Zanzibar huwa kuna "Waziri wa Nchi" ........ Hapo kwenye "nchi" wanakuwa wanamaanisha nchi gani?
Kwa mfano, kuhusiana na Zanzibar, nitakuwa sahihi kama nikisema
Waziri wa Tanzania, Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora.
Waziri wa Tanzania, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum
Waziri wa Tanzania, Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma
Waziri wa Tanzania, Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
China inatawaliwa na chama na serikali kwa wakati mmoja.Mfumo wa sasa wa muungano ni wa Chama tawala kinachoongoza Serikali iliyoshindwa kutawala. Katika zama hizi, hHakuna taifa linaloweza kutawaliwa na chama na serikali kwa wakati mmoja. Ni wale tu wasioelewa ukweli huu ndio watapinga mfumo wa muungano kufanyiwa marekebisho.
Mkuu, Kobello,In todays world, Political Power Follows Money; Nikuulize: Isnt Hong Kong Part of China? Is Communism practiced in Hong Kong? Nikianza na hoja yangu hapo juu kwamba political power follows money katika dunia ya leo, this is evident if you look at the evolution of chinas de facto federalism; Since hoja yetu ya msingi hapa ni federalism vis as vis unitary system, tutazame China kwa undani zaidi:China imegeuka kuwa a de facto federalism baada ya kutoa autonomy kwa majimbo yake na pia to guarantee Hong Kong semi independent status as an autonomous region. Nikitoka nje kidogo ya mada, nadhani utakubaliana nami kwamba, kama ilivyo kwa Hong Kong kuto practice ukomunisti ingawa ni sehemu ya China, Ujamaa haukuwa practiced in the semi autonomus island of Tanzania (Zanzibar), licha ya kwamba Katiba ya JMT (1977) katika kipindi chote cha miaka karibia 50 ya muungano, inalitambulisha Taifa la Tanzania (TANGANYIKA + ZANZIBAR) kwamba linafuata sera ya Ujamaa na kujitegemea ; Mkuu Kobello, china emerged as an economic power on a global scale only after it became a de facto federation kwa kuhamishia wide economic policy making powers kwa majimbo yake. Vinginevyo kabla ya hapo, china ilikuwa handicapped kiuchumi kwa muda mrefu by centralism (ambayo wewe na Mzee Mwanakijiji mnaipendelea Tanzania), na vile vile kutokana na unitary system that prevailed chini ya utawala wa kifalme.Kwa maana hii, Utawala wa Chama na Serikali kwa Wakati mmoja in China in only an illusion if not a fiction, kwani its not a fact;cc MTAZAMOChina inatawaliwa na chama na serikali kwa wakati mmoja.
MKUU Mchambuzi,Mkuu, Kobello,In today's world, ‘Political Power Follows Money'; Nikuulize:• Isnt Hong Kong Part of China? • Is Communism practiced in Hong Kong? Nikianza na hoja yangu hapo juu kwamba political power follows money katika dunia ya leo, this is evident if you look at the evolution of china's de facto federalism; Since hoja yetu ya msingi hapa ni federalism vis as vis unitary system, tutazame China kwa undani zaidi:China imegeuka kuwa a de facto federalism baada ya kutoa autonomy kwa majimbo yake na pia to guarantee Hong Kong semi independent status as an autonomous region. Nikitoka nje kidogo ya mada, nadhani utakubaliana nami kwamba, kama ilivyo kwa Hong Kong kuto practice ukomunisti ingawa ni sehemu ya China, Ujamaa haukuwa practiced in the semi autonomus island of Tanzania (Zanzibar), licha ya kwamba Katiba ya JMT (1977) katika kipindi chote cha miaka karibia 50 ya muungano, inalitambulisha Taifa la Tanzania (TANGANYIKA + ZANZIBAR) kwamba linafuata sera ya Ujamaa na kujitegemea ; Mkuu Kobello, china emerged as an economic power on a global scale only after it became a de facto federation kwa kuhamishia wide economic policy making powers kwa majimbo yake. Vinginevyo kabla ya hapo, china ilikuwa handicapped kiuchumi kwa muda mrefu by centralism (ambayo wewe na Mzee Mwanakijiji mnaipendelea Tanzania), na vile vile kutokana na unitary system that prevailed chini ya utawala wa kifalme.Kwa maana hii, Utawala wa Chama na Serikali kwa Wakati mmoja in China in only an illusion if not a fiction, kwani its not a fact;cc MTAZAMO
Kwanza, nadhani nimejibu hoja yako kuhusiana na chama na serikali kutawala kwa wakati mmoja kisiasa na kiuchumi katika dunia ya sasa, na ulichofanya hapo juu haikuwa kujibu hoja zaidi ya kuzunguka zunguka;Pili, ni muhimu ufanye utafiti kidogo juu ya federalism elements zilizopo china; Nadhani hauna taarifa za kutosha juu ya federalism in China; Tatu, kuhusiana na federalism vs unitary system na efficiencies zilizopo kisiasa na kiuchumi, sio tu kwamba I can debate you on that as well, bali pia I already did;nimejadili sana hili kwenye uzi mwingine ambao nilikualika rasmi lakini hujashiriki kuja na counter arguments; Nikipata muda, nitazijadili katika uzi huu ingawa itakuwa ni kama kujirudia kwako;Nne, wewe kusema hauoni maana na umuhimu wa serikali tatu katika muungano wa nchi mbili, kwa kweli inatia shaka juu ya uelewa wako kuhusiana mfumo wa utawala katika mahusiano ya kimataifa katika muktadha wa muungano baina ya nchi husika; pia inaonyesha kwako serikali tatu is synonymous to marais watatu, na hili ndio linawasumbua zaidi, am I right? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForumsMKUU Mchambuzi,Kilichoiendeleza China wala siyo federalism, hapo utakuwa unalazimisha.Hong kong, Macau ni sehemu ya China iliyokuwa ikitawaliwa na waingereza na wareno na hazikukombolewa 1949, kwa hiyo incorporation yake ilipotokea China ilikuwa na Market system already'Kama hoja yako ni federalism vs. unitarism, I can debate you on that, bearing in mind that there are strong unitary economies in this world too.Kwa hiyo economic development haihusiani na federalism kwani kuna studies nyingi zinazoonyesha strengths za unitary system. Hii inategemea mambo mengi sana and not a merely constitutional Federalism.Within a unitary system, you can have administrative federalism. Constitutional unitarism can delegate administration and come up with a better government than a constitutional federalism. The only difference here is, one system deegates power while the other makes power inherent.Now, you need to be careful of what you are wishing for. Because Accountabilty, veto points, competition among governments,fiscal federalism and size of the government have been shown to be one of the weakest arguments for good governance.Kama hutaanza na serikali bora, mfumo bora wa maisha unaokuwa supported by a competrent and patriotic bureaucracy, the type of federalism unayoipigania siyo tu kwamba haitakuwa bora zaidi ya unitary government, haitakuwa na maana yeyote ya kuwepo.Sioni maana, haja wala ubora wa serikali tatu katika jambo lolote.
Hili ndilo tatizo kubwa watu wanapoufikiria mfumo wa serikali 3. Wapotoshaji kama akina Nape Nnauye wanalitumia vema sana kuhadaa umma.pia inaonyesha kwako serikali tatu is synonymous to marais watatu, na hili ndio linawasumbua zaidi, am I right?
Hivi kukiwa na serikali tatu mipaka ya baharini inakuaje. Pia nasikia zipo ducuments zinazoonesha Tanganyika haina Pwani, Pwani ya zenjibar ni mpaka Somalia na wengine wameenda mbali kusema watanganyika wataishia kibaha and that the union was born under such conditions hivi ni kweli?
Hili ndilo tatizo kubwa watu wanapoufikiria mfumo wa serikali 3. Wapotoshaji kama akina Nape Nnauye wanalitumia vema sana kuhadaa umma.
Tunaweza kuwa na rais mmoja na mawaziri wakuu wawili kwa nchi washirika.
Tatizo ambalo tume ya Warioba imekutana nalo ni kutoka upande wa ZNZ.
Wao wanataka kiongozi wao aitwe rais wakiwa wamesahau kuwa walikuwa na Sultan na waziri mkuu ambaye alikuwa kiongozi wa serikali.
Kinachowasumbua tume ni 'nationalism'' ambayo znz inayo. Znz inasema yenyewe ni nchi na lazima iwe na rais hata kama hayo ni majina tu. Hili limelazimisha tume kutumia neno hilo hilo kwa Tanganyika...
well said, na hapa ndipo nasema rejeo la Tanganyika litawaacha na 'utaifa' wao huku Watanganyika wakiepuka matatizo yanayotokana na nationalism iliyojengwa katika msingi wa hatred.Nguruvi; sijui kama naweza kuita kinachoendelea Zanzibar ni "nationalism" yaani "utaifa". Hii ni kwa sababu Zanzibar haijawahi kuwa na "utaifa" wenye kuwavuta watu wote katika umoja. Hata tukiuita utaifa kwa kweli ni utaifa unaotokana na kuipinga Tanganyika zaidi kuliko kuipenda Zanzibar zaidi. Ni kwa sababu "taifa la Zanzibar" lilikuwa lina maana tofauti kabisa kwa makundi mengi ya watu visiwani humo kiasi kwamba tofauti ambazo zinaonekana zimezikwa sasa zitajitokeza wazi tena kwa nguvu zaidi baada ya taifa Zanzibar kuwa nchi nje ya Muungano.
Wazanzibari ni hivyo hivyo. I would call what is happening in Zanzibar as a "Political Opportunism" veiled as "nationalism" brought by a collective sense of hatred against the Union and more categorical, against the Mainland, Tanganyika.
well said, na hapa ndipo nasema rejeo la Tanganyika litawaacha na 'utaifa' wao huku Watanganyika wakiepuka matatizo yanayotokana na nationalism iliyojengwa katika msingi wa hatred.
Pili, tuwe na kura ya moni ili wajipime kwanza kama nje ya muungano 'nationalism' itafanya kazi.
Tanganyika nao wajitahmini kama kuna sababu za kujitoa kwa malipo ya hatred
Wakiamua kuwa nationalism itafanya wpewe fursa hiyo.
Wakisema wanashaka tutawaambia,kwanza waweke nationalism pembeni tukae tuongee tunawezaje kufanya kazi katika utaifa wenye maana lakini kila mmoja akiwa na akiba ya utaifa wake(Tanganyika au Zanzibar).
Kama hawataki basi tuvunje jahazi
Hii nationalism ya kutuletea matatizo sasa basi. Hii nationalisma ya kuvizia nafasi, vyeo na kukwepa gharama Watanganyika tumechoka. Tupewe nafasi ya kuamua mustakabali wetu tuwaache na nationalism yao.
Hapana unakosea kuua utaifa wa Tanganyika kulizaa utaifa wa Tanzania ambao wewe pia unao. Hakuna mzanzibar anayeweza kusimama na kukataa kuwa hana utaifa wa Tanzania.Kama mliuzika hai utaifa wenu basi msitarajie zbr kuuzika utaifa wake,aliye uuwa utaifa wenu wadanganyika mnamjua msiwalaumu wa zbr kwa kubaki na utaifa wake,mlijitahidi kwa takribani kwa miaka 50 sasa na imekushindeni kuufuta utaifa wa wazbr,hakuna njia nyengine mtakayoweza kuifuta zbr isipokuwa muirejeshe tanganyika yenu ili maisha yasonge mbele.
You are very wrong.Kwanza, nadhani nimejibu hoja yako kuhusiana na chama na serikali kutawala kwa wakati mmoja kisiasa na kiuchumi katika dunia ya sasa, na ulichofanya hapo juu haikuwa kujibu hoja zaidi ya kuzunguka zunguka;Pili, ni muhimu ufanye utafiti kidogo juu ya federalism elements zilizopo china; Nadhani hauna taarifa za kutosha juu ya federalism in China; Tatu, kuhusiana na federalism vs unitary system na efficiencies zilizopo kisiasa na kiuchumi, sio tu kwamba I can debate you on that as well, bali pia I already did;nimejadili sana hili kwenye uzi mwingine ambao nilikualika rasmi lakini hujashiriki kuja na counter arguments; Nikipata muda, nitazijadili katika uzi huu ingawa itakuwa ni kama kujirudia kwako;Nne, wewe kusema hauoni maana na umuhimu wa serikali tatu katika muungano wa nchi mbili, kwa kweli inatia shaka juu ya uelewa wako kuhusiana mfumo wa utawala katika mahusiano ya kimataifa katika muktadha wa muungano baina ya nchi husika; pia inaonyesha kwako serikali tatu is synonymous to marais watatu, na hili ndio linawasumbua zaidi, am I right? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mzee Mwakijiji, kiukweli nakuvulia kofia!, you are very intelligent man!. Ukisoma andiko lako hili kwa juu juu utadhani wewe ni muumini wa dhati wa muungano! kwa kuweka nukuu lukuki za uoga wa Mwalimu kuhusu serikali tatu!. Hii para ya mwisho ndio inayobeba uzito wote wa andiko lako!. Naona sasa unaiendeleza ile kampeni yako ya "let Zanzibar go!" kwa kuchagizwa kuvunjwa kwa muungano in a civilized manner ili usionekane ni mchochezi, kwa kupendekeza serikali moja!, unitary government, kitu ambacho unatambua fika, kamwe Zanzibar haiwezi kukubali!, hivyo tukishinikiza serikali moja, Wanzanzibari watakataa na kuamua bora watoke!.Mimi napinga serikali tatu - naamini kama kweli watu wanataka tuimarishe Muungano basi ni kuunda nchi moja, serikali moja mifumo mbalimbali au utengano! Kwani nani kasema ni lazima tuungane? Hatutakuwa nchi ya kwanza duniani kuvunjika na watu kuendelea kuishi pamoja na ujirani mwema.