Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Ndugu wanajamvi, najiuliza kila siku sababu zilizomfanya Mwalimu wangu wa uchumi kuhama CCM. Nilimfahamu Professor alivyokuwa mkarimu, aliyekuwa karibu na wananchi, aliyekuwa na nguvu ya kupangua,kujibu na kujenga hoja. Mh Malima hakuogopa kulaumiwa kwa lile aliloamini lina tija na always alijivunia dini na asili yake.