chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 543
- 69
- Thread starter
- #21
si nasikia kuna mh anaitwa mtoto wa mkulima? Ila mtoto wao karithi kilimo cha siasa. Sio hicho chenu cha pamba na mahindi. Nawe ndugu nakushauri uanze kulima siasa
Ni kweli mkuu kilimo cha siasa kinalipa sana
hata wasomi sikuhizi ni siasa
Hawataki tena kuwa wataalamu wameamua kuwa wanasiasa
Tusipoangalia bongo wote tutakuwa wanasiasa....