Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
- Thread starter
- #101
Miradi ya aina hiyo imejaa Tanzania yote, tatizo kubwa ni umasikini na elimu duni.Kigoma endeleeni na mradi wenu wa TELEZA reli itakuja. Tunaunganisha reli pande zote but tunaanza na kuliko na biashara na watu wengi. Sitasahau mlivyo kuwa wachafuzi wa mabehewa nyie kina Zitto!
Nenda Njombe, utakuta mauaji ya watoto, nenda Mbeya, utakuta uchunaji ngozi za watu, kupiga nondo na mengine, nenda Shinyanyanga, utakuta ushirikina wa ajabu hadi kwenye ngoma. Yaani ushirikina kila sehemu nchini.
Vv