Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.
Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Atakuwepo tu kwa ID fek
Wewe si mtu wa mchezomchezoAngekuwa hayupo JF, asnge omba malaika washuke wafunge mitandao, yupo na anayaona yote, hata mimi mume wangu hajui kama nipo yeye huwa ananisomea comment iliyo mfurahisha kumbe nami nimeiona..
Kanaitwaje? Chatoo, kolomije au DAB?!Yupo ana kafake ID!
Angekuwa hayupo JF, asnge omba malaika washuke wafunge mitandao, yupo na anayaona yote, hata mimi mume wangu hajui kama nipo yeye huwa ananisomea comment iliyo mfurahisha kumbe nami nimeiona..
Hamza Kalala alisha wahi kuimba: BABA JENI...bai bai...Yupo Facebook