Kwanini SGR inatangulia Mwanza kabla ya Kigoma?

Kwanini SGR inatangulia Mwanza kabla ya Kigoma?

Haya maelezo na maswali yoye unayaelekeza kwa nani? tuanzie hapo kwanza!
 
Hata Mobutu wa Zaire alifanya hayo lkn leo hii kumebaki magofu.
Wacha kelele wewe hii kanda ndio yenye migodi mikubwa, kuna biashara kubwa kubwa zinafanyika. Ilitakiwa mikoa yetu yote ipitiwe na SGR, haya kufa sasa
 
Unategemea magazeti kuongeza uelewa wako? Umekwisha!
Umesoma au umeamua kubisha tu. Mimi nimekupa reference, nawe nipe reference. Unapobisha uwe na ushahidi, sio kubisha tu.

Vv
 
Your logic is baseless and nonsense, in short it is proffesorial rubbish!

Hivi kiuchumi, ni kipi kiko Mwanza ambacho strategically kinaikuza Mwanza na Kigoma hakipo?

Tuna viongozi wasio na vision hata chembe, kwa Sera ya viwanda mkoa ambao ungeibeba Sera hiyo ni Kigoma

Ina ziwa lenye samaki wengi na watamu zaidi ya Victoria! Kigoma inahitaji miundombinu tu kama Kigoma International Airport (na si Chato), barabara za lami, umeme wa uhakika ili viwanda vifumuke huko na usafiri wa treni wa uhakika (siyo Deluxe Train inayotumia siku NNE kufika Dar

Kwenye usafiri wa anga sasa, ni nafuu kwenda South Africa kwa ndege kuliko kwenda Kigoma
Kwamba reli ianze kigoma kwa sababu kuna samaki watamu hahah, usirudie kuilinganisha Rock city na Kigoma. Mwanza ni jiji la kibiashara kwa mikoa yote ya kanda ya ziwa
 
Kati ya mwanza na kigoma wapi kuna abiria wengi,
Route ya mabasi ya kutoka dar es salaam kwenda Kahama ni kubwa kuliko baadhi ya route za mikoa kama Kigoma, Songea, Manyara,Tanga Sembuse Mwanza?
 
Hivi hamna reli inayo enda Kigoma kweli.. Nakumbuka kwenye maarifa ya jamii.. Wale wenzangu tukumbushane hapa
Ipo bwana reli inaenda kigoma, kwanza ilikuwa bahati mbaya tu. Lakini kwa hii lazima iende mwanza kwanza huko si kwa Jiwe, na itafika mpaka chatto.
 
Hata reli ya kutoka kahama mpk Rwanda itaanza na kukamili huko Kigoma kutabaki hivyo hivyo. Tuliipenda wenyewe!
Kahama ina uchumi mkubwa kuliko Kigoma, Kahama ina vitu vikubwa ambavyo havipatikani mikoa mingine japo ni wilaya.
 
Wewe umekaribia sana jibu nililotaka kumpa mleta mada, lakini kwa maandishi laini sio kama haya yako.

Ngoja nijaribu: Ujenzi wa miundo mbinu kama reli, hufuatana na biashara iliyopo. Kiasi cha mizigo, abiria watakaotumia miundombinu hiyo. Na kabla ya kuangalia biashara inayotoka nje, kwanza ni biashara ya ndani ndio inatoa msukumo mkubwa. Lengo la biashara ya nchi za jirani, hilo hufuata, kama lengo la mda mrefu.

Eneo la Ziwa, hujumuisha Mwanza, Shinyanga, Kagera, Mara, Simiyu n.k.,, sio Mwanza peke yake; lina wakazi wengi na bila shaka biashara yake nayo itakuwa ni kubwa. Sidhani kuwa ni sahihi kuiangalia Mwanza pekee kuwa ndiyo inayopelekewa hiyo miundombinu.
Kigoma nayo ina sehemu yake, sidhani kuwa imetengwa.

Ukiniuliza kuhusu uwanja 'mkubwa' mpya wa ndege Chato, hapo sina jibu. Hivi Kigoma kuna uwanja kama huo?
Hahaha labda nfio maana tuliambiwa tusivue samaki ili wazaliane kwanza ili Reli ikikamilika sasa tuuze samaki wabichi Dar
 
Uliza kwanza kwann CHATO kunajengwa internaional airport, ukijibiwa hilo na jibu la SGR litakuwa tayari mkichwani mwako!
Uncle vitu ka uwanja wa chato huwezi jua malengo yake..
NB: VITU VINGINE VINAJENGWA KWA MIKAKATI AMBAYO SERIKALI HAIWEZI SEMA SO UCHUKULIENI UWANJA WA CHATO KA NI WA KISTRATEGIC ZAIDI..
 
Route ya mabasi ya kutoka dar es salaam kwenda Kahama ni kubwa kuliko baadhi ya route za mikoa kama Kigoma, Songea, Manyara,Tanga Sembuse Mwanza?
Fanya research
Mi kwetu musoma ila niko dsm
Na kuna mda nilkuwa ubungo
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv
Mkuu kuna mjadala aliuweka Zito kabwe na haukupata majibu, nzito alisema kama ulivyosema wewe lakini pia aliweka na figure za ujazo wa mizingo inayokwenda mwanza na inayokwenda kigoma. Ilionyesha kuwa kigoma mizigo ni mingi kuliko mwanza.
Kitu kibaya sasa ni hivi, ukarabati wa reli ya Zamani kuiunganisha kuondoa gapes pia unaelekea mwanza kabla ya kigoma na pia SGR inakwenda kwanza mwanza, inaonekana kama upendeleo fulani hivi. Labda kwa kuwa Mwanza ni jiji au?
 
Huo ndio ugonjwa wa watawala wa Afrika, kila mtu anawaza kwao. Hivyo ndivyo walivyofanya Felix Houphet Bougney wa Ivory Coast akahamisha makao makuu ya nchi kutoka Abidjan kwenda Yamousokro na ndivyo alivyofanya Mobutu.

Ni Nyerere pekee alitanguliza maslahi ya Taifa, waliomfuatia wanamsifu na kutumia kazi na hotuba zake pale tu zinapokubaliana na maslahi yao.

Vv
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv

Kwa sababu Mwanza ni karibu na kwa wenye nchi na kigoma ni karibu na wapinzani ZZK
 
Yaani swali lako Ni sawa na anaeuliza Kwanini SGR inafika kwanza Morogoro kabla ya Dodoma.

Alafu mwingine anauliza, Kwanini Umeme unapita kijiji A na kwenda Kijiji B?

Kimsingi hoja yako Haina mantiki
 
Yaani swali lako Ni sawa na anaeuliza Kwanini SGR inafika kwanza Morogoro kabla ya Dodoma.

Alafu mwingine anauliza, Kwanini Umeme unapita kijiji A na kwenda Kijiji B?

Kimsingi hoja yako Haina mantiki
Umeisoma au umekimbilia kupost tu? Jibu basi hata hoja moja.

Vv
 
Back
Top Bottom