stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Kwa hiyo wewe ulitembelea hizo nyumba zooote na kuangalia kwenye friji zao ? Je ulifanikiwaje kufika kwenye nyumba zooote na kuangalia jikoni kilichopikwa ? Na ukifanikiwaje kuangalia kwenye friji zao ? Tatizo la watu masikini ni fikra za kimaskini kuhisi kuwa wale kwa sasa watakuwa hawana hela ,usije ukajidanganye kuwa watu wa maeneo hayo watafikia kiwango chako cha umasikini pambana na hali yako ya umasikini usishabikie uongo wa kuhisi kwa kujitekenya na kucheka mwenhewe1. Maharage
2. Kisamvu
3. Matembele
4. Mchicha
5. Majani ya Kunde
6. Kabichi
7. Majani ya Maboga
Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari siku hizi katika Majokofu ( Friji ) zao ni nadra sana kukuta Vinywaji kama Soda, Bia na Mivinyo ya kila aina hadi na Matunda Matunda mbalimbali kama huko nyuma / awali?
Kumetokea nini Tanzania hasa kwa Wakazi ' tukuka ' wa hayo maeneo?
Nawasilisha.