Huenda ni Yale mabango waliyoanza kumwonesha Hotelini alihisi yangemuandama kwenye hilo kutaniko na Wa-tz..Tulitarajia kwamba Rais Samia takutana na Watanzania wanaoishi Marekani kwenye ukumbi, lakini hili halikufanyika. Kuna sababu zozote zilizotajwa kwa Rais kutokutana na Diaspora na kujibu baadhi ya maswali tuliyo nayo?
Bingwa wa Kutukana MATUSI wa NchiHukumuona Mange