Mwendazake ambao yeye mwenyewe mama amewarithi kwenye serikali yake.