Kwanini sitamsamehe Hayati Magufuli

Kwanini sitamsamehe Hayati Magufuli

Haijalishi maana madhara aliyotuachia ni endelevu.
.Watu wamevurugiwa maisha yao dead completely
.Ndoa na familia za watu
zimesambaratika kwa sababu yake
.Watu Wana ulemavu wa kudumu sababu yake.
.Watu ni homeless sababu yake
Watu wamekufa kwa misongo nk kwa sababu yake.
.Watu wamefilisika kabisa
.Watu wako jela kwa kubambikwa
Nk
Unaweza msamehe vipi mtu kama huyu akupae uchungu wa milele.

We naona ulijenga nyumba kwenye eneo la hifadhi ya barabarapale mbezi,basi msamehe kwa makosayako mwenyewe ya kujenga kwenye hifadhi ya barabara.

Otherwise usipite kwenye zile njia nane sawa!!.
 
Ya mbezi yalikuwa hisia za chuki hisia hasi kwamba mbezi yote ni chadema, Hakuna mtu mwenye akili timamu akajenge kwenye hifadhi ya barabara.
 
Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.

Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;

1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.

2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.

3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.
NO3 ndio litafanyikwa kazi na Samia, mengine tusibiri Rais ajaye?
 
Ya mbezi yalikuwa hisia za chuki hisia hasi kwamba mbezi yote ni chadema, Hakuna mtu mwenye akili timamu akajenge kwenye hifadhi ya barabara.

Walio jenga lilejengo waliokuwa wana tumia tanesco pale ubungo hawakuwa na akilitimamu?.

Magu angekuwa legelege leo ilebarabara isingekuwepo pale hebu tuache ushabiki.
 
Walio jenga lilejengo waliokuwa wana tumia tanesco pale ubungo hawakuwa na akilitimamu?.

Magu angekuwa legelege leo ilebarabara isingekuwepolae hebu tuache ushabiki.
Mtu mwenye akili timamu asingebomoa lile jengo hali halina effect na barabara wala daraja halifiki kule.Ni mental disorder tu na usanity ndani yake ndo tatizo.
 
Atasamehewa na Muumba wake, wewe huna madhara sana hata ukikaa na donge lako mpaka umauti ukukute. Hujawahi kuwa na uwezo wa kuumba hata ukucha wa kidole.
Kusamehewa na muumba kunategemea na Dua na Sala za aliowaacha,Kama went wanalia naye atalia huko alipo
 
Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.

Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;

1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.

2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.

3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.
Acha kisirani ukisema hutamsamehe mtu tayari unamkosea Mungu.

Otherwise kaa na kinyongo chako lakini angalau mamazenu wamepata umeme wa bwerere vijijini.
Usipo msamehe nduguzako vijijini watamsamehe kwa makosayake ya kibinadamu aliyoyatenda kama wewe na wenzako humu mnavyo endelea kutenda, yeye kasha maliza bado nyinyi na visirani vyenu.
 
Mtu mwenye akili timamu asingebomoa lile jengo hali halina effect na barabara wala daraja halifiki kule.Ni mental disorder tu na usanity ndani yake ndo tatizo.

Hatakama halija athiri ujenzi ilimradi lipo kwenye hifazi ya barabara linapaswa kuvunjwa tu haijalishi.

Maeneo ya hifadhi za barabara yanatakiwa kuachwa wazi kama sheria inavyo elekeza.
 
Msamehe tu, ameshakufa huyo! Amefanya uovu mwingi Sana japo wewe umechukua kidogo kwa ubinafsi yaliyokusibu. Namna Alfonsi Mawazo alivyouwawa na namna Ben Saanane na Azory walivyopotezwa, namna Tundu Lissu alivyotandikwa risasi na kunyimwa haki ya matibabu ya kibunge zingeongeza uzito kwenye ugumu wako wa kutoa msamaha. Lakini, tumsamehe tu
Sisi wote ni viumbe vya Mola na kwake tutarejea, tutende mema duniani na tupendane.
 
Hatakama halija athiri ujenzi ilimradi lipo kwenye hifazi ya barabara linapaswa kuvunjwa tu haijalishi.

Maeneo ya hifadhi za barabara yanatakiwa kuachwa wazi kama sheria inavyo elekeza.
Walikuwa wapi linapojengwa hadi linaisha?
 
Hatakama halija athiri ujenzi ilimradi lipo kwenye hifazi ya barabara linapaswa kuvunjwa tu haijalishi.

Maeneo ya hifadhi za barabara yanatakiwa kuachwa wazi kama sheria inavyo elekeza.
Hifadhi ya barabara Ina maana taasisi zingine zinazopeleka huduma huko zina ramani tofauti pili kwann kuwepo na dabo standard wengine wabomolewe wengine wasibomolewe.Huoni kwamba ni jambo la hisia za chuki tu zaidi kuliko uhalisia.Hio hifadhi ya barabara kimara na mbezi tu vipi maeneo mengine je
 
Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.

Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;

1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.

2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.

3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.

Kwani amekuomba msamaha 🤔
 
hehehe sasa dogo hutaki vitu vipande bei
 
Hifadhi ya barabara Ina maana taasisi zingine zinazopeleka huduma huko zina ramani tofauti pili kwann kuwepo na dabo standard wengine wabomolewe wengine wasibomolewe.Huoni kwamba ni jambo la hisia za chuki tu zaidi kuliko uhalisia.Hio hifadhi ya barabara kimara na mbezi tu vipi maeneo mengine je
Subiri maeneo mengine ikifika wakati muafaka eneo likitakiwa ndioutajua hakuna double starndad.

Hizo huduma unazoletewa hazi halalishi wewe kuwepo hapo.
Hata mfungwa anapewa huduma jela.

Siku eneo likitakiwa hao waliokuletea huduma watakuja kuondoa viwezeshi vyao na wewe utaondolewa kwa nguvu ukiwamkaidi.

Mkuu we elewatu kujenga kwenye maeneo yaliyo katazwa kisheria ni sawa na kubeti kuna siku moja tu utakuja kulia.
 
Siku zote uondolewa kwa utaratibu na sio kihuni.Kesho wakishinda kesi na kutakiwa kulipwa fidia je.
Utu utangulia mbele ya sheria.Maana sheria ni kwa ajili ya watu.
 
Back
Top Bottom