ebwana wewe bonge la genius umelezea sawa sawa, inagawa mie mwenywe nilikua sijui kwa nini tuna sema verse versa .Mtoa mada kama nimekuelewa vizuri swali lako ni kwamba kinachoonekana katika saa ndio kitamkwe au wakati uliopo ndio uandikwe kwenye saa, badala ya hii "viceversa" tunayotumia, kwa maana ya kwamba saa 7 kutamka saa 1.
Kwa Tanzania tunatumia huo mfumo wa viceversa mfano sasa hivi ni saa kumi na moja kamili jioni lakini kwenye saa yako ukiangalia ipo 5:00pm.
Kwa nchi za ulaya kilichopo kwenye saa yako ndio kinachotamkwa kwa maana ya kwamba, tukirudi katika mfano wetu wa saa kumi na moja kamili jioni wao wanasema ni saa tano kamili jioni kama ilivyo kwenye saa.
Kwa nchi za kiarabu, tukirudi kwenye mfano uleule wa saa kumi na moja jioni wao wanasema ni saa kumi na moja hivyo hivyo na saa zao zinaonesha hivyo hivyo Saa 11.
Swali la kujiuliza sisi Watanzania utaratibu huu wa kutamka viceversa tumeupata wapi?
Kwa mtazamo wangu hii imetokana na kuchanganya tamaduni tofauti za mataifa ya nje hasa waarabu (waislamu) na waingereza.
Kwanini?
1. Uarabuni siku inaisha saa kumi na mbili jioni. Kwahiyo saa moja jioni ndio saa la kwanza kwa siku mpya na tarehe mpya.
2. Waingereza siku inaisha saa sita usiku, hivyo ikiingia saa saba usiku kwao ndio saa la kwanza na tarehe mpya.
Sasa sisi baada ya utawala wa mwarabu, alipokuja mwingereza tumechukua utamaduni wa mwarabu tukachanganya na mwingereza tukapata kitu chetu "viceversa". Saa zetu tunaziweka zisome kingereza lakini kutamka, tunatamka kwa kiarabu. Matokeo yake ndio hivyo 5:00pm tunasema saa kumi na moja.
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
hahahahaahah mbona mnaojibu hili suala la 666 mnachagua mifano mitatu tu ya masaa mnayotoa ili kuleta jibu 6, mfano ukichukua 7-1=6, 8-2=6, 10-4=6, 11-5=6, 12-6=6, hapo si tutapata 666666 ambayo haina maana yoyote7-6=1
9-6=3
12-6= 6
Hence 666
Kwahyo 666 ni kwa waswahili tu?sababu wanaongea English 6 o'clock ni 6 o'clock.
Hakuna 666 wala 777 hapo ni kama kumuachia mungu ukiona mtu kakata tamaa atakwambia namwachia mungu,jambo ukiona umeshindwa kupata solution unasingizia uchawi kumbe amna ni akili yako tu imefikia kiwango cha mwisho kufkiriMipango maalum ya wakubwa hiyo....jiongeze......666.
Hujapata concept maana yake tu?basi we mzito kuelewa...hapo point ni 6.hahahahaahah mbona mnaojibu hili suala la 666 mnachagua mifano mitatu tu ya masaa mnayotoa ili kuleta jibu 6, mfano ukichukua 7-1=6, 8-2=6, 10-4=6, 11-5=6, 12-6=6, hapo si tutapata 666666 ambayo haina maana yoyote
Sio kweli.7-6=1
9-6=3
12-6= 6
Hence 666
Kwahyo 666 ni kwa waswahili tu?sababu wanaongea English 6 o'clock ni 6 o'clock.
Amua siku uianze saa 12:00. Asubui na mwaka mpya unasherehekea saa 12:00 asubui. Unafyatua fataki zako wala hutapata tatizo la kusoma saa.Mambo ya illuminati kugeuza majira na mda.
Kati ya mswahili na mzungu ni nani aliyeanzisha mpangilio wa masaa? Nani yuko sahihi, mwanzilishi au aliyekopi?Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama SAA moja
8kama SAA mbili
9kama SAA tatu ,n.k..
nadhani hapo umenipata sasa swali langu la msingi kwanini tusitumie saa moja kama 1 badala ya 7,au saa mbili kama 2 badala ya 8 n.k
Msaada tafadhali
Uelewa mdogo.Hujapata concept maana yake tu?basi we mzito kuelewa...hapo point ni 6.
Uelewa mdogo.Hujapata concept maana yake tu?basi we mzito kuelewa...hapo point ni 6.
Fikiri nje ya vifungo mahabusu ya akili zako.Soma maandiko upate maarifa,Nae Ataazimu kubadili majira na Nyakati na Maarifa yataongezeka,chimbuko ni ROMA na Mamlaka na utawala wa PAPA wao wanamuita mtakatifu japo Anaugua na kufa,sitaki kuingilia dini za watu ila chimbuko LA haya yote ni Upapa
Wengi hapa wamejiteka wenyewe.Hakuna 666 wala 777 hapo ni kama kumuachia mungu ukiona mtu kakata tamaa atakwambia namwachia mungu,jambo ukiona umeshindwa kupata solution unasingizia uchawi kumbe amna ni akili yako tu imefikia kiwango cha mwisho kufkiri
Wamelishwa pumba.hahahahaahah mbona mnaojibu hili suala la 666 mnachagua mifano mitatu tu ya masaa mnayotoa ili kuleta jibu 6, mfano ukichukua 7-1=6, 8-2=6, 10-4=6, 11-5=6, 12-6=6, hapo si tutapata 666666 ambayo haina maana yoyote
Nmeeelewavzr kabsaMtoa mada kama nimekuelewa vizuri swali lako ni kwamba kinachoonekana katika saa ndio kitamkwe au wakati uliopo ndio uandikwe kwenye saa, badala ya hii "viceversa" tunayotumia, kwa maana ya kwamba saa 7 kutamka saa 1.
Kwa Tanzania tunatumia huo mfumo wa viceversa mfano sasa hivi ni saa kumi na moja kamili jioni lakini kwenye saa yako ukiangalia ipo 5:00pm.
Kwa nchi za ulaya kilichopo kwenye saa yako ndio kinachotamkwa kwa maana ya kwamba, tukirudi katika mfano wetu wa saa kumi na moja kamili jioni wao wanasema ni saa tano kamili jioni kama ilivyo kwenye saa.
Kwa nchi za kiarabu, tukirudi kwenye mfano uleule wa saa kumi na moja jioni wao wanasema ni saa kumi na moja hivyo hivyo na saa zao zinaonesha hivyo hivyo Saa 11.
Swali la kujiuliza sisi Watanzania utaratibu huu wa kutamka viceversa tumeupata wapi?
Kwa mtazamo wangu hii imetokana na kuchanganya tamaduni tofauti za mataifa ya nje hasa waarabu (waislamu) na waingereza.
Kwanini?
1. Uarabuni siku inaisha saa kumi na mbili jioni. Kwahiyo saa moja jioni ndio saa la kwanza kwa siku mpya na tarehe mpya.
2. Waingereza siku inaisha saa sita usiku, hivyo ikiingia saa saba usiku kwao ndio saa la kwanza na tarehe mpya.
Sasa sisi baada ya utawala wa mwarabu, alipokuja mwingereza tumechukua utamaduni wa mwarabu tukachanganya na mwingereza tukapata kitu chetu "viceversa". Saa zetu tunaziweka zisome kingereza lakini kutamka, tunatamka kwa kiarabu. Matokeo yake ndio hivyo 5:00pm tunasema saa kumi na moja.
hujakatazwa kutumiaHabari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo