Kwanini siku hizi Mboga hizi zinalika sana Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, Msasani, Mikocheni, Upanga na Ada Estate?

Nmeshangaaa sanaa jana jirani yangu muuza mboga mboga ananiambia siku hizi anauzia masaki na obey kuliko alivyokuwa anauza manzese! Hahahaha kama naona walioishi km Mungu wakitani kuish kama shetani
Nafikiri wamejaa faida za mboga za majani
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
Somo la kjikinga na maradhi kwa njia ya mlo kamili limewaingia
 
Bila kusahau kusali sana misikitini, jumuia kwa sana mitaani na kanisani, kurudi mapema home, ni utashi kwa kwenda mbele...
Sasa hayo ndiyo maisha tuliokuwa tunaishi wengine, ila tulikuwa tunaitwa maskini! Hakuna cha maisha feki tena, yametupiliwa kule na kufyekelewa mbali, wote sasa tunaishi hivyo..maisha original and true..
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
Ukiona hivyo ujue Tanzania ishakuwa ya viwanda tayar
 
Wafanyabiashara wa sekta ya famasia wanawalenga wenye kipato cha kati na juu...sasa wenye vipato hivi wameshtukia mchezo.
 
hembu acha uongo,hivi maeneo yote uliyotaja,je umetembelea nyumba mojamoja na ukafungua fridge na ukaona vilivyomo ndani?
 
Don't be Stupid please! Hivi unadhani kwanini katika ' Research ' kuna vitu vya ' Sampling ' ndani yake? Hivi kumbe ' Research ' ikifanyika huwa inahusisha Watu wote na siyo baadhi kulingana na ' Sample Size ' yako na ' Methodology ' yako ili kupata ' Findings ' zako unazozitaka au ulizozilenga? Hivi kwanini baadhi yenu mnaviaibisha mno Vyuo Vikuu vyenu mlivyosoma na hivyo Vyeti vyenu?

Kuna Watu huwa nashindwa Kuwavumilieni hivyo mtanisamehe tu kwa aina ya ' Makombora ' yangu ninayowateremshia hapa. Ushauri wangu mdogo tu Kwako hebu tembelea ' Notes ' zako za Research ili basi uweze Kukumbuka vitu ambavyo viko ' so general ' kwa ' Academician / Intellectual ' yoyote kuvijua na siku zingine usije Kujitoa aibu hivi.
 
Siku zingine ninapokuwa naanzisha ' Mada ' hapa kama una ' IQ ' ndogo mithili ya punje za Mavi ya Sisimizi uwe unakaa pembeni sawa? Uandishi wangu daima hapa umekuwa ni wa Kifikirishi na Kifasihi zaidi ambao ' Wapumbavu ' wengi wamekuwa wakipata nao taabu kama siyo shida sana. Kwa wenzako wengi hapa Jamvini walio na akili ( IQ ) Kubwa tayari wameshaelewa ' Ujumbe ' upi / gani nimejaribu Kuutuma hapo na ndiyo maana unawaona wanatiririka na kuserereka vizuri tu tofauti na uwazavyo ' Popoma ' Wewe.

Hii ni ' Dozi ' yangu ya awali / utangilizi Kwako nasubiri urudi nimalize sasa ' Shughuli ' yote.
Duh! Dada naona unachamba kama Mange kimambi?
 
Naona ' Sindano ' yangu imekuingia vilivyo hivyo Siku zingine usiwe unapenda ' Kuwashwawashwa ' sana nami halafu jitahidi mno ile Elimu uliyoipata Chuoni uwe unaitumia vyema kwani umemuaibisha sana Mhadhiri / Mkufunzi wako wa Somo la ' Research ' huko ulikosoma kwa kushindwa tu Kung'amua / Kuelewa jambo jepesi na la ' Kitaaluma ' kama hili. Pole sana!
 
Don't be Stupid please! Hivi unadhani kwanini katika ' Research ' kuna vitu vya ' Sampling ' ndani yake? Hivi kumbe ' Research ' ikifanyika huwa inahusisha Watu wote na siyo baadhi kulingana na ' Sample Size ' yako na ' Methodology ' yako ili kupata ' Findings ' zako unazozitaka au ulizozilenga? Hivi kwanini baadhi yenu mnaviaibisha mno Vyuo Vikuu vyenu mlivyosoma na hivyo Vyeti vyenu?

Kuna Watu huwa nashindwa Kuwavumilieni hivyo mtanisamehe tu kwa aina ya ' Makombora ' yangu ninayowateremshia hapa. Ushauri wangu mdogo tu Kwako hebu tembelea ' Notes ' zako za Research ili basi uweze Kukumbuka vitu ambavyo viko ' so general ' kwa ' Academician / Intellectual ' yoyote kuvijua na siku zingine usije Kujitoa aibu hivi.
Unafuatilia watu wanakula nini kila nyumba? Huna kazi za kufanya? Huo muda wakufungua mafriji ya watu unautoa wapi? Mind ur own business,halafu watu kama wewe ndio mnalalamika eti "vyuma vimekaza" kumbe unapoteza muda wako kuchunguza life style za wengine! Wewe ni wakuonewa huruma tu,eti IQ kubwa! What a worse kwa mada kama hii kujiona una IQ kubwa!!
 
Naona ' Sindano ' yangu imekuingia vilivyo hivyo Siku zingine usiwe unapenda ' Kuwashwawashwa ' sana nami halafu jitahidi mno ile Elimu uliyoipata Chuoni uwe unaitumia vyema kwani umemuaibisha sana Mhadhiri / Mkufunzi wako wa Somo la ' Research ' huko ulikosoma kwa kushindwa tu Kung'amua / Kuelewa jambo jepesi na la ' Kitaaluma ' kama hili. Pole sana!
Uandishi wako una spidi kuliko uwezo wako wakufikiri,na hapo ndipo unapoanzia huo ugonjwa wako wa ujinga.
 
Nyama tunawaachia wakuja.
Ninyime nyama lakini bone barrow na utumbo niachie hasa ule mweupe (how do you call it?) kama mpila wa kunyunyizia maji. Uwe wa mbuzi au Ngo'mbe. Ulishakula wa Nguruwe? Nimejaribu juzi sikuutafuna nikakumbuka nguruwe vitu anavyokula nikaomba samahani. Wenzangu na mimi ndo the best meal for lunch. Natamani niwe na bucha hapa nilipo kijiwine ili niwe najilia utumbo na bone marrow. hii inaitwaje kiswahili? Naijua kikwetu tunaita omunoito.
 
' Koo ' zako zote mbili za ' Kipopoma ' zingebahatika tu kuwa na angalau hata 15% ya IQ ya GENTAMYCINE nina uhakika zingefanya ' Sherehe ' mwaka mzima ila bahati mbaya sana imekuwa ni tofauti.
Check his joining date and judge him or her. Wanasubiri ajira.
 
Ninyime nyama lakini bone barrow na utumbo niachie hasa ule mweupe (how do you call it?) kama mpila wa kunyunyizia maji. Uwe wa mbuzi au Ngo'mbe. Ulishakula wa Nguruwe? Nimejaribu juzi sikuutafuna nikakumbuka nguruwe vitu anavyokula nikaomba samahani. Wenzangu na mimi ndo the best meal for lunch. Natamani niwe na bucha hapa nilipo kijiwine ili niwe najilia utumbo na bone marrow. hii inaitwaje kiswahili? Naijua kikwetu tunaita omunoito.
Bone marrow is nutritious
 
Check his joining date and judge him or her. Wanasubiri ajira.

Mkuu niache tu niwe ' nawanyoosha ' hawa ' Mapopoma ' ambao hupenda ' Kujipendekeza ' Kwangu na ' Kuwashwawashwa ' sana nami.
 
Back
Top Bottom