Kwanini SGR inatangulia Mwanza kabla ya Kigoma?

Mwanza walidhumiwa pesa ya fidia Kyle Lwanihima- buhongwa ilipokuwa imetengwa kwa ajiri ya Bandari kavu ilisemekana wanufaika hawakuwa wazawa, tena na akaunt za kuweka ela zilikuwa tayari NMB .maagizo kutoka juu iliamliwa wachukue Fela
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv

tunaanza na mwanza tutakuja kigoma lakini muhimu kufika bandari kavu ya isaka twende na SGR
 
Ubishi mwingine hauna maana. Kupeleka Mwanza inamaanisha wanufaika ni shinyanga, simiyu, mwanza, geita, kagera, mara.

Tabora- Kigoma mnufaika ni kigoma tu. Leo hii kusafirisha mizigo ya congo imekuwa ni bora kuliko watanzania walipa kodi!!
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv
HOME SWEET HOME !!! REGIONALISM
 
i
Ubishi mwingine hauna maana. Kupeleka Mwanza inamaanisha wanufaika ni shinyanga, simiyu, mwanza, geita, kagera, mara.

Tabora- Kigoma mnufaika ni kigoma tu. Leo hii kusafirisha mizigo ya congo imekuwa ni bora kuliko watanzania walipa kodi!!
inakuwa haina quick economic return!

ILA INGEANZA KIGOMA
 
Ubishi mwingine hauna maana. Kupeleka Mwanza inamaanisha wanufaika ni shinyanga, simiyu, mwanza, geita, kagera, mara.

Tabora- Kigoma mnufaika ni kigoma tu. Leo hii kusafirisha mizigo ya congo imekuwa ni bora kuliko watanzania walipa kodi!!
Kabla ya SGR walikuwa hawanufaiki kwa kiwango watachonufaika wakushapata SGR? Hiyo mikoa ina wanadamu bora kuliko Kigoma? Kumbuka bila hata SGR hao watu unaowataja bado wananufaika zaidi kuliko Kigoma.

Pia hata kama Kigoma wangetangulia kupata hiyo SGR bado hiyo mikoa uliyotaja isingepungukiwa maana bado wanazo barabara zonazopitika wakati wote, wenzao Kigoma barabara zao ni za wakati wa kiangazi pekee.

Vv
 
Reli ya Kigoma Ipo na inatumika mpaka leo... Ila Jamaa swali lake kwanin Mwanza kwanza na sio Kigoma ambao miundombinu haijakaa sawa Bado??
Mwanza ndiko kwenye shehena kubwa ya mizigo, Hapa tunapambana na Mombasa maana wanataka kuhodhi mizigo yote ya Uganda, Sasa sisi SGR ikiwahi kufika Mwanza maana yake mizigo mingi ya Uganda itakuwa inapita kwetu ambako mabehewa ya mizigo ya Uganda yatakuwa yanaingia moja kwa moja kwenye meli na kwenda kuunganisha na reli ya Port Bell.
 
Mkuu ongea na figures badala ya hisia.
Una maanisha nini unaposema figure? Unataka tuamini kigezo cha figure ndicho kinachotumika kuitenga baadhi ya mikoa na kuipendelea mingine?

Kwa kutumia kigezo cha figure maana yake huko walipotanguliziwa SGR waendelee kupewa kipaumbele kwenye kila fursa? Unapozungumzia figure maana yake ni kuwa serikali iya-ignore maeneo mengine na kuyafanya yadumae na kuyapa kipau mbele mengine yaendelee kustawi?

Kukusaidia na kuweka kumbukumbu sawa, mkoa wa Pwani ulikuwa miingoni mwa mikoa maskini kabisa miaka 5-10 iliyopita, leo Pwani ni miongoni mwa mikoa iliyo mbele kimaendeleo na sio masikini tena. Maendeleo ya Pwani kutoka mkoa masikini kabisa na kuwa mkoa tajiri kabisa nazo ni figure? Hizo figure haziji wala kujizalisha automatically, zinawekewa mazingira. Geita pamoja na utajiri wake wa dhahabu bado ni mkoa masikini kabisa, hizo figure huko hazipo?

Vv
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv
Wewe bora hata ungelilia barabara sgr haitakusaidieni chochote by the way mumekuwa na reli since colonial era nothing tangible has changed
Piga kelele barabara ya Kigoma Geita,kagera,,Kigoma mpanda,,Kigoma Tabora,,Kigoma hadi mwambao mwa ziwa Tangangika miradi hii ndio italeta tija huko kwenu na mumshukuru Jk,wenzenu Katavi road ya kwenda tabora tu hapo kuna kuna kampuni tatu ziko site nyie kila mwaka hakuna barabara iliyokamilika
 
Inakwenda luunganishwa na viwanja 2 vya ndege ili kuleta ufanisi ( Mwanza na chato).
 
Wewe bora hata ungelilia barabara sgr haitakusaidieni chochote by the way mumekuwa na reli since colonial era nothing tangible has changed
Piga kelele barabara ya Kigoma Geita,kagera,,Kigoma mpanda,,Kigoma Tabora,,Kigoma hadi mwambao mwa ziwa Tangangika miradi hii ndio italeta tija huko kwenu na mumshukuru Jk,wenzenu Katavi road ya kwenda tabora tu hapo kuna kuna kampuni tatu ziko site nyie kila mwaka hakuna barabara iliyokamilika
Umenena vema mkuu, nimetumia SGR kama kigezo tu, hata hiyo barabara nimeizungumzia tu. Yaani wangijitahidi hata kuwapelekea hizo barabara ili kuipa SGR uhalali wa kuipeleka Mwanza.

Vv
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv
Ukianza kuua Nyoka unaanzia mkiani au kichwani?
 
Hivi hamna reli inayo enda Kigoma kweli.. Nakumbuka kwenye maarifa ya jamii.. Wale wenzangu tukumbushane hapa
Ficha ujinga muda mwingine kwa kukaa kimya, kwani hakuna reli ya kwenda mwanza? Concern ya mleta mada ni kuhusu SGR. Kwanini iende mwanza kabla ya Kigoma?
 
Umenena vema mkuu, nimetumia SGR kama kigezo tu, hata hiyo barabara nimeizungumzia tu. Yaani wangijitahidi hata kuwapelekea hizo barabara ili kuipa SGR uhalali wa kuipeleka Mwanza.

Vv
Sgr ikija kgm hakuna cha maana itasaidia uzoefu wa reli ya mkoloni mnayo,piga kelele mkoa ufunguke kwa barabara ndio itawasaidia
Leo hii mikoa mipya ya Geita njombe na simiyu wanajengewa barabara zingine nyie hakuna hata moja ya zamani iliyokamilika
 
Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.

Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.

Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?

Vv
Mkuu Mwanza uchumi wake uko juu ukilinganisha na kigoma, jiulize Kwa nini ndege zinaenda zaidi ya mara 4 Kwa siku, uliza mizigo inayoenda Mwanza na kigoma wapi iko mingi, Mwanza ndio centre ya migodi yote Tanzania mizigo ni mingi, sasa hivi wanajenga kuangalia wapi iko pesa sio mambo ya ujamaa inajenga tu hata kama kuna hasara
 
Watu wa Kigoma msipotumia fursa hii ambapo mumepata waziri wa fedha kumaliza miradi ya barabara ya kuufungua mkoa wenu ndo mjue imetoka mtasugua sana benchi mwenzenu waziri wa ujenzi anatumia fursa
 
Uchumi wa Mwanza umechangamka na no mkubwa kuliko was Kigoma. Simple logic!
Poor logic! Uchumi hauchangamki bali unachangamshwa, mazingira ya kuuchangamsha uchumi yanatengeneza na serikali, duniani kote iko hivyo. Mkoa wa Pwani hadi 2010 ulikuwa mmojawapo ya mikoa maskini Tanzania, leo ni miongoni mwa mikoa tajiri Tanzania.

Rwanda, wamayo mbuga moja tu, tena ni mbuga ya Sokwe, hiyo Rwanda Chimpanzee National Park ni mbuga maarufu sana duniani, kwa mgeni kuingia kuwaona sokwe huko inagharimu USD 1500/- na watalii wanafurika huko. Huko Kigoma zipo mbuga mbili za Sokwe, wageni wanaenda kuwaona hao sokwe kwenye mbuga moja, hawazidi 5000, unadhani sababu ni nini?

Vv
 
Back
Top Bottom