Kwanini Rais anatudanganya?

Kinachoniuma ni pale ambapo nilipigwa na jua kumsikiliza kipindi cha kampeni akaniambia elimu ni bure akatia msisitizo"naposema bure namaanisha bure kwelikweli"lakini leo hii ananiomba nichangie dawati,chakula,nk.
 
msinidraiv msinidraiv nafkiri mmenierewa!!!!!!!!1
 
Imesimama sana komenti yako
 
Mimi namwamini KWA 99.8 mheshimiwa rais Jpm, ila sitamwamini tena MZEE Lowasa baada ya kashfa ya Richmond maana UMEME ulinitesa sana yaani basi tu.
 

taahira wewe.
 
raisi aliepoteza mvuto na kuchokwa mapema kushinda maraisi wote,japo alikuwa na ahadi motomoto kushinda hata za ari mpya nguvu mpya na kasi mpya...!!!mpaka sasa sina uhakika kama alishinda kweli
hakushinda
 
Mleta mada unajitahidi sana kujenga negative image, lakini huko duniani watu wanampigia kura ili apewe tuzo ya FORBES.

Wenye kutazama mambo katika hali isiyokuwa na unafiki, wamechangia mpaka dakika hii kiongozi unayemponda wewe, awe na anapata asilimia 70 na kuendelea.

Nyinyi mlitaka kutuingiza cha kike, mkakuta kuwa nchi hii inalindwa na Mungu.

Mleta uzi unaelewa maana ya ile mikesha ya sala inayofanyika pale uwanja wa Taifa usiku wa kuamkia tarehe moja January ya kila mwaka?.

Tafuta watu wazima wenye busara na hekima watakuambia nguvu ya zile sala za usiku wa kuaga mwaka mmoja na kuukaribisha mwingine.
 

Ni kweli kabisa,na tumeona ahadi ya ombaomba imeshatekelezwa,watu kuish km mashetani implemented,kubana matumizi hadi ya dawa na chanjo is ready,kuwashughulikia walanguz wa sukar tayar now sukar ni elf 1 tu mtaani,majizi akina Loogoomee yameswekwa ndani yanalialia
 

15Wafanyakaz wa nchi hii nazijua shida zenu,
Kilichofata shida zao zimesahaulika
 

Watu wameambiwa wafyatue watoto then dawa hospital hata za kununua hazipo
 

Kwanza kama ulishasema hutak misaada unaomba vya nini???komaa kivyako tu,huku unasema hutak misaada kule unasema naomba
 
Usemaji wa ikulu huooo kaka yangu!!! Atakukumbuka tu kaka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…