Nimefurahi kwa kunielewani choice yako mwaya.....
wengi wetu watoto ni kama investment,lol
eti watakulea ukiwa mzee,
usiombee wote waje kuwa wavuta bangi,lol,
ila mkuu kuna mambo mawili,moja ni mvivu,kumu attend mtoto na kufua unaona kama unapoteza muda,(me too 😎)lol kingine selfishness ,life was given to you freely,why don't you too give it to someone else too?siku hizi za kidijitali unaweza kuzaa akakulelea mwingine kabisaa....sio kama zamani wazazi wetu walihangaika,anatoka kuchota maji mbaaali,akifika akizubaa tu mtoto kashatumbukiza kiatu kwenye ndoo lol.............again ni choice yako,nakuombea usije ukaona siku moja kwa nini ulifikia hio decision...............
Ni kweli usiombee uzae alafu upate hasara utaishi maisha ya kusikitika,kujilaumu,kujuta na unaogopa kumlaumu mungu kwa kuogopa laana unabaki unavumilia tu..mtu unazaa ukitegemea mtoto atakupa furaha unashangaa anakupa furaha akiwa mchanga tu akikua anakua mtihani kwako unajutaNa bado ukizaa watoto wakakushinda kulea bado watakusakama hao wao. Ni mtu kufanya kile kinamfurahisha, cha msingi havunji sheria.
Habari,
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;
Umejuaje kama una uwezo wa kuzaa??
Umejuahe kuwa una uwezo wa kuzaa?? Ushawahi kutia mimba mwanamke?Habari,
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?
Maasallam.
Hahahaha.... kwa hili povu mtu ameshajeruhiwa tayari. Yaani unaulizwa na mama yako kuhusu mjukuu unakasirika! kweli wewe hamnazo. Ila pole sana na nikutakie safari njema kwa maamuzi yako kama ya Nabii Tito. Any way huo ni mtizamo tuHabari,
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo;
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20, kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee, kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi, shoga, muawaji, gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma, watanicost pesa yangu, mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu.
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu, sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal?
Maasallam.
hahaha hichi ni kichekesho,mtoto mnaweza mkafanana pua tu lakini akawa ana tabia tofauti tena za ajabu kuliko wewe.mtoto kuna kupata na kukosa,mtoto anaweza akaja na baraka au laana pia.na kila navozidi kukua ndo nazidi kupambanua hii bahati nasibu.Wana akili lakini akili zao ni bure hawazifanyii kazi kufkiria
........
Ktk miongoni mwa baraka mtu ambazo anaweza kubarikiwa basi ni kua na mtoto yaan u find your self in somebody else's body
U feel complete , you find deep happiness in ur childrens face
Si bure itakua huna uwezo wa kuzalisha ww unajiliwaza tu na hizi post zko
Mtoto akiwa hasara, failure ya wazaziyaah ni kweli watoto some time ni hasara kama wewe mwenyewe!
Baba yangu amezaa kaka yangu ambaye ni shoga,hana jinsi anatamani amuue.
Mimi nimeongelea upande wangu na kuhusu baba yangu yeye alinizaa kwa sababu zake mkuu mimi sikutaka au kuomba kuzaliwa katika dunia hii bali ilikua mipango yake yeye na mkewe kua wapate mtoto na walikua tayari washakubali changamoto zote za kulea mtoto..mimi kama mimi sina mpango huo wakuleta kiumbe duniani nina kosa gani?
Umri wangu kila navokua ndio navozidi kuwa na msimamo na jambo hili.by the way nimeoa
Mke wangu na yeye ana msimamo kama huu japo yeye umechangiwa na family history yao ya kua na sickle cell..karibia kila ndugu yake wa damu amezaa mtoto mmoja wapo mwenye ugonjwa huu mbaya wa kurithi.odds za mtoto wetu kuupata huu ugonjwa ni ndogo sana.ssa na mkeo kalipokeaje jambo hli?