Kwanini siku hizi Mboga hizi zinalika sana Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, Msasani, Mikocheni, Upanga na Ada Estate?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
 
Wewe umejuaje kama zinalika au kwenye majokofu umefungua?

Huenda wewe ndiye mhanga usihesabie wote

Ila JP kabana unaweza kuwa na ka ukweli 50%
Cc magu- matajiri wataishi kama mashetani
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
Wamekua "Vegan" ss hawataki masihara na afya zao
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
Wengi wastaafu na kama siyo ni wale ambao wanaogopa pressure na unene. Nyama wanakula lakini samaki kwa wingi. Mboga za majani ndo new fashion nawewe kalime hata kitalu kimoja hata kama unapanga. Omba sehemu ulime mradi usitumie maji taka.
 
Kuna mhaya flani kafukuzwa, kipindi cha nyuma akiwa kitengo watu mtaani Walikuwa hawamfahamu alikuwa akipita ni vumbi na tinted fulltime na shopping alikuwa anafanya kwenye supermarket hivi sasa anaendesha baiskeri za vikapu mbele kwenda kuhemea nyanya, vitunguu na mbogamboga maisha yamechenji hata uwezo wa kununua mafta ya gari hana.
Ana gari 3 za kifahari anauza 2 wateja hakuna maana wateja wengi wamezoea gari za million 5,6,7,8

Hivi sasa kuuza Range milion 40 na Nissan Patrol million 45 ni ngumu sana nilimwambia auze bei ndogo hata 25 anasema hawezi.

Ukimuona ktk baiskeri anadai anapenda kwa sababu anafanya mazoezi lskini huko nyuma alikuwa hatumii,
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
Kisukari baba kinastaafisha watu kula vyakula wapendavyo badala yake tunaishia kula dona, brown rice, brown bread, low fat milk, mboga za majani kwa wingi.
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
Ha ha utaambiwa masharti ya daktari
 
Hivi shetani Pombe alishamtembelea akaona anavyoishi? Hata hao malaika anawajua kweli? Mungu je wa Pombe yupo Mars au Jupiter au another Galaxy?
Huenda yupo Andromeda
Na huenda shetani ni ndg zake
image_5731e-Andromeda-Galaxy.jpeg
 
1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga

Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?

Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?

Nawasilisha.
mbona uchokozi kwa wakazi tukukwa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom