Kwanini Rais hajiungi JamiiForums?

Kwanini Rais hajiungi JamiiForums?

Mwenyewe alishasema ana laini za simu zaidi ya moja ninahisi hata Id za JF atakuwanazo za kutosha. Akiona anaandamwa jukwaa la siasa analog out na kuhamia Chit Chat na Id nyengine.
 
Ana vibarua wake humu wa kumsomea hata na lugha za kikuwait
 
Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.

Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Rais ni Taasisi
 
Ina maana hujui kama mukulu yumo humu? fuatilia baadhi ya siredis na komentis utamjua tu.....
 
Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.

Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Unajuaje kwamba hayupo ilhali humu wengi tunatumia majina feki?
 
Kujitambulisha humu inahitaji moyo wa chuma, waulize waliojaribu kina Prof Tibaijuka, Malinzi, Mwigulu n.k
 
YUpo humu alijiunga 1/8/2007.
Anatumia ID yenye jina la CHIKIRA MTABARI
 
Angekuwa hayupo JF, asnge omba malaika washuke wafunge mitandao, yupo na anayaona yote, hata mimi mume wangu hajui kama nipo yeye huwa ananisomea comment iliyo mfurahisha kumbe nami nimeiona..
Kwahiyo unaweza mfanyia ziara ya KUSHITUKIZA pm
 
Humu kuna ma great thinker bana...hataweza kukaa humu maana ye anapendaga kuambiwa mambo anayotaka yeye aambiwe
 
Back
Top Bottom