Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme.
Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma
Kweli hii inaingia akilini?. Nawaomba Wananchi mwaka 2025 tufanye mabadiliko.