Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
- Thread starter
- #41
Rejea post # 40. Nimeizungumzia Rwanda na mbuga yao moja ya Sokwe inayopokea maelfu ya watalii kila mwaka. Kigoma wanazo mbuga mbili za viumbe adimu duniani, umewahi kujiuliza kwa nini watalii hawatembelei mbuga hizo kwa wingi?Watu wa Kigoma msipotumia fursa hii ambapo mumepata waziri wa fedha kumaliza miradi ya barabara ya kuufungua mkoa wenu ndo mjue imetoka mtasugua sana benchi mwenzenu waziri wa ujenzi anatumia fursa
Vv