Kwanini Rais hajiungi JamiiForums?

Kwanini Rais hajiungi JamiiForums?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,997
Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.

Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.
 
Yasijempata ya Trump na tweet yake kwa Snoop Dogg!
Labda anaogopa direct personal attack. (tit ... 4tat, that's how we do online!)
Bora kimya maana thread zake nyingine zingesababisha nivunje PC yangu kwa temper.
 
Back
Top Bottom