Hivi yule ndugu alikuwa binadamu kweli?Msamehe tu, ameshakufa huyo! Amefanya uovu mwingi Sana japo wewe umechukua kidogo kwa ubinafsi yaliyokusibu. Namna Alfonsi Mawazo alivyouwawa na namna Ben Saanane na Azory walivyopotezwa, namna Tundu Lissu alivyotandikwa risasi na kunyimwa haki ya matibabu ya kibunge zingeongeza uzito kwenye ugumu wako wa kutoa msamaha. Lakini, tumsamehe tu.
Haijalishi maana madhara aliyotuachia ni endelevumaiti uisamehe au usiisamehe shauri yako .Haisikii wala haioni
Ni kweli. Nchi imeparanganyika kabisa. Utu, heshima na hadhi ya mtu vimetoweka kabisa. Mama Samia anaonekana ana nia ya kuturudisha kwenye mstari lakini bado ana woga wa kuonekana anamkosoa na anaogopa kuwaudhi wafuasi wa Mwendazake ambao yeye mwenyewe mama amewarithi kwenye serikali yake.Ametuharibia Sana nchi kuirudisha kwenye mstari itachukua miaka
Binadamu wako wa aina mbili waliompuliziwa pumzi ya uhai toka kwa Mungu na waliopuliziwa na shetani wote utambuliwa kwa matendo yao.Hivi yule ndugu alikuwa binadamu kweli?
Uoga ni udhaifu. Mwendazake no longer at easy alikuwa na manufaa kwa wanufaika kama kina mbunge Sanga, Nkamia, Kessy, Sabaya,na type hioNi kweli. Nchi imeparanganyika kabisa. Utu, heshima na hadhi ya mtu vimetoweka kabisa. Mama Samia anaonekana ana nia ya kuturudisha kwenye mstari lakini bado ana woga wa kuonekana anamkosoa na anaogopa kuwaudhi wafuasi wa Mwendazake ambao yeye mwenyewe mama amewarithi kwenye serikali yake.
Tulia ww, sisi wengine bifu zetu tunaenda nazo mpaka kuzimu huko, tukimkuta meko huko anakula bakora, besides kuna yule anajiita mbunge wa kawe anayecheza video za porn huwa anafufua watu, utajuaje siku akiamka vizuri akaamua kumfufua boss wake afu wakati huo ushamsamehe??? Bifu kwa marehemu meko lazima kuendelea, na kaburini kwake tutakunyaJinsi ulivyoelezea ni kama huyo mtu bado yuko hai
Kiama kuna kudaiana haki tulizodhulimiana, sijui Magu atawalipa wangapi,
Lazima akwame.
Tuwe wa kweli, binadamu huwa na angalau huruma kwenye uhai wa binadamu wenzake. Ilikuwaje huyu awe binadamu anayefurahia na kuamuru wenzake wauawe na wajeruhiwe na kupotezwa kabisa? Ina maana alijua yeye hatawafuata hao aliowaua?Binadamu wako wa aina mbili waliompuliziwa pumzi ya uhai toka kwa Mungu na waliopuliziwa na shetani wote utambuliwa kwa matendo yao.
Tuwe wakweli, je, huyu anakuwa ni binadamu kweli? Kwa zile tabia zake za kufurahia na kuamuru wenzake wapigwe risasi, wauawe, wapotezwe, wafungwe kwenye viroba, n.k. Je, kweli huyu alikuwa ni binadamu?1. Sukari kutoka 1800/- hadi 3500/-
2. Unga wa mahindi kutoka 600/- kwa kilo mpaka 1000/-
3. Mafuta ya kula kutoka lita 3500/- hadi 6000/-
4. Mfuko wa cement kutoka 13,000/- hadi 18,000/-
Huyu mzee alitutesa sana!
Pepo chafu lile mkuuTuwe wakweli, je, huyu anakuwa ni binadamu kweli? Kwa zile tabia zake za kufurahia na kuamuru wenzake wapigwe risasi, wauawe, wapotezwe, wafungwe kwenye viroba, n.k. Je, kweli huyu alikuwa ni binadamu?
Luciferous.Madikteta wote kafara za watu ni sehemu ya ibada kwao.Madikteta wote ni lzm wamtolee kafara ya damu mungu wao.Tuwe wa kweli, binadamu huwa na angalau huruma kwenye uhai wa binadamu wenzake. Ilikuwaje huyu awe binadamu anayefurahia na kuamuru wenzake wauawe na wajeruhiwe na kupotezwa kabisa? Ina maana alijua yeye hatawafuata hao aliowaua?
Luciferous wote furaha yao ni kuona damu na machozi ya watu.Tuwe wakweli, je, huyu anakuwa ni binadamu kweli? Kwa zile tabia zake za kufurahia na kuamuru wenzake wapigwe risasi, wauawe, wapotezwe, wafungwe kwenye viroba, n.k. Je, kweli huyu alikuwa ni binadamu?
Tusijidanyanye, usiposamehewa na watu uliowakosea, usitarajie kusamehewa na Mungu. Ndio maana Mwenyezi Mungu ametuonya kutengenezea Mambo yetu kabla hazijaja siku zetu mbaya (kifo)Atasamehewa na Muumba wake,wewe huna madhara sana hata ukikaa na donge lako mpaka umauti ukukute. Hujawahi kuwa na uwezo wa kuumba hata ukucha wa kidole.
Biblia inasema ole wake anayekuwa chanzo cha kwazo. Una habari hiyo? Usiwakosee watu ukafikiri wewe upo salama mbele za Mungu. Hata kama wale uliowakosea watakusamehe lakini wewe mkosaji bado una kesi ya kujibu. Watu kukusamehe hawafuti kosa lako bali wanajiweka salama wao ila ile dhambi wewe bado inakaaTusijidanyanye, usiposamehewa na watu uliowakosea, usitarajie kusamehewa na Mungu. Ndio maana Mwenyezi Mungu ametuonya kutengenezea Mambo yetu kabla hazijaja siku zetu mbaya (kifo)
.
Mheshimiwa, mbona kama umempendelea sana kumuita Rais Mstaafu! Huyo ni Hayati! Hakupata bahati ya kustaafu.Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.
Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;
1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.
2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.
3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.