Kwanini Rais hajiungi JamiiForums?

Kwanini Rais hajiungi JamiiForums?

Mbona nimo humu,enhee!! mnasemaje sasa niwasaidie nini??!
 
Yasijempata ya Trump na tweet yake kwa Snoop Dogg!
Labda anaogopa direct personal attack. (tit ... 4tat, that's how we do online!)
Bora kimya maana thread zake nyingine zingesababisha nivunje PC yangu kwa temper.
 
Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.

Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Yupo JF na wasaidizi wake kwa saa 24 wapo JF wakisima kila kitu neno kwa neno anaijua JF kuliko mitandao wowote
 
Mbona nimo humu,enhee!! mnasemaje sasa niwasaidie nini??!
Magufuli yupo pia Daud Bashite mda wote anapita humu huku msaidizi wa Bashite yaani Le mutuz akikesha kumpelekea kila kitu.
 
Naipenda sana jf, nchi nyingi hawajafanikiwa kuwa na kitu cha namna hii. Lakini sidhani kama rais anaweza kuwa member humu, labda awe na mwakilishi wake kwa masuala muhimu, mfano akitaka kujua watu wanazungumza nini kuhusu 123..
 
Nahisi hayumo ila atakuwa na Vibahasha na vibarua wake humu ndani.
 
Akijiungaa hatoweza vumilia siku mojaa lazimaa watekwe watuu wengii hataa hao machawa wake aliowapandikiza humu nina uhakikaa hawapelekagi maneno mazima mazimaa yanayotolewa humu ndani
 
Atukuwa makapuku kwa ID ya kike, yule mzee akili zake anazijua mwenyewe
 
Ukitaka kujua yupo anzisha uzi wenye hoja mzitomzito za kuchalenji safari ya Dodoma uone kama yuko au hayupo? Halafu utakuja utupe feedback.

Na washawasha!
 
Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.

Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Chunga usikute yupo ametulia tu
 
Rais ana akiri nyingi anatumia ID nyingine angejitambulisha kwa jina lake vijana wasingemkopesha tena kwa fact akaona isiwe shida
 
Bila shaka atakuwemo humu kwa sababu nae ni mtu kama sisi na anapenda mitandao.
 
MSIFANYE MALAIKA AKASHUKA NA KUZIMA MITANDAO YETU
I LOVE JAMII FORUM
The Pride of Tanzania
 
Back
Top Bottom