Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 943
- 1,256
Yaani hii serikali ina maajabu sana,ilishashindwa nini kuanzisha chuo kikuuu cha serikali kanda ya ziwa?Kazi kulazimisha tozo tu.
Ndo akili yako ilivyo kutuma! Nimepokea ila tumia lugha nzuri!Mleta mada ni bwege. Eti ukanda wa ziwa una watu wanapenda masomo ya sayansi. Ni nani kakwambia chuo kinawekwa sehemu wenyeji wana maslahi nacho?? Kama chuo sio kwa ajili ya wenyeji TU basi haijalishi kiko wapi?? Moshi Tech ilikuwa ni kwa ajili ya mji wa Moshi? Au Mbeya Tech na Arusha Tech zilikuwa ni kwa akili ya wenyeji wa maneo hayo??
Nilidhani utaweka maslahi ya kiuchumi. Na kama ni hivo basi kuna makao makuu ya mikoa kadhaa hayana vyuo - Babati, Katavi, Songea, Shinyanga, Simiyu.
Je, kwanini sehemu hizo zisiwe na chuo hicho?? Au watu wa huko hawapendi masomo ya sayansi? Kuna sehemu katika nchi hii zinapaswa kusisimuliwa kiuchumi kwa kuwa na vyuo. Labda sio sahihi kwa chuo hiki kuwa Dodoma lakini kwa sababu zako za kijinga, wakiweke popote!!
Uwezo mdogo wa kufikiri ndio shida ya nchi hii.
Mapori hapana! Kanda ya ziwa hauijui wewe!Wewe nawe ni mjinga tu. Nani kakudanganya kwamba kanda ya ziwa kuna mapori ?
Hehehe, wahamie chato kila kitu hadi simba na twiga kipo huko.Wana mwonea tu bi Hangaya wetu bana
Na wewe taja unakoona hakuna hicho nilichoeleza sio kuleta lawama hapa!Mleta mada kwenye nchi hii umeiona Kanda hiyo..Mnashida sana nyie!!
Hujui kitu kabisa. Tunaongelea kanda ya ziwa wewe unatuletea habari za mkoa wa Kagera pekee. Hii inaonyesha jinsi iq yako ilivyo ndogo. Kwa taarifa yako mapori yote yaliyoko mkoa wa Kagera ni hifadhi za Taifa. Pamoja na hayo bado mkoa wa Kagera una idadi ya watu wengi kuliko hiyo Dodoma yako. Sasa nieleze katika mikoa mingine ya Kanda ya ziwa ni upi una mapori ? Wewe jinga hujui kitu.Mjinga babako hapa inabidi nikurudishie lugha yako ya kishenzi, just Google kidogo angalia ukubwa wa mkoa kama Kagera ni 35,686 km square while mkoa kama Dodoma ukubwa wake ni 2576 square kilometers, hiki ndio nachoongelea na ukiangalia mkoa wa kagera miji ni kidogo sana kushinda ukubwa wenyewe wa mkoa unakuta pale bukoba ndio Kuna population kubwa kidogo kwingine angalia mapori ya biharamulo na kwingine so bwana mdogo labda nikuelimishe tu uache kutukana watu bila kujua unaongelea nini.
Watu wananiona kama napendelea kanda ya ziwa kwenye maada hii! Ila naangalia population,economic power ya kanda ya ziwa alafu chuo kikuu cha serkali hamna hii haiko sawa!
Hapa umeongea kwa hisia sio ukweliMjinga babako hapa inabidi nikurudishie lugha yako ya kishenzi, just Google kidogo angalia ukubwa wa mkoa kama Kagera ni 35,686 km square while mkoa kama Dodoma ukubwa wake ni 2576 square kilometers, hiki ndio nachoongelea na ukiangalia mkoa wa kagera miji ni kidogo sana kushinda ukubwa wenyewe wa mkoa unakuta pale bukoba ndio Kuna population kubwa kidogo kwingine angalia mapori ya biharamulo na kwingine so bwana mdogo labda nikuelimishe tu uache kutukana watu bila kujua unaongelea nini.
Daaa!.... mlipewa bahati mkapewa john mkashindwa kumlinda
Chuo cha kilimo kipo Ukiruguru MissungwiThen Na nyie msubirie ni zamu ya kwingine. Ilikua uteuzi kanda, mrqdi kanda kwani mwalipa kodi wenyewe? Halafu elimu huwa hailetwi tu inafuata uhitaji. Mngeomba hata chuo cha kilimo Na pembejeo zake. Wakati mwingine jijueni kwamba mnahitaji nini Na kwa waksti gani.
Wakamjaza maujinga akajaa; akalewa sifa akaanza kuwatukana wenye systems zao. Kibaya zaidi akadiriki kujilinganisha na MUNGU!Imetoka hiyo mlipewa bahati mkapewa john mkashindwa kumlinda
Mnahitaji chuo kama SUA. Pia mnahitaji viwanda vya mbolea na viuatilifu pamoja na mbegu. Baada ya hapo mnahitaji viwanda vya kusindika vyakula. Know your priority aiseeChuo cha kilimo kipo Ukiruguru Missungwi
Huo ndo Utawala wa CCM chama cha Ubaguzi wa Makabila kulik hata ilivokuwa wa Makaburu wa South Africa!!!!Daaa yaani kanda nzima hakuna chuo kikuu cha serkali kwa kweli maajabu haya!
Usifikiri kuwa kila Chuoo ni Chuo Kikuu ndugu!! Kilichojengwa Chato ni VETA.....!!!kuna mji unaitwa Chato kanda ya ziwa, waliwezeshwa kuwa na technical collage, ama ujenzi haujakamilishwa
Unamtukana mzungu wakati una betri yake kwenye moyoWakamjaza maujinga akajaa; akalewa sifa akaanza kuwatukana wenye systems zao. Kibaya zaidi akadiriki kujilinganisha na MUNGU!
Yaliyotokea sote mashahidi!
Dar ni mji mkubwa ilikuwa ni lazima kiwepo chuo kikubwakumbe lengo la kujenga chuo kikuu pale UDSM ilikuwa kufungua uchumi wa eneo lile???
fafanua hapo ?