...Kwanini Professor Kighoma Malima alihama CCM?

Ile misamaha ya kodi ndio iliomfanya atajirike sana na kuweka pesa nje nchi.....kiasi kikubwa vile,hadi bwana mdogo JK akatumwa akalete zile pesa haraka sana,hapo ndipo Prof alipozimika kwa pressure na akafariki akiwa UK
 
Sababu kuu iliyomfanya kuondoka CCM ni njaa kali(Baada ya kujua anafukuzwa kazi) pamoja na dhamira yake ya kutaka kuwa rais.

Ni miongoni mwa maprofessor waliofanya vibaya sana kwenye siasa.

Jamii itamkumbuka kwa mienendo yake ya kifisadi na kidini.
 
Fitinamwiko,

..Waziri wa Fedha wakati wa Azimio la Arusha alikuwa ni Amir Habib Jamal.

..Edwin Mtei alikuwa waziri wa fedha mwaka 1978 mpaka 1981.

..hoja yako inahusu Prof.Kighoma Ali Malima. Sasa taarifa rasmi za wizara fedha zinaelekeza kwamba yeye ndiye alikuwa waziri wa fedha wakati Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani.

..zipo habari kwamba Alhaji Mwinyi alipokea serikali ikiwa ktk ukata wa kutisha. hazina walikuwa hawana hata uwezo wa kulipia mafuta toka ktk meli zilizokuwa zimetia nanga bandarini. sasa hapo utaona kwamba waziri[Prof.Malima] aliyekuwa na dhamana ya fedha anapaswa kubeba lawama za hali hiyo aliyoikuta Alhaji Mwinyi.

..Milango ya biashara ilifunguliwa ktk awamu ya kwanza ya utawala wa Alhaj Mwinyi. Lakini tatizo la misamaha ya kodi lilikuja kukithiri wakati wa awamu ya pili, wakati huo Prof.Kighoma Malima akiwa waziri wa fedha. Kashfa ya misamaha ya kodi ndiyo iliyosababisha Prof.Malima akaondolewa wizara ya fedha, na nafasi yake kuchukuliwa na Jakaya Kikwete.

Nakumbuka alivyobanwa sana Bungeni.... aliongea jeuri sana na kujivunia elimu yake vilevile kama sikosei ndio alili asisi rasmi neno "KASHESHE"
 
Fitinamwiko,

..Waziri wa Fedha wakati wa Azimio la Arusha alikuwa ni Amir Habib Jamal.

..Edwin Mtei alikuwa waziri wa fedha mwaka 1978 mpaka 1981.

..hoja yako inahusu Prof.Kighoma Ali Malima. Sasa taarifa rasmi za wizara fedha zinaelekeza kwamba yeye ndiye alikuwa waziri wa fedha wakati Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani.

..zipo habari kwamba Alhaji Mwinyi alipokea serikali ikiwa ktk ukata wa kutisha. hazina walikuwa hawana hata uwezo wa kulipia mafuta toka ktk meli zilizokuwa zimetia nanga bandarini. sasa hapo utaona kwamba waziri[Prof.Malima] aliyekuwa na dhamana ya fedha anapaswa kubeba lawama za hali hiyo aliyoikuta Alhaji Mwinyi.

..Milango ya biashara ilifunguliwa ktk awamu ya kwanza ya utawala wa Alhaj Mwinyi. Lakini tatizo la misamaha ya kodi lilikuja kukithiri wakati wa awamu ya pili, wakati huo Prof.Kighoma Malima akiwa waziri wa fedha. Kashfa ya misamaha ya kodi ndiyo iliyosababisha Prof.Malima akaondolewa wizara ya fedha, na nafasi yake kuchukuliwa na Jakaya Kikwete.
Mkuu shukrani kwa elimu uliyonipa
 
Wahusika wakuu wa kashfa ya Richmond, ndio wachangiaji wakuu wa makanisa, lakini hatulioni hilo. You need to read and understant principle of fairness
Mkuu, labda ungesema muhusika mkuu badala ya wahusika wakuu, binafsi sijawahi kusikia Rostam Aziz na Kikwete wakichangia makanisa! Lakini pia huyo muhusika huyo anaye tuhumiwa, anachangia hadi misikiti, hukumbuki ile harambee ya uanzishwaji wa radio ya Kislam pale Mwanza? Walipata like Tsh 500M!
 
Fitinamwiko,

..Waziri wa Fedha wakati wa Azimio la Arusha alikuwa ni Amir Habib Jamal.

..Edwin Mtei alikuwa waziri wa fedha mwaka 1978 mpaka 1981.

..hoja yako inahusu Prof.Kighoma Ali Malima. Sasa taarifa rasmi za wizara fedha zinaelekeza kwamba yeye ndiye alikuwa waziri wa fedha wakati Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani.

..zipo habari kwamba Alhaji Mwinyi alipokea serikali ikiwa ktk ukata wa kutisha. hazina walikuwa hawana hata uwezo wa kulipia mafuta toka ktk meli zilizokuwa zimetia nanga bandarini. sasa hapo utaona kwamba waziri[Prof.Malima] aliyekuwa na dhamana ya fedha anapaswa kubeba lawama za hali hiyo aliyoikuta Alhaji Mwinyi.

..Milango ya biashara ilifunguliwa ktk awamu ya kwanza ya utawala wa Alhaj Mwinyi. Lakini tatizo la misamaha ya kodi lilikuja kukithiri wakati wa awamu ya pili, wakati huo Prof.Kighoma Malima akiwa waziri wa fedha. Kashfa ya misamaha ya kodi ndiyo iliyosababisha Prof.Malima akaondolewa wizara ya fedha, na nafasi yake kuchukuliwa na Jakaya Kikwete.

Wewe unaijua historia vizuri, hata mimi nakumbuka hivyo hivyo, swali; Hivi dini zetu zinaruhusu kuongea uongo!? Nahisi kila anpotuhumiwa mtu wa dini yako/yangu watu wanapotosha sana ukweli ili tu yule muumini mwenzangu aonekane msafi! Hivi hili linakubalika kwa Muumba!?
 
Edwin Mtei aliondoka kipindi cha Azimio la Arusha, Msuya alikuwa waziri wa fedha wa kwanza kugubikwa na kashfa za ufisadi. Utawala wa mzee ruksa, ulifungulia milango mingi ya biashara na misamaa mingi ya kodi, Professor Malima was in the middle of mess.

Katika kitabu chake "From a Goatheard to a Governor" Edwin Mtei anaelezea namna alivyokuwa waziri wa Fedha na uchumi wakati wa miaka ya mwisho ya 70 na ya mwanzo ya 80 na ndo wakati wa vita ya Kagera kuanzia mwaka 1978 hadi 1981!
 
Kuna mtu anatumia my identity to post some comments, keep it up
 
Back
Top Bottom