King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Shukrani sana mkuu.Hizo benchmarks zina mapungufu mengi sana mkuu hasa huu ulimwengu wetu wa sasa, kama unazitumia zikupe tu rough idea ya perfomance,
Hao geekbench waliclaim kuwa tayari processor ya kwenye iphone ina nguvu kushinda processor za laptop kama i5, i7 etc Anandtech wakaja kufanya test zao kwa benchmarking nyengine inaitwa spec2006 na wakapata tofauti.
Pia kampuni za kichina wanazichezea sana mfano Huawei akiingia humo lazima kirin ionekane ipo juu, ila ukija kwenye real world test inakuwa simu inapitwa.
Kifupi dunia ya sasa anae sponsor ndie ambaye score zake zitaonekana nzuri, hivyo kama unataka kuchagua simu ni vyema ukaangalia real world perfomance, ama tumia site zinazoingia deep kuchambua vitu kama vile anandtech.
sometime hazina maana, kuzi fake ni rahisi sana, mfano naweza kufungua hizo apps kwenye simu ya kwanza kisha nikaziacha cache zichukuliwe then ndio nikaanza kurekodi, kila nikifungua app kwenye simu ya kwanza itaonekana zinafunguka upesi sababu tayari kuna cache.Shukrani sana mkuu.
Nilikuwa na wasiwasi na kuamini hizi benchmarks. Maana pia suala la bias ya anayefanya hizo benchmarks.
Na side-by-side load time testing nazo unaziongeleaje?
Shukrani sana kwa maelekezo yakinifu. Binafsi nadhani, Android wakiondoa emulator in the launching process inaweza kupunguza/kuondoa lags katika app launch process.sometime hazina maana, kuzi fake ni rahisi sana, mfano naweza kufungua hizo apps kwenye simu ya kwanza kisha nikaziacha cache zichukuliwe then ndio nikaanza kurekodi, kila nikifungua app kwenye simu ya kwanza itaonekana zinafunguka upesi sababu tayari kuna cache.
Pia Naweza simu ya kwanza kudisable animation kwenye developer option na ya pili kuongeza animation na ya kwanza kuonekana ina speed zaidi.
Na hata ikitokea mtengeneza video hayuko bias, kila os ina vitu vyake ambavyo inafanya vizuri zaidi hivyo usitumie loading test kufanya hitimisho la simu fulani ni nzuri zaidi.
Ni kweli mkuu hata walipotoa dalvik na kuleta runtime mpya ya ART perfomance boost ilikuwa ni kubwa,Shukrani sana kwa maelekezo yakinifu. Binafsi nadhani, Android wakiondoa emulator in the launching process inaweza kupunguza/kuondoa lags katika app launch process.
Nadhani Project Fuschia ndo italeta haya.
Mtu anaenunua s9 ama note 9 hawezi afford iphone?
Sijawahi sikia flagship ya samsung ikiuza chini ya unit milioni 10Wangapi wana uwezo wa kununua s9
Kwa namna inavyoonekana, Google hawana muda mrefu sana na Android. Ni kama wanaji'distance nayo hivi (cheki hata kwenye event ya Pixel 3 & 3 XL, hawakutamka neno "Android" mara nyingi kama ilivyokuwa hapo awali).Ni kweli mkuu hata walipotoa dalvik na kuleta runtime mpya ya ART perfomance boost ilikuwa ni kubwa,
Ila Fuchsia ni os mpya tofauti sidhani kama ina uhai kwa kipindi cha karibuni, inaweza isizinduliwe kabisa.
issue ni Apps mkuu, kuna os kibao nzuri hazina apps,Kwa namna inavyoonekana, Google hawana muda mrefu sana na Android. Ni kama wanaji'distance nayo hivi (cheki hata kwenye event ya Pixel 3 & 3 XL, hawakutamka neno "Android" mara nyingi kama ilivyokuwa hapo awali).
Na Fuschia wakija kui'launch itakuwa na uwanda mpana sana wa matumizi, talking of the IoT. Let's wait and see, bruv!
Na hapo ndo shida ilipo kweli!issue ni Apps mkuu, kuna os kibao nzuri hazina apps,
Wangapi wana uwezo wa kununua s9
Issue mkuu ni hardware za kizamani na os mpya.Habari wakuu kwa wataalamu wa iphone mnaweza kuniambia ni kwa nini iphone zina lagg sana hasa iphone 5, 5s, 6 na six plus. Binafsi nina i phone 5s ilikua inalagg sana nikadhani ni software nimeupdate still tatizo liko palepale nikakutana na ndugu zangu wawili wote nao zao zina same issue mmoja ameniachia nimpelekee kwa fundi kutokana na nature ya majukumu yake. Kama kuna mtu ni mtaalamu naomba anielekeze nifanye nini nifurahie tunda langu asante
Issue mkuu ni hardware za kizamani na os mpya.
Kama nilivyokuwa nabishana na jamaa hapo juu, Apple wana tabia fulani kuwa simu zao hazihitaji hardware kubwa hivyo kuweka specs ndogo ila kwa long term zinasababisha hayo matatizo.
Mfano kipindi hio iphone 5s na mpaka 6 zinatoka ziliwekwa ram 1gb tu. Leo hii kwenye software ya 2018 ambayo inarun kwenye simu ya 4gb ram usitegemee simu yako ya 1gb kuwa smooth. Na jinsi unavyoi update ndio unavyoongeza uzito kwa kuweka software latest zaidi.
Kama upo comfortable downgrade to ios 10
So kwa nini iPhone hazina RAM kubwa? unaweza nijibu hapo chiefHizo benchmarks zina mapungufu mengi sana mkuu hasa huu ulimwengu wetu wa sasa, kama unazitumia zikupe tu rough idea ya perfomance,
Hao geekbench waliclaim kuwa tayari processor ya kwenye iphone ina nguvu kushinda processor za laptop kama i5, i7 etc Anandtech wakaja kufanya test zao kwa benchmarking nyengine inaitwa spec2006 na wakapata tofauti.
Pia kampuni za kichina wanazichezea sana mfano Huawei akiingia humo lazima kirin ionekane ipo juu, ila ukija kwenye real world test inakuwa simu inapitwa.
Kifupi dunia ya sasa anae sponsor ndie ambaye score zake zitaonekana nzuri, hivyo kama unataka kuchagua simu ni vyema ukaangalia real world perfomance, ama tumia site zinazoingia deep kuchambua vitu kama vile anandtech.
Huawei wapo Vizuri kwa hivyo vitu ulivyovitaja Camera na Battery. Na pia simu zao zinadrop sana bei,Ukitoa kampuni ya Apple na Samsung. ..simu gani nzuri mfano yenye camera kali na inayokaa na charge vizuri?
Sifahamu tatizo ni nini, na mara nyingi hilo neno ram halitajwi kabisa kwenye events zao, mpaka kina ifixit wakifungua simu zao ndio wanatuambiaSo kwa nini iPhone hazina RAM kubwa? unaweza nijibu hapo chief
Kwani wangapi wana uwezo wa kununua iphone 8 achilia mbali flagship ya mwaka jana na mwaka huu!!!!
Msiwe na mitazamo ya ajabu namna hii mnakosa hoja za msingi.