Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

Nakumbuka mwaka jana watu wali diss sana iPhone X , Face ID na top notch .. Tukawaeleza hawakuelewa sasa mpaka mwaka unaisha iPhone X imekuwa game changer , Face ID imekuwa successful sana including feature yake ya animoji ambayo mpaka Samsung wameiga wakafeli . Top notch simu kibao zimeweka, tumeona Face ID au face unlock inaelekea wapi baada ya iPhone X kufanya mapinduzi makubwa ..

Nawaambieni acheni apple aitwe apple jamaa wanajua wanachokifanya na wakifanya kitu jua wamejiridhisha nje ndani ...! Ndo kampuni pekee ya electronics inayojua exactly inapoelekea acheni hawa wengine makanjanja!
 
Alaaaa kumbe!!! Umenifumbua macho, nilikua najichanga nichukue iPhone 6 lakini kwa vitu hivi nilivyoviona nimeghairi
 

Mkuu unapoteza mda kubishana na chief Mkwawa, jamaa ana mapenzi na nokia (very sad ) utabishana nae mpaka Kesho bado atakwambia Nokia is fat better than iPhone wakati inajulikana kabisa kifo cha nokia kilianzishwa na apple android wakamalizia kama ambavyo apple ameua high end zote za Android .. Ni ukweli Mchungu lakini jamaa anamrushia mzigo Ceo me naita kutafuta comfort zone.

Nokia zilikuwa simu kali lakini iphone ilikuwa magic ..
 
Mtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
Hata ukisimuliwa inatosha mkuu sio lazima uimiliki[emoji4] [emoji4]
 
Upande wa Bluetooth sio kwa ajili ya kurushiana videos tu mkuu. Kuna kustream music na hometheatre system via bluetooth, pia magari kibao infotainment system zake ni more bluetooth compatible than other connections
 
Hamna simu ya tecno ambayo inaweza fikia simu yoyote hapo. Kama unataka legue pia njoo
😂😂mimi hapana mkuu, ila kuna nyuzi zao hapa jukwaani wanatetea kila itwapo leo!
 
Nimekuwa nikisoma michango ya kimawazo ya Chief, sidhani kama anatetea kuwa "Nokia ni bora kuliko iPhone/Apple". Naona anajaribu kueleza jinsi Nokia alivyokuwa Mama wa Ubunifu huku Apple akijikita zaidi kama "Luxury" brand.

Nimeweka baadhi ya links kwa video zinazoonesha baadhi ya mapungufu ya hizi iPhone mpya nasubiria wafuasi wa Apple (ambao mnaamini sana kuwa kampuni yenu haina mapungufu) mnieleze juu ya hili.

Inakuwaje mtu ulipe over $1300 af simu ije ikutoe selfi kama mdoli au ucharge ikiwa idle afu isipokee charge hadi u'activate the screen?!
 
Iphone inaweza screen kuwa splitted sehemu mbili na kufanya kazi kila upande tofauti. Mfano, youtube unaangalia mpira na wkt huohuo unaendelea na mambo mengine kama kuchat, kusoma/kuchangia jf nk! Mfano km hapo picha inavyoonesha!
 
Sasa hicho ni kitu cha ajabu?? Mbona hata Infinix zinafanya?
 
kwahiyo mkuu unakubaliana na mtoa mada hapo
 
Mimi tangu nilipoanza kutumia apple devices sijawahi kujutia mwanzoni nlikuwa nawashangaa watu wanaozisifia nawaona hawajui kitu lkn nlipoingia nmeelewa vzr
ndo utueleze hapa imeelewa nini au ndo mnajipa moyo tuu sababu mmeshanunua
 
Upande wa Bluetooth sio kwa ajili ya kurushiana videos tu mkuu. Kuna kustream music na hometheatre system via bluetooth, pia magari kibao infotainment system zake ni more bluetooth compatible than other connections
Serious!? Kustream huwezi kwa kutumia iPhone!? Upo wapi nije kukufundisha bure kabisa
 
Nyie hamkuiga top notch? Unaongea as if iphone x ndio simu ya kwanza kuwa na notch
 
Hii feature nimetumia kwenye s3 ya mwaka 2012. Miaka 6 baadae anakuja fan wa Apple na kuona ni innovation kubwa Apple wamefanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…