Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 16,010 Reaction score 23,344 Jul 15, 2025 #221 and 100 others said: Mzee anayekaribia miaka 70 hana muandiko wa namna hii... Humu member ninayefahamu ni mzee ni Mohamed Said tu. Click to expand... Hahahaha😄😆😆! Nimecheka kwa sauti kutokana na uandishi wako! Nimeritire 2018 age(1958):ie 70-3, midogo hiyo? Personallity ya mtu inategemeana na namna saikoloji yako unavyoishape! Naweza nikajirudisha ujana na makunyanzi yangu tukashindaniana madem nikakuwin na isiwe ajabu. Bado ninada bw. mdogo.
and 100 others said: Mzee anayekaribia miaka 70 hana muandiko wa namna hii... Humu member ninayefahamu ni mzee ni Mohamed Said tu. Click to expand... Hahahaha😄😆😆! Nimecheka kwa sauti kutokana na uandishi wako! Nimeritire 2018 age(1958):ie 70-3, midogo hiyo? Personallity ya mtu inategemeana na namna saikoloji yako unavyoishape! Naweza nikajirudisha ujana na makunyanzi yangu tukashindaniana madem nikakuwin na isiwe ajabu. Bado ninada bw. mdogo.
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,413 Reaction score 13,735 Sep 30, 2025 #222 Reowned said: Alirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti. Click to expand... Kwamba ni mlevi na mashine ya kukoboa
Reowned said: Alirekodiwa akimkashifu Rais kuwa hafai na anapaswa kuondolewa 2025 ili mwigulu achukue kiti. Click to expand... Kwamba ni mlevi na mashine ya kukoboa
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,928 Sep 30, 2025 #223 FaizaFoxy said: Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama. Click to expand... Acha kujitoa ufahamu. Kama uja uzito unamsumbua mbona alichukua fomu?
FaizaFoxy said: Hajamtumbuwa, Ummy uja uzito unamsubuwa sana. Mwenyezi Mungu amsalim salama. Click to expand... Acha kujitoa ufahamu. Kama uja uzito unamsumbua mbona alichukua fomu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,908 Jan 7, 2026 #224 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw