Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,656
- 7,275
Kwanini serikali ilundike mavyuo kanda moja na kusahau pengine? Sisi sote ni watanzania.Mkuu chuo kikuu ni kwa ajili ya local communities? Hadi Kigezo cha idadi ya watu kizingatiwe? Je vyuo vikuu vinajengwa eneo fulani kwa sababu ya uchumi mkubwa uliopo eneo husika? Kwani hivi vyuo vunaenda kuuzwa ama kufanya biashara? Shida hasa ya kanda ya ziwa ni nini? Je wanafunzi wake kwa sasa hawapati nafasi ya kuingia katika vyuo vilivyo maeneo mengine ambayo wewe umeamua kuyata kanda? Wacha nane na haya mambo, ni moja hii na ni ya kila mtu.