Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

Kwa wenye data za elimu ya Hawa Ghasia please tupeni maana inaonekana anafanya kazi kwa kufuata masharti ya aliyempa uwaziri na sii vinginevyo. Hawa ndio vijana wanaotegemewa na Taifa? Kwa kauli zake inabidi tujue elimu yake imemsaidia vipi.
Nchi hii ina uhaba wa wahadhiri tena wenye level ya Prof Baregu nguli aliyebobea kwenye fani yake. Tunahitaji mchango wake kwa hali na mali kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu. Kwenye mambo ya msingi tuweke siasa kando ili taifa lipate maendeleo.
Nani wa kuziba pengo aliloacha Prof Baregu, Serikali na Uongozi wa Mkandala umejiandaaje kuziba mwanya huo?
 
AICC siyo idara ya serikali inajitegemea kiutumishi

Safari

AICC ina vote yake chini ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa hiyo ni taasisi ya umma, kwa hiyo wafanyakazi wake wa kudumu wanaangukia kwenye kundi ya watumishi wa umma.

Ndio maana nimesema tangu mwanzo, zimwi alilolifungulia Hawa Ghasia asije akashangaa likamrudia

JJ
 
Jordan Rugimbana- Mkuu wa Wilaya yetu ya Kinondoni, ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Wilaya

JJ
 
Ukweli unabaki palepale kuwa Prof. Baregu bado anahitajiwa pale UDSM. Lakini kwakuwa viongozi wetu wanaendekeza ubishi usio na mpango wako tayari baadhi ya coarse zisifundishwe ili isionekane kuwa wameshindwa.

Ni kweli wao ndiyo wenye utashi wa kumpa huo mkataba au la lakini iwe kisheria na kama hapewi kwa sababu za kiasa basi iwe kwa wote.

Huyu Hawa Ghasia tatizo ni haya majina mmeambiwa mtumie majina yenye maana nzuri sasa ghasia kila mahala. Maana huyu mama akiongea tu ni lazima iwe mtafaruku. Mimi naona awe anapiga kimya tu maana ana point.

Pia sidhani kama huyu msomi analazimisha kwenda Mlimani kinachotokea ni kwamba yeye kama mtanzania ana haki ya kuomba kazi yoyote anayokubalika kisheria. Na kama ananyimwa anyimwe kisheria siyo kwa kutumia vigezo vya Tandale/Manzese.

ACHENI WENYE VICHWA VYAO WAELIMISHE VIJANA NYIE WENYE VURUGU NENDENI MKAJIUNGE NA TALIBANI
 
Jaman hivi hakuna njia yakuwapoteza hawa mawaziri mchwara. Wakapike nakuhudumia nyumba zao. Mwaka huu hatutaki vit maalumu. Labda iundwe sera mpya. Kura yako itapoteza kila wazir mpumbavu. TUSIWACHAGUE WAKAFANYE KAZ NYINGINE SIO SIASA.
 
And then we wonder kwa nini wasomi wanaikimbia nchi yetu kwenda kufanya kazi Botswana,Namibia n.k!Ningemshauri Prof. aonyeshe kuwa hayumbishwi na hiyo ajira!Kama hawamtaki kwa issue za kisiasa,tafuta kingine cha kufanya.Besides,resume yake inajieleza,go abroad kama kawaida!Kukaa na kuanza kujibishana maneno na serikali,tena yenye watu kama kina Mhe.Ghasia ni kujidhalilisha kwa Prof.kama yeye!Au labda hana cha kufanya na akili yake imefia UDSM??Ni mara chache sana nimesikia maprofesa kama yeye wanalialia ovyo kwa ajira kama hizi.Be a Consultant Prof.what else do you need??Strange!!!!!
 
Nilishasema juu ya kupimwa akili kwa mawaziri uchwara kama hawa!
 
AICC siyo idara ya serikali inajitegemea kiutumishi

AICC ni shirika la Umma lililoko chini ya Wizara ya Mambo ya Nje. Inamilikiwa na Serikali kwa asilimia 100% Na Ghasia analijua hilo fika.

Kwa kuwa msimamo wa serikali ndio huo mbona kawakalia hawa wengine kimya?
 
Naomba list ya wajumbe wa NEC CCM tafadhali!


Wajumbe wa NEC ya CCM ni wafuatao- pitia na useme yupi kati yao ni mtumishi wa umma:

"Utumishi wa umma katika nchi yetu unaongozwa na Sheria ya Utumishi Serikalini namba 16 ya mwaka 1989 na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma Toleo la 1994 pamoja na marekebisho yake. Kwa madhumuni ya makala hii Neno Mtumishi wa Umma lina maana kama iliyoanishwa katika Kanuni za kudumu za utumishi kifungu Na. A.1(66) ambacho kinatafsiri mtumishi wa umma kama mtu yoyote anayeshikilia ofisi ya umma ambayo imepewa mamlaka ama inatekeleza wajibu wenye asili ya umma, iwe chini ya utawala wa moja kwa moja wa Rais au la. Na inajumuisha maofisa walio chini ya Serikali za Mitaa ama Mashirika ya umma; lakini haijumuishi wanaoshikilia nafasi hizo kwa sehemu ya muda wa ziada(Part Time basis).

Kwa mantiki hiyo, tafsiri hii inafanya wafanyakazi wote wa serikali na taasisi zake kuwa ni watumishi wa umma. Hii inajumuisha Rais, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa halmashauri na Mashirika ya umma, watendaji wa kata nk. Orodha hii inahusisha pia waajiriwa wa kawaida wa serikali mathalani walimu wa shule za umma, watumishi wa sekta ya afya wa serikali, maofisa wote waajiriwa wa halmashauri/serikali za mitaa nk. Watumishi wa umma ni pamoja pia watumishi wa mihimili mingine ya serikali kama mahakama kwa maana ya majaji na mahakimu na Bunge kwa maana ya wabunge na watumishi wa bunge. Watumishi wa umma ni pamoja na wafanyakazi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwemo askari wa majeshi mbalimbali. Ukiitafakari orodha hii ndefu utaona kwamba jambo hili linahusu watu wengi; hivyo suala la ushiriki wao katika siasa katika mfumo wa vyama vingi linapaswa kutafakariwa na kujadiliwa na umma."



TUANZE NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA 2007
1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti
3. Aman Abeid Karume - Makamu Mwenyekiti (Zanzibar)
4. Ndugu Yussuf R. makamba - Katibu Mkuu



WAJUMBE WA KUDUMU :
5. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
6 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
7. Ndugu Rashid Mfaume Kawawa - Makamu M /Kiti CCM Mstaafu
8. Dr. John S. Malecela - Makamu M/Kiti CCM Mstaafu
9. Dr. Salmin Amour - Makamu M/Kiti CCM Mstaafu



WAJUMBE WA NEC WALIOTEULIWA NA MWENYEKITI:
10. Dr. Salim Ahmed Salim - Mjumbe
11. Mhe. Cleopa D. msuya - Mjumbe



WENYEVITI WA JUMUIYA ZA CHAMA:
12. Dr. Emanuel Nchimbi - Mjumbe
13. Mhe. Anna Abdallah - Mjumbe
14. WAZAZI - -



WENYEVITI WA MIKOA:
15. Ndugu Onesmo Nangole - Arusha
16.. Ndugu John Guninita - Dar es Salaam
17. Ndugu William Kusila - Dodoma
18. Ndugu Deo Sanga - Iringa
19. Ndugu Conctancia Nyamwiza Buhiye - Kagera
20. Ndugu Mberwa Hamad Mberwa - Kaskazini Pemba
21. Ndugu Haji Juma Hai - Kaskazini Unguja
22. Ndugu Azim Premji - Kigoma
23. Ndugu Vicky Nsilo Swai - Kilimanjaro
24. Ndugu Abdallah Mohamed Mshindo - Kusini Pemba
25. Ndugu Haji Ussi Haji Gavu - Kusingi Unguja
26. Ndugu Mohamed Mtopa - Lindi
27. Ndugu Lucas Kismir Ole Mukusi - Manyara
28. Ndugu Makongoro Nyerere - Mara
29. Ndugu Nawab Mulla - Mbeya
30. Ndugu Yussuf Mohamed Yussuf - Mjini Magharibi
31. Ndugu Petro Aron Kingu - Morogoro
32. Ndugu Dadi Mbulu - Mtwara
33. Ndugu Clement Gregory Mabina - Mwanza
34. Ndugu Mwinshehe Shaban Mlao - Pwani
35. Ndugu Matete Kalol Hypolitus - Rukwa
36. Ndugu Colnelius Lombandali Msuha - Ruvuma
37. Ndugu Khamis Madata Mgeja - Shinyanga
38. Ndugu Joram Sima Allute - Singida
39. Ndugu Hassan Mohamed Wakusuvi - Tabora
40. Ndugu Musa Kipindu Shekimweri - Tanga
41. Ndugu - Arusha
42. Ndugu Ramadhan A. Madabida - Dar es Salaam
43. Ndugu Adam Omari Kimbisa - Dodoma
44. Prof. Peter Msolla - Iringa
45. Ndugu Nazir Karamagi - Kagera
46. Ndugu Muhsin Mohamed Sheni - Kigoma
47. Prof. Jumanne Maghembe - Kilimanjaro
48. Ndugu Mathias Chikawe - Lindi
49. Ndugu Mathayo Manyinyi - Mara
50. Ndugu Mary M. Nagu - Manyara
51. Prof. Mark James Mwandosya - Mbeya
52. Ndugu Aziz Abood Abdulmazizi - Morogoro
53. Capt. George Huruma Mkuchika - Mtwara
54. Ndugu Antony Mwandu Diallo - Mwanza
55. Ndugu Subira Khamis Mgalu - Pwani
56. Ndugu Mizengo Peter Pinda - Rukwa
57. Ndugu Jenista Mhagama - Ruvuma
58. Ndugu Hillal Hamad Hillal - Shinyanga
59. Ndugu Rostam Aziz - Tabora
60. Dr. Abdallah O. Kigoda - Tanga
61. Ndugu Mohamed Dewji - Singida
62. Ndugu Khamis Salum Ali - Kaskazini Unguja
63. Ndugu Ussi Yahya Haji - Kaskazini Unguja
64. Ndugu Mustafa Ahmada Ali - Kaskazini Unguja
65. Ndugu Mtumwa Kassim Idd - Kaskazini Unguja
66. Ndugu Mohamed Aboud Mohamed - Kusini Pemba
67. Ndugu Ali Issa Ali - Kusini Pemba
68. Ndugu Issa Mohamed Salim - Kusini Pemba
69. Ndugu Zainab Khamis Shomari - Kusini Pemba
70. Dr. Maua Abeid Daftari - Kaskazini Pemba
71. Ndugu Dadi Faki Dadi - Kaskazini Pemba
72. Ndugu Salim Hamad Salehe - Kaskazini Pemba
73. Ndugu Issa Ahmed Othamn - Kaskazini Pemba
74. Ndugu Musa Makame Pandu - Kusini Unguja
75. Ndugu Ramadhan Musa Shabani - Kusini Unguja
76. Ndugu Issa Kassim Issa - Kusini Unguja
77. Ndugu Jaffar Sanya Jussi - Kusini Unguja
78. Ndugu Shawana Bukheti Hassan - Mjini Magharibi
79. Ndugu Burhan Saadat Haji - Mjini Magharibi
80. Ndugu Matogo Juma Matogo - Mjini Magharibi
81. Ndugu Machano Othman Said - Mjini Magharibi


MAKATIBU WA CCM MIKOA:
82. Ndugu Mohamed Mbonde - Arusha
83. Ndugu John Barongo - Dar es Salaam
84. Ndgu X.X. Mhagama - Dodoma
85. Ndugu Kirumbe S. Ng’enda - Iringa
86. Ndugu S. Kadomole - Kagera
87. Ndugu Said Shaame Hamad - Kigoma
88. Ndugu C. Mayagile - Kilimanjaro
89. Ndugu Stephen Kazidi - Lindi
90. Ndugu V. Senguo - Manyara
91. Ndugu Albert Mgumba - Mara
92. Ndugu S. Kikungwe - Mbeya
93. Ndugu Mary Chatanda - Morogoro
94. Ndugu Catherine Ndahani - Mtwara
95. Ndugu Mwangi Kundya - Mwanza
96. Ndugu Amina Makilagi - Pwani
97. Ndugu Verena A. Shumbusho - Rukwa
98. Ndugu Asha Kipangula - Ruvuma
99. Ndugu Gustav Muba - Shinyanga
100. Ndugu Naomi Kapambala - Singida
101. Ndugu D. Fussi - Tabora
102. Ndugu Idd Ali Ameir - Tanga
103. Ndugu Adam Ngawala - Kusini Pemba
104. Ndugu Hassan A. Shaali - Kaskazini Pemba
105. Ndugu Shija Othman Shija - Kusini Unguja
106. Ndugu Khadija S. Faraj - Kaskazini Unguja
107. Ndugu Ramadhan Abdalla Ali - Mjini Magharibi


KUNDI LA WANAWAKE (UWT) – ZANZIBAR
108. Ndugu Mwanajuma Majid Abdulla
109. Ndugu Fatma Said Ali
110. Ndugu Yasmin Y. Aloo
111. Ndugu Amina Iddi Mabrouk
112. Ndugu Asha Abdullah Juma
113. Ndugu Catherine Nao
114. Ndugu Asha Bakari Makame



KUDI LA WANAWAKE (BARA):
115. Ndugu Margareth Simwanza Sitta
116. Ndugu Zakia Hamdan Meghji
117. Ndugu Pindi Hazara Chana
118 Ndugu Anne Semamba Makinda
119. Ndugu Diana Mkumbo Chilolo
120. Ndugu Aisha Omari Kigoda
121. Ndugu Anna K. Malecela
122. Dk. Rehema Jonathan Nchimbi
123. Ndugu Shamsa Selengia Mwangunga
124. Ndugu Khadija Omari Kopa
125. Ndugu Asha Ramadhani Baraka
126. Ndugu Kate Slyvia Kamba
127. Ndugu Sofia Mnyambi Simba


KUNDI LA VIJANA – ZANZIBAR:
128. Ndugu Hawa Sukwa Said
129. Ndugu Hamad Masauni Yussuf
130. Ndugu Adila Hilal Vuai
131. Ndugu Michael Charles Bundala
132. Ndugu Ashura Abdalla Ismail
133. Ndugu Suleiman Muhsin Haji


KUNDI LA VIJANA – UVCCM BARA:
134. Ndugu Zainab Rashid Kawawa
135. Ndugu Violet Mzindakaya Mpogolo
136. Ndugu Nape Moses Nnauye
137. Ndugu Jerry William Slaa
138. Ndugu Sarah Msafiri Ally
139. Ndugu Suleiman Masoud Nchambi
140. Ndugu Beno Malisa
141. Ndugu Edwin Mgante Sanda
142. Ndugu Lucy Mayenga


KUNDI LA WAZAZI – ZANZIBAR:
143. Ndugu Dogo Iddi Mabrouk
144. Ndugu Hassan Rajab Khatib
145. Ndugu Fatma Abeid Haji
146. Ndugu Mtumwa Yussuf Peya


KUNDI LA WAZAZI BARA:
147. Eng. Stella Martine Manyanya
148 Dk. Zainab Amir Gama
149. Ndugu Mussa Azzan Zungu
150. Ndugu Adam Kighoma Ali Malima
151. Ndugu Mohamed Nassoro Nondo
152. Ndugu Richard Said Nyaulawa


KUNDI LA VITI (20) – ZANZIBAR:
153. Dk. Ali Mohamed Shein
154. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
155. Dk. Hussein Ali Mwinyi
156. Dk. Mohammed Gharib Bilal
157. Ndugu Saleh Ramadhan Ferouz
158. Ndugu Moh’d Seif Khatib
159. Ndugu Samia Suluhu Hassan
160. Ndugu Kidawa Hamid Saleh
161. Ndugu Salum Msabah Mbarouk
162. Ndugu Khadija Hassan Bauod
163. Ndugu Mansoor Yussuf Himid
164. Ndugu Omar Yussuf Mzee
165. Ndugu Seif Ali Iddi
166. Ndugu Moh’d Hassan Nassor Moyo
167. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
168. Ndugu Maudline Cyrus Castico
169. Ndugu Vuai Ali Vuai
170. Brig. Gen. Adam C. Mwakanjuki
171. Ndugu Thuwaybah Endington Kissasi
172. Dk. Ishau Abdallah Khamis


KUNDI LA VITI (20) – BARA:
173. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa
174. Ndugu Andrew John Chenge
175. Ndugu Bernard Kamilius Membe
176. Capt. (mst) Jaka Mgwabi Mwambi
177. Prof. Juma Athumani Kapuya
178. Ndugu Abdulrahman Omar Kinana
179. Ndugu Christopher Mwita Ghachuma
180. Ndugu Stephen Masato Wasira
181. Ndugu Aggrrey Deaisile Mwanri
182. Dk. Milton Makongoro Mahanga
183. Ndugu Frederick Tluway Sumaye
184. Ndugu John Damian Komba
185. Ndugu Kingunge Ngombale-Mwiru
186. Ndugu William V. Lukuvi
187. Ndugu John Zefania Chiligati
188. Ndugu Amos Gabriel Makala
189. Prof. Samuel M. Wangwe
190. Prof. David Homeli Mwakyusa
192. Ndugu Jackson W. Msome


Nani ana Orodha wa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

JJ
 
Naomba list ya wajumbe wa NEC CCM tafadhali!


Samahani wakati natoa hii list tumepishana kwa dk chache na ya Mh. J Mnyika lakini nimeongeza majina ya Ndugu Asha Bakari na Ndugu Rostam Aziz nafikiri nao pia ni wajumbe.

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA 2007
1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti
3. Aman Abeid Karume - Makamu Mwenyekiti (Zanzibar)
4. Ndugu Yussuf R. makamba - Katibu Mkuu



WAJUMBE WA KUDUMU :
5. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
6 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
7. Ndugu Rashid Mfaume Kawawa - Makamu M /Kiti CCM Mstaafu
8. Dr. John S. Malecela - Makamu M/Kiti CCM Mstaafu
9. Dr. Salmin Amour - Makamu M/Kiti CCM Mstaafu



WAJUMBE WA NEC WALIOTEULIWA NA MWENYEKITI:
10. Dr. Salim Ahmed Salim - Mjumbe
11. Mhe. Cleopa D. msuya - Mjumbe



WENYEVITI WA JUMUIYA ZA CHAMA:
12. Dr. Emanuel Nchimbi - Mjumbe
13. Mhe. Anna Abdallah - Mjumbe
14. WAZAZI - -



WENYEVITI WA MIKOA:
15. Ndugu Onesmo Nangole - Arusha
16.. Ndugu John Guninita - Dar es Salaam
17. Ndugu William Kusila - Dodoma
18. Ndugu Deo Sanga - Iringa
19. Ndugu Conctancia Nyamwiza Buhiye - Kagera
20. Ndugu Mberwa Hamad Mberwa - Kaskazini Pemba
21. Ndugu Haji Juma Hai - Kaskazini Unguja
22. Ndugu Azim Premji - Kigoma
23. Ndugu Vicky Nsilo Swai - Kilimanjaro
24. Ndugu Abdallah Mohamed Mshindo - Kusini Pemba
25. Ndugu Haji Ussi Haji Gavu - Kusingi Unguja
26. Ndugu Mohamed Mtopa - Lindi
27. Ndugu Lucas Kismir Ole Mukusi - Manyara
28. Ndugu Makongoro Nyerere - Mara
29. Ndugu Nawab Mulla - Mbeya
30. Ndugu Yussuf Mohamed Yussuf - Mjini Magharibi
31. Ndugu Petro Aron Kingu - Morogoro
32. Ndugu Dadi Mbulu - Mtwara
33. Ndugu Clement Gregory Mabina - Mwanza
34. Ndugu Mwinshehe Shaban Mlao - Pwani
35. Ndugu Matete Kalol Hypolitus - Rukwa
36. Ndugu Colnelius Lombandali Msuha - Ruvuma
37. Ndugu Khamis Madata Mgeja - Shinyanga
38. Ndugu Joram Sima Allute - Singida
39. Ndugu Hassan Mohamed Wakusuvi - Tabora
40. Ndugu Musa Kipindu Shekimweri - Tanga
41. Ndugu - Arusha
42. Ndugu Ramadhan A. Madabida - Dar es Salaam
43. Ndugu Adam Omari Kimbisa - Dodoma
44. Prof. Peter Msolla - Iringa
45. Ndugu Nazir Karamagi - Kagera
46. Ndugu Muhsin Mohamed Sheni - Kigoma
47. Prof. Jumanne Maghembe - Kilimanjaro
48. Ndugu Mathias Chikawe - Lindi
49. Ndugu Mathayo Manyinyi - Mara
50. Ndugu Mary M. Nagu - Manyara
51. Prof. Mark James Mwandosya - Mbeya
52. Ndugu Aziz Abood Abdulmazizi - Morogoro
53. Capt. George Huruma Mkuchika - Mtwara
54. Ndugu Antony Mwandu Diallo - Mwanza
55. Ndugu Subira Khamis Mgalu - Pwani
56. Ndugu Mizengo Peter Pinda - Rukwa
57. Ndugu Jenista Mhagama - Ruvuma
58. Ndugu Hillal Hamad Hillal - Shinyanga
59. Ndugu Rostam Aziz - Tabora
60. Dr. Abdallah O. Kigoda - Tanga
61. Ndugu Mohamed Dewji - Singida
62. Ndugu Khamis Salum Ali - Kaskazini Unguja
63. Ndugu Ussi Yahya Haji - Kaskazini Unguja
64. Ndugu Mustafa Ahmada Ali - Kaskazini Unguja
65. Ndugu Mtumwa Kassim Idd - Kaskazini Unguja
66. Ndugu Mohamed Aboud Mohamed - Kusini Pemba
67. Ndugu Ali Issa Ali - Kusini Pemba
68. Ndugu Issa Mohamed Salim - Kusini Pemba
69. Ndugu Zainab Khamis Shomari - Kusini Pemba
70. Dr. Maua Abeid Daftari - Kaskazini Pemba
71. Ndugu Dadi Faki Dadi - Kaskazini Pemba
72. Ndugu Salim Hamad Salehe - Kaskazini Pemba
73. Ndugu Issa Ahmed Othamn - Kaskazini Pemba
74. Ndugu Musa Makame Pandu - Kusini Unguja
75. Ndugu Ramadhan Musa Shabani - Kusini Unguja
76. Ndugu Issa Kassim Issa - Kusini Unguja
77. Ndugu Jaffar Sanya Jussi - Kusini Unguja
78. Ndugu Shawana Bukheti Hassan - Mjini Magharibi
79. Ndugu Burhan Saadat Haji - Mjini Magharibi
80. Ndugu Matogo Juma Matogo - Mjini Magharibi
81. Ndugu Machano Othman Said - Mjini Magharibi


MAKATIBU WA CCM MIKOA:
82. Ndugu Mohamed Mbonde - Arusha
83. Ndugu John Barongo - Dar es Salaam
84. Ndgu X.X. Mhagama - Dodoma
85. Ndugu Kirumbe S. Ng'enda - Iringa
86. Ndugu S. Kadomole - Kagera
87. Ndugu Said Shaame Hamad - Kigoma
88. Ndugu C. Mayagile - Kilimanjaro
89. Ndugu Stephen Kazidi - Lindi
90. Ndugu V. Senguo - Manyara
91. Ndugu Albert Mgumba - Mara
92. Ndugu S. Kikungwe - Mbeya
93. Ndugu Mary Chatanda - Morogoro
94. Ndugu Catherine Ndahani - Mtwara
95. Ndugu Mwangi Kundya - Mwanza
96. Ndugu Amina Makilagi - Pwani
97. Ndugu Verena A. Shumbusho - Rukwa
98. Ndugu Asha Kipangula - Ruvuma
99. Ndugu Gustav Muba - Shinyanga
100. Ndugu Naomi Kapambala - Singida
101. Ndugu D. Fussi - Tabora
102. Ndugu Idd Ali Ameir - Tanga
103. Ndugu Adam Ngawala - Kusini Pemba
104. Ndugu Hassan A. Shaali - Kaskazini Pemba
105. Ndugu Shija Othman Shija - Kusini Unguja
106. Ndugu Khadija S. Faraj - Kaskazini Unguja
107. Ndugu Ramadhan Abdalla Ali - Mjini Magharibi


KUNDI LA WANAWAKE (UWT) – ZANZIBAR
108. Ndugu Mwanajuma Majid Abdulla
109. Ndugu Fatma Said Ali
110. Ndugu Yasmin Y. Aloo
111. Ndugu Amina Iddi Mabrouk
112. Ndugu Asha Abdullah Juma
113. Ndugu Catherine Nao
114. Ndugu Asha Bakari Makame



KUNDI LA WANAWAKE (BARA):
115. Ndugu Margareth Simwanza Sitta
116. Ndugu Zakia Hamdan Meghji
117. Ndugu Pindi Hazara Chana
118 Ndugu Anne Semamba Makinda
119. Ndugu Diana Mkumbo Chilolo
120. Ndugu Aisha Omari Kigoda
121. Ndugu Anna K. Malecela
122. Dk. Rehema Jonathan Nchimbi
123. Ndugu Shamsa Selengia Mwangunga
124. Ndugu Khadija Omari Kopa
125. Ndugu Asha Ramadhani Baraka
126. Ndugu Kate Slyvia Kamba
127. Ndugu Sofia Mnyambi Simba


KUNDI LA VIJANA – ZANZIBAR:
128. Ndugu Hawa Sukwa Said
129. Ndugu Hamad Masauni Yussuf
130. Ndugu Adila Hilal Vuai
131. Ndugu Michael Charles Bundala
132. Ndugu Ashura Abdalla Ismail
133. Ndugu Suleiman Muhsin Haji


KUNDI LA VIJANA – UVCCM BARA:
134. Ndugu Zainab Rashid Kawawa
135. Ndugu Violet Mzindakaya Mpogolo
136. Ndugu Nape Moses Nnauye
137. Ndugu Jerry William Slaa
138. Ndugu Sarah Msafiri Ally
139. Ndugu Suleiman Masoud Nchambi
140. Ndugu Beno Malisa
141. Ndugu Edwin Mgante Sanda
142. Ndugu Lucy Mayenga


KUNDI LA WAZAZI – ZANZIBAR:
143. Ndugu Dogo Iddi Mabrouk
144. Ndugu Hassan Rajab Khatib
145. Ndugu Fatma Abeid Haji
146. Ndugu Mtumwa Yussuf Peya


KUNDI LA WAZAZI BARA:
147. Eng. Stella Martine Manyanya
148 Dk. Zainab Amir Gama
149. Ndugu Mussa Azzan Zungu
150. Ndugu Adam Kighoma Ali Malima
151. Ndugu Mohamed Nassoro Nondo
152. Ndugu Richard Said Nyaulawa


KUNDI LA VITI (20) – ZANZIBAR:
153. Dk. Ali Mohamed Shein
154. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
155. Dk. Hussein Ali Mwinyi
156. Dk. Mohammed Gharib Bilal
157. Ndugu Saleh Ramadhan Ferouz
158. Ndugu Moh'd Seif Khatib
159. Ndugu Samia Suluhu Hassan
160. Ndugu Kidawa Hamid Saleh
161. Ndugu Salum Msabah Mbarouk
162. Ndugu Khadija Hassan Bauod
163. Ndugu Mansoor Yussuf Himid
164. Ndugu Omar Yussuf Mzee
165. Ndugu Seif Ali Iddi
166. Ndugu Moh'd Hassan Nassor Moyo
167. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
168. Ndugu Maudline Cyrus Castico
169. Ndugu Vuai Ali Vuai
170. Brig. Gen. Adam C. Mwakanjuki
171. Ndugu Thuwaybah Endington Kissasi
172. Dk. Ishau Abdallah Khamis


KUNDI LA VITI (20) – BARA:
173. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa
174. Ndugu Andrew John Chenge
175. Ndugu Bernard Kamilius Membe
176. Capt. (mst) Jaka Mgwabi Mwambi
177. Prof. Juma Athumani Kapuya
178. Ndugu Abdulrahman Omar Kinana
179. Ndugu Christopher Mwita Ghachuma
180. Ndugu Stephen Masato Wasira
181. Ndugu Aggrrey Deaisile Mwanri
182. Dk. Milton Makongoro Mahanga
183. Ndugu Frederick Tluway Sumaye
184. Ndugu John Damian Komba
185. Ndugu Kingunge Ngombale-Mwiru
186. Ndugu William V. Lukuvi
187. Ndugu John Zefania Chiligati
188. Ndugu Amos Gabriel Makala
189. Prof. Samuel M. Wangwe
190. Prof. David Homeli Mwakyusa
192. Ndugu Jackson W. Msome
193. Ndugu Asha Baraka
194. Ndugu Rostam Aziz
 
This saga portrays the kind of government we have! Hawa is just a mouth piece. Mkandara is also involved in this whole mess one way or another.
 
Inaelekea Waziri wetu wa Utumishi hana list kamili ya watumishi wa UMMA wenye vyeo vikubwa kwenye vyama vya siasa ila Baregu, Safari sasa naomba tumsaidie.
Wana JF changia hii list halafu tutume kwa mh Ghasia kwa kutumia email hghasia@parliament.go.tz afanyie kazi mara moja kwa kutumia kifungu cha sheria alichonukuu.

1. Mkurugenzi wa AICC - E.D.Kaaya ni mjumbe wa NEC ccm.
2.


Mkuu natumaini hapa tunaongelea 'civil servants' na siyo political appointee kama wengine wanavyo orodhesha kwenye hii post.
 
Tupeni Orodha ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM ndio itayofungua vizuri zaidi Pandora Box, maana humo kuna wakuu wa idara za serikali wapo pia watumishi wa Halmashauri mbalimbali nchini.

Tukimaliza taifa tutakuja Kamati na mikutano mikuu ya ngazi za chini mikoa, wilaya nk

JJ
 
Mkuu natumaini hapa tunaongelea 'civil servants' na siyo political appointee kama wengine wanavyo orodhesha kwenye hii post.

Political appointees ni watu gani kwa mfano? Tupe mfano wa watumishi wa umma ambao sio 'civil servants'. Kwenye civil service kuna madaraja mbalimbali ya utumishi, tunaweza kubishania madaraja, daraja gani liwe na haki gani za kisiasa lakini ukweli unabaki kwamba kama Waziri Ghasia akiitafsiri Sheria ya utumishi wa umma, kanuni zake na waraka wake kwa tafsiri anayotaka kutupa basi wengi watanasa!

JJ
 
2.Hawa Ghasia-Waziri wa utumishi-mjumbe NEC
 
2.Hawa Ghasia-Waziri wa utumishi-mjumbe NEC

Bramo,

Umenichekesha kweli kweli. Kumbe na yeye mwenyewe ni mjumbe wa NEC. Sasa yeye kama Waziri anayelipwa mshahara wa umma kwa mhimili wa utendaji wa serikali sio mtumishi wa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na waraka alioutumia?

Kama ndio; Basi natoa mwito binafsi kuwa Hawa Ghasia achague kama anataka kuendelea kuwa waziri au mjumbe wa NEC. Wewe umetumia list gani Bramo? Macho yangu hayajaona jina lake kwenye list yao ya mwaka 2007 au nimesoma juu?

Je, Hawa Ghasia sio mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

JJ
 
Political appointees ni watu gani kwa mfano? Tupe mfano wa watumishi wa umma ambao sio 'civil servants'. Kwenye civil service kuna madaraja mbalimbali ya utumishi, tunaweza kubishania madaraja, daraja gani liwe na haki gani za kisiasa lakini ukweli unabaki kwamba kama Waziri Ghasia akiitafsiri Sheria ya utumishi wa umma, kanuni zake na waraka wake kwa tafsiri anayotaka kutupa basi wengi watanasa!

JJ


Political appointee ni kama wakuu wa mikoa, mawaziri etc ambao Mh. Rais anaweza kuwaondoa at his / her pleasure. Civil servants ni kinyume chake.Tukishanyoosha hapo basi tutaweza kwenda vizuri na mjadala wetu. mfano kama kuna proof kwamba Membe ni mwajiliwa wa UWT basi hapo atakuwa amesigina sheria anazosimamia Mh. Ghasia.

Unajua kuna dormant sheria nyingi ambazo wanasiasa walioko madarakani wanaweza kuzitumia kumaliza mtu mfano: ile sheria ' Films Act' inayokataza mtu kuchukua sinema(sasa hivi video) labda awe amepewa kibali na mkuu wa wilaya haifuatiliwi lakini no matter how draconian it sound lakini bado hiko vitabuni mwa sheria za tanzania na mtu anaweza kujeruiwa nayo. Ikija ata futwa ushaumia.

I am just a seer. Politics a tricky game and dirty one.
 
Back
Top Bottom