chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 543
- 69
Mimi mwananchi wa kawaida kabisa ninayeishi kijijini
Tatizo kubwa tulionalo ni umasikini tunaoishi nao
Tunategemea kilimo sana (kilimo ndio uti wa mgongo) I use to hear…
Lakini ki ukweli tunataka kuacha kulima kwa sababu tumedharauliwa na kusahauliwa kabisa
Tumeshindwa kuacha kulima kwa sababu hatuna mbadala….
Mbole (simenti, bati, mafuta ya taa, powertilar) ni bei juu sana kuna issue ya vocha za mbolea (ruzuku ya serikali)
Mkulima masikini anapaswa kuwa na almost shs laki moja na ushee ili
Uweze kutumia package ya mbolea ya ruzuku kupandia, kukuzia na mbegu nk..Hivi bibi, babu na mjombako kule Kijijini anapata wapi hizo fedha?
Haya tunapovuna mazao yetu tunapangiwa bei (pamba, kahawa) na pa kuuzia ….. kuuza nje marufuku….
Hivi mnataka tufanyeje? Tumlilie nani?
Kwanini wakulima tunateseka hivi…..hizo mnazoziita Sera, itikadi na ….wala hazitusaidii zipo ktk makaratasi yenu tuu.
TUMECHOKAAAAA!!!!!!!!!!!!!

Mtetezi wa wakulima atakuwa nani ilihali waliopo kwenye system hawajui hata jembe linashikwaje? Fanya analysis ya wabunge wote, halafu useme kama kuna mmojawapo ambaye kilimo ndiyo hasa chanzo chake cha mapato. Kwa kiasi kikubwa utakuta wengi wanalima kama sehemu ya burudani. Wana mashamba ambayo ni mahali kwa kupumzika siku za weekend. Sasa wabunge kama hao ambao ni wafanyabiashara wakubwa na mafisadi watajua lini kama kilimo kinahitaji utetezi? Huwezi hata siku moja kutegemea mtetezi wa wakulima kutoka katikati ya wafanyabiashara wakubwa na mafisadi ambao hawakuwahi kulima. Hicho ni kilio tu kwa wakulima. Wanalo hilo!!!!Wakulima - kwa bahati mbaya sana - hawana mtetezi! Serikali haina habari nao kwani kila siku ni kuwadanganya-danganya tu. Siku wakipata watetezi wa kweli serikalini ndiyo tutajionea mabadiliko ya kweli katika jamii yetu kwa sababu wengi wa wananchi wetu ni wakulima.
Mimi mwananchi wa kawaida kabisa ninayeishi kijijini
Tatizo kubwa tulionalo ni umasikini tunaoishi nao
Tunategemea kilimo sana (kilimo ndio uti wa mgongo) I use to hear
Lakini ki ukweli tunataka kuacha kulima kwa sababu tumedharauliwa na kusahauliwa kabisa
Tumeshindwa kuacha kulima kwa sababu hatuna mbadala .
Mbole (simenti, bati, mafuta ya taa, powertilar) ni bei juu sana kuna issue ya vocha za mbolea (ruzuku ya serikali)
Mkulima masikini anapaswa kuwa na almost shs laki moja na ushee ili
Uweze kutumia package ya mbolea ya ruzuku kupandia, kukuzia na mbegu nk..Hivi bibi, babu na mjombako kule Kijijini anapata wapi hizo fedha?
Haya tunapovuna mazao yetu tunapangiwa bei (pamba, kahawa) na pa kuuzia .. kuuza nje marufuku .
Hivi mnataka tufanyeje? Tumlilie nani?
Kwanini wakulima tunateseka hivi ..hizo mnazoziita Sera, itikadi na .wala hazitusaidii zipo ktk makaratasi yenu tuu.
TUMECHOKAAAAA!!!!!!!!!!!!!
Uchaguzi ujao pigia kura chama sahihi na kilicho na sera madhubuti.....
Hakuna cha kuchakachua wala nini! Kwa nini hazikuchakachuliwa Arusha mjini, Iringa mjini, Mbeya mjini, Msoma mjini, Nyamagana etc? Nyie mliuza kura zenu kwa tshirt na kofia bwana!!! Hakuna haja ya kulalamika wakati mnaenjoy tshirt na kofia za bure.Hakika naadhani wana JF hamjabahatika kwenda remote areahivi karibuni
Yaani hakika mbolea ndio issue yaani akitokea mtu mfano CDM, CUF, NCCR
akaweza kutoa ufumbuzi wa bei ya mbolea na upatikanaje wake huku Kijijini
kura zote za 2015 za wakulima anakula...
Hali ni mbaya sana ni ugomvi kila siku na viongozi wao (maafisa kilimo)
Kura walipigia upinzani (wengi wao) ila zilichakachuliwa sasa wamlilie nani
Wabunge karibu wote wa nchi nzima wanaishi kinondoni matatizo ya wakulima watajua wapi?
Hakuna cha kuchakachua wala nini! Kwa nini hazikuchakachuliwa Arusha mjini, Iringa mjini, Mbeya mjini, Msoma mjini, Nyamagana etc? Nyie mliuza kura zenu kwa tshirt na kofia bwana!!! Hakuna haja ya kulalamika wakati mnaenjoy tshirt na kofia za bure.
Mtu wa kwanza kumbadilisha ni wewe mwenyewe, achana na kufanya kazi kivyako vyako ungana na wenzio kuunda kikundi ambacho mtatumia kama chombo cha kusemea na kutafuta masoko na kutafuta taarifa.
Kama umekuwa ukifanya hivyo muda wote na hubadiliki, you must change sasa mchakato wa maendeleo hauna short cut ni kama kifo lazima u-experience. Achana na siasa na kutafuta mchawi songambele wengine watakufuata ukianza safari.
Avatar yako imenikumbusha marehemu Musiba (RIP) na kitabu chake cha usiku wa balaa enzi hizo.
Wakulima - kwa bahati mbaya sana - hawana mtetezi! Serikali haina habari nao kwani kila siku ni kuwadanganya-danganya tu. Siku wakipata watetezi wa kweli serikalini ndiyo tutajionea mabadiliko ya kweli katika jamii yetu kwa sababu wengi wa wananchi wetu ni wakulima.