..kosa la kiufundi walilolifanya ni kujiaminisha kuwa accacia ni mashetani na barrick ni malaika.
..mkakati wa mabeberu ulikuwa ni accacia kutubinya kwa kutufungulia kesi ktk mahakama ya kimataifa, huku barrick wakitulaghai kwa kufanya mazungumzo na serikali.
..barrick ameweza kufanya mambo mawili dhidi yetu. Kwanza, amewachomoa minority share holders wa accacia kwa kuwalipa kiasi walichokitaka. Pili, ametulazimisha kuachana na madai ya usd 191 billion na kuzitupilia mbali ripoti za Prof.Mruma na Prof.Ossoro.
..Binafsi baada ya kusomwa ripoti zile, na mahasira na kujimwambafy alikoonyesha Jpm, ungeniambia matokeo yake yangekuwa haya ningekupiga makofi.
Cc
Chige