Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,948
- 62,770
kwa mujibu wa lisu zile ripoti za akina mruma ni professorial rubbish
He almost lost his life aise
Unauliza swali wakati jibu umeshajibu kwenye mada yako!
Yaani unaiuliza serikali wakati hapo hapo unasema jibu litapatikana ikija serikali nyingine! Sasa unataka jibu gani zaidi ya ulilojijibu?
Subiri hiyo serikali yako mpya ikija utapata jibu lako!
ACACIA wameandika barua kwa DPP ya kukiri na kuomba msamaha na wamekubaliwa kulipa kulingana na urefu wa kamba!Nimeiuliza serikali hii itupe majibu kwa nini imesamehe Trilion zetu 424 ambazo ripoti ya uchunguzi ya profesa Mruma na Osoro ilibaini ACACIA kutuibia ktk madini yetu.
ACACIA wameandika barua kwa DPP ya kukiri na kuomba msamaha!
Unaiuliza serikali hii wakati una serikali yako inakuja madarakani?Nimeiuliza serikali hii itupe majibu kwa nini imesamehe Trilion zetu 424 ambazo ripoti ya uchunguzi ya profesa Mruma na Osoro ilibaini ACACIA kutuibia ktk madini yetu.
Baadhi zitarudishwa kuliko kukosa kabisa!Wamerudisha fedha?
Apology ndo hiyo ya $300M!Just imagine!
Halafu leo jamaa wanajifanya hizo Trilion kama vile hazikuweko!
They owe us an apology
Tena Serikali ijayo iende mbali zaidi kudai fidia kwa wakoloni kuitawala nchi yetu bila ridhaa yetu!Unaiuliza serikali hii wakati una serikali yako inakuja madarakani?
Hizo nguvu za kuuliza serikali ambayo unadhani imefanya makosa ungezitumia kuhakikisha serikali yako inayokuja madarakani inakuja kweli kuwachukulia hatua wale wote waliosamehe hizi Trilion 424 labda kama huiamini pia hiyo serikali yako!
Unaiuliza serikali hii wakati una serikali yako inakuja madarakani?
Hizo nguvu za kuuliza serikali ambayo unadhani imefanya makosa ungezitumia kuhakikisha serikali yako inayokuja madarakani inakuja kweli kuwachukulia hatua wale wote waliosamehe hizi Trilion 424 labda kama huiamini pia hiyo serikali yako!
Apology ndo hiyo ya $300M!
Kwani ya sasa hivi imeishatoa majibu ya awamu ya NNE!Serikali ni taasisi endelevu
Ikitoka ya awamu ya tano itakuja ya awamu ya sita.
Kwa vyovyote serikali lazima itoe majibu kwa nini imesamehe trilion 424
Tunaanza kuihoji hii kwa sababu ndiyo iliyoko madarakani kwa sasa na ndiyo iliyochukua uamuzi huu wa ajabuajabu
Tupe ufafanuzi ni jinsi gani tungeweza kuzipata hizo Trilioni 424 na bado tukaendelea kuwekeza nao hao Barrick au Accacia...?Ndugu zangu
Kwa mujibu wa uchunguzi na utafiti ulioendeshwa na wataalamu wetu profesa Mruma na Profesa Osoro ilibainika wazi kabisa kuwa Watanzania tulikuwa tukiibiwa na kampuni ya ACACIA katika madini yetu hususan kupitia mchanga wa makinikia.
Kwa mujibu wa Utafiti huo ilibainishwa kuwa pamoja na dhahabu walizokuwa wakikomba, walikuwa wakikombana madini mengineyo kama vile copper, chuma, cobalt na mengineyo yenye thamani.
Uchunguzi ulionyesha kuwa kwa muda mzima walio-operate nchini, ACACIA wametuibia takriban dola bilion 190 ambazo ni takriban sawa na shilingi Trilion 424.
Hizi ni pesa nyingi, nyingi, nyingi mno. Cha kushangaza ni kwamba serikali hii iliyounda tume na kubaini haya IMESAMEHE HIZI PESA!
Mtu unajiuliza kama siyo Uhujumu Uchumi hii ni kitu gani?
Tulichoambulia eti ni kupewa asilimia 16 ya hisa kwenye madini yetu wenyewe huku Mabeberu yakiendelea kukomba asilimia 84 na kutuachia vijisenti vya Dola milion 300 ambayo haifiki hata TRLION moja, Yaani Tumesamehe Trilion 424 ili Tupewe vihela ambavyo havifiki hata TRILION 1, Tumerogwa?
Katika vitu ambavyo serikali inayokuja inapaswa kufanya baada ya awamu hii kutoka madarakani ni kuwachukulia hatua wale wote waliosamehe hizi Trilion 424.
Mimi najiuliza, Bajeti yetu ya kila mwaka haifiki Trilion 40, Halafu leo hii unasamehe Trilion 424 ambayo ni bajeti ya nchi ya miaka 10 na tena hapo bila kutembeza bakuli kwa wahisani!
Serikali itupe majibu, Isijifanye kuweka Ukimya ili kutusahaulisha
KWA NINI IMUACHIE MWIZI ASEPE NA TRILION ZETU 424?
Kama ni uwendawazimu ulianzia kwa mababu zako waliopokea gololi na kutoa almasi!Dola milion 300 ni sawa na shilingi 0.67 Trilion
Sisi tunawadai Trilion 424
wanachoturudishia hakifiki hata Trilion 1, Si uwendawazimu huo?
Ni afadhali tupokee ako ka mama Tibaijuka kuliko kutegemea ka Rugemarila ambaye amekataa kuomba msamaha!Daaa haka kapesa hakafikii hata ile ya mama Tibaijuka..Yaaaaaaniii