Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Acha zinaa umri ushaanza kukuacha mkono. Kama unahitaji mke shirikisha ndugu jamaa na marafiki wa karibu nakwambia hautopata shida, ikiwa kama unataka kudanga tu basi fata ushauri wa wadau wengi humu.

Sasa napataje mwanamke wa kuoa wakati hawanitaki. Hao wakutafutiwa ndio hawafai kabisa kwa dunia ya sasa.. hiyo ilikuwa zamani sio sasa
 
Yaa wewe kaka Mimi aisee tuko wengi
 
you said it well, Mimi mkaka akinijia yupo very desperate huwa anaishia tu kuniboa, napenda mwanaume awe na vi attitude, niione ile manly ego, huwa na fall for that kind of man..!!
 
Utakuwa na sura ya kutisha dizain flan kama zombi[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…