JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Ndo maana nimekuambia as long as huna tatizo kwenye kuzitii sheria bila shuruti za hao majambazi hakuna tatizo. Endelea kuwa mwaminifu katika hilo.Definition ya Serikali ni group la watu waliochaguliwa na watu kwa ajili ya kutetea maslahi ya watu hao.(Government of the people, by the people, for the people)
Sasa hiki kikundi cha majambazi kinachoongoza watu hapa Tanzania kimekosa sifa zote kuu mbili:
1.Hiki kikundi cha ugaidi hakijatokana na watu.Hakina kibali cha wananchi.
2.Hakitetei maslahi ya wananchi.
Kwa sababu kikundi hiki cha ugaidi kimekosa sifa kuu mbili za kuitwa Serikali hakiwezi kuitwa ni Serikali.
Hakuna sheria yoyote ninayotii ya magaidi bali nafanya mambo yangu kwa utashi wangu.Dhamira ikiniambia kuwa hili ni baya sifanyi ni ikiniambia kuwa hili ni zuri nafanya.Mfano tozo silipi hata moja kwa sababu ni jambo baya.Ndo maana nimekuambia as long as huna tatizo kwenye kuzitii sheria bila shuruti za hao majambazi hakuna tatizo. Endelea kuwa mwaminifu katika hilo.
Hayo ni mambo ya mauaji yatakuja siku zijazo bado yanaivaKama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi.
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam.
Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC.
Katika nyakati zote hizo mbili, sikusikia kabisa akiulizwa ni kwa nini serikali yake ilituficha kuhusu kuugua kwa Rais Magufuli.
Wananchi hatukupata taarifa zozote zile zilizo rasmi hadi tukaishia kutegemea habari umbea na zisizo rasmi kupitia mitandao ya kijamii.
Kimya kilipozidi kutanda, tukaanza kudokezwa dokezwa kuwa hali si nzuri, mara sijui yupo anachapa kazi, mara sijui anafanywa nini…
Haikupendeza hata kidogo. Na hata vyombo vya habari vya kimataifa viliripoti kuhusu tetesi za kutoonekana kwa Magufuli.
Kwangu hili halikubaliki kabisa!
Wananchi kama waajiri wa hawa viongozi wetu, tuna haki ya kujua kuhusu afya za viongozi wetu.
Hapa simaanishi kila kitu kuhusu afya. Namaanisha tu ile kwa ujumla wake.
Kama mtu anaumwa, kalazwa, tuna haki ya kujua.
Mambo ya kuficha/ kufichwa halafu mnakuja tu kuambiwa mtu kaaga dunia, hayafai.
Hivyo, ningependa sana kujua kwa nini wananchi hatukupewa taarifa.
Na itokeapo fursa ingine ya Rais Samia au hata waziri mkuu Majaliwa kuongea na waandishi wa habari, ningependa kuona na kusikia wakiulizwa ni kwa nini hawakutufahamisha kilichokuwa kinaendelea.
Pascal Mayalla take note and spread the word.
Hahaha. Sawa sawa behaviourist.Hakuna sheria yoyote ninayotii ya magaidi bali nafanya mambo yangu kwa utashi wangu.Dhamira ikiniambia kuwa hili ni baya sifanyi ni ikiniambia kuwa hili ni zuri nafanya.Mfano tozo silipi hata moja kwa sababu ni jambo baya.
Samia na marais wote waliopita huwa wanapelekewa maswali kwanza, may be 1-2 weeks before ili yaandaliwe majibu. Maswali huwa yanakuwa "censored" na swali lolote tatanishi huwa linaondolewa na ole wako uje ulichomekee siku ya interview ikfika.Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Katika nyakati zote hizo mbili, sikusikia kabisa akiulizwa ni kwa nini serikali yake ilituficha kuhusu kuugua kwa Rais Magufuli.
Kutokulipa tozo siyo kinyume cha sheria?Yaani kutokulipa kodi za majengo siyo kinyume cha sheria?!Hahaha. Sawa sawa behaviourist.
Tozo hulipi hata moja na pia unafanya mambo kwa utashi wako na imetokea tu kuwa mambo yote ya utashi wako uyafanyayo si kinyume cha sheria za unaowaita majambazi.
Huwezi ikwepa hiyo kodi acha mbwembwe unless ww ni wa kuhudumiwa kila kitu.Kutokulipa tozo siyo kinyume cha sheria?Yaani kutokulipa kodi za majengo siyo kinyume cha sheria?!
Kodi ya jengo ambayo sikubaliani nayo na ambayo silipi ni hii ya tozo za Luku.Sihudumiwi chochote ila nimehamia kwenye umeme wa Solar kupinga sheria kandamizi.Huwezi ikwepa hiyo kodi acha mbwembwe unless ww ni wa kuhudumiwa kila kitu.
Nini Vice mtaalam hicho cheo ni ceremonial tu mzee hata CDF anaweza kumvimbia VP ukitaka kuona hicho cheo hakina impact yoyote kimfumo angalia Uturn Alizopiga Bi mkubwa baada ya kushika cheo cha UraisVice President hakujua kama President anaumwa?! Mkuu are you serious and well informed?!
Whereabouts zitaanza sasa ivi twitter hawa activists uchwara watamsahau Gaidi mbowe waanze hashtag za whereaboutsNi wiki kadhaaa sasa tangu makamu wa Raisi ndugu philipo haonekani hadharani. Kuna taari fazinadai yuko mahututi,
Kama hizi taarifa ni za kweli Naona tabia ya kuficha maradhi na vifo vya viongozi wetu inaendalea
Kuna hali mliyoizoea mnaimiss! Kv. Rais amsimamisha kazi waziri f,afukua madudu bandarini nk. Poleni!Rais anapwaya mno jamani, kiti kimemlemea.
Noted. This is very valid question ila hata ningepata chance kumuuliza Rais Samia, nisinge uliza swali hili, ni open ended question, nitajibiwa "Acha maswali ya chokochoko, umwache JPM apumzike kwa amani"Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi.
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam.
Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC.
Katika nyakati zote hizo mbili, sikusikia kabisa akiulizwa ni kwa nini serikali yake ilituficha kuhusu kuugua kwa Rais Magufuli.
Wananchi hatukupata taarifa zozote zile zilizo rasmi hadi tukaishia kutegemea habari umbea na zisizo rasmi kupitia mitandao ya kijamii.
Kimya kilipozidi kutanda, tukaanza kudokezwa dokezwa kuwa hali si nzuri, mara sijui yupo anachapa kazi, mara sijui anafanywa nini…
Haikupendeza hata kidogo. Na hata vyombo vya habari vya kimataifa viliripoti kuhusu tetesi za kutoonekana kwa Magufuli.
Kwangu hili halikubaliki kabisa!
Wananchi kama waajiri wa hawa viongozi wetu, tuna haki ya kujua kuhusu afya za viongozi wetu.
Hapa simaanishi kila kitu kuhusu afya. Namaanisha tu ile kwa ujumla wake.
Kama mtu anaumwa, kalazwa, tuna haki ya kujua.
Mambo ya kuficha/ kufichwa halafu mnakuja tu kuambiwa mtu kaaga dunia, hayafai.
Hivyo, ningependa sana kujua kwa nini wananchi hatukupewa taarifa.
Na itokeapo fursa ingine ya Rais Samia au hata waziri mkuu Majaliwa kuongea na waandishi wa habari, ningependa kuona na kusikia wakiulizwa ni kwa nini hawakutufahamisha kilichokuwa kinaendelea.
Pascal Mayalla take note and spread the word.
Nisinge uliza kwasababu mimi tayari ni black listed baada lile swali kwa JPM pale Ikulu, na najua the consequences za kuwa black listed, I wouldn't wish to ask any hard or tough questions, jina langu likarudishwa na kwenye kitabu cha Samia.Usingeuliza kwa sababu unaogopa au kwa sababu unasadiki unajua utachojibiwa?
Una nyumba ya kuishi na nyumba ya biashara? Au umeajiriwa?Kodi ya jengo ambayo sikubaliani nayo na ambayo silipi ni hii ya tozo za Luku.Sihudumiwi chochote ila nimehamia kwenye umeme wa Solar kupinga sheria kandamizi.
KIlikuwa kipindi tete Kama zingekuwa nchi nyingine za afrika tungeshapoteza mwelekeo.Embu dadavua mkuu? Kwa hiyo wajeda walikalia nji?
Nyumba ya kuishi.Una nyumba ya kuishi na nyumba ya biashara? Au umeajiriwa?
Mabeho=MabeyoWanadai huyo mama mwenyewe hakuwa na uhakika wa maisha yake ndani ya siku zile chache.
Tumshukuru Mabeho na wasaidizi wake kwa kuweza kuiongoza nchi bila ya kuwa mbele ya macho ya watu.