Kwanini Rais anatudanganya?

Kwanini Rais anatudanganya?

1: asiyetaka kulipa 200 na apige mbizi kuja posta. Kilichofuata kununua boti chakavu kwa mabilioni pamoja na kukusanya hiyo 200.

2: Matajiri waliishi kama malaika nitahakikisha wanaishi kama mashetani. Kilichofuta walioficha pesa wazitoe niwape maeneo wajenge viwanda.

3: Walioficha sukari wala hawazidi kumi nitawashugulikia kweli kweli. Kilichofuata TPA mpeni sukari yake Bakhiresa wala isilale leo.

4: Mafisadi wakinishinda msiniite Rais . kilichofuata wazee wangu nitawalinda.

5: Kuna watu walisafiri sana kwenda ulaya kuliko walivyosafiri kwenda kuona wazazi wao nyumbani. Kilichofuata hata Bukoba hajafika pamoja na kuwa ni karibu na nyumbani.

6: Watu watetemeke kujenga Nyumba zao wasisubiri serikali tetemeko alijaletwa na Ccm. Kilichofuata ni kuwakamata wapinzani wanaotoa misaada na kuwahoji na kuwazuia..

7: Waliofukuzwa udom ni Vila.za waende watafute vyuo size yao. Kilichofuata msinidrive msinidrive wanaohitaji msaada ni wengi, wakati huo hata dawa na chanjo hospital hakuna .

8: Wanaolalamika walizoea vya bure nitaendelea kuwashugulikia kweli kweli . kilichofuata kutoka bank kuu na bandari hali ya uchumi ni mbaya sana .

9:Nasikia kuwa watalii wanakuja na kukomea kwenye vinchi vya ajabu ajabu. Kilichofuata KDF wakapeleka misaada kagera kabla hata ya Serikali kufika.

10: Ningelikuwa Mimi ningeliwapoteza karibu nusu yao . kilichofuata bado tunakisubiri kama anaweza au laa.

Kuweka matumaini kwa kiongozi kinyonga kama huyu inaitaji moyo wa chuma ..

Alafu ndio eti anatupeleka kwenye serikali ya viwanda sitaki hata kuamini ..

View attachment 424404
TANGU LINI NYIE BAVICHA MMEANZA KUUCHUKIA UONGO? MNATAKA TUWAKUMBUSHE KILE VIONGOZI WENU WALICHOTUAMBIA KUHUSU LOWASSA?
 
Juma ponda Mali malaika hajui anacho sema hatutaki misaada nchi tajiri Leo bila ya aibu anamuomba maskini amsaidie keshasahau kua nchi ni tajiri

Tena msaada wenyewe ni kujengewa MSIKITI na UWANJA wa Mpira dola milioni 80-100! Swali ni, Jr huo mskti wataingia Waislamu wangapi kama Watz na huko Uwanja wa mpira sztaingia Watz wangapi kama mashabikiout of approx.50m Tanzanians!
Afadhali ange liomba Viwanda vya Sukari,Gasi adilia,Hospitali au Chuo Kikuu. Hapa ndipo naweza kujua kama Rais ana vipa umbele au hana!
Poleni sana Wabongo, endeleeni kuisoma namba mpaka.......:-!!!
 
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Mbona umekuwa mkali kiasi hicho kwani kakosea nini mleta mada?
 
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Nitatoa salary slip nikitoka chato
 
Back
Top Bottom