Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

kaka mnyika, mnaonaje ninyi kama chadema mkaamasisha maandamano ya amani hapo dsm kulaani kitendo cha serikali kukataa kuongeza mkataba wa kufundisha wa baregu? nahisi watu wengi zaidi wangeamka na kujua kinachoondelea.
 
Naona list ni ndefu sana, sijui kama wote watatolewa kazini ataachwa nani? Kumbukeni hii list ni ya chama tawala.

Labda tuulize nani mtumishi wa umma ana wadhifa kwenye vyama vya upinzani.
 
Msaada kwenye tuta;..hivi kuna tofauti gani kati ya watumishi wa kuajiriwa(mfano wahadhiri/walimu,wakurugenzi wa kuajiriwa,wahasibu n.k) na watumishi wa kuteuliwa(hasa kiutawala wa kisiasa mfano mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya n.k)

Swali kwa Mnyika;,hivi John,ikitokea CHADEMA ikachukua madaraka,unataka kuniambia kwamba wajumbe wa BAWACHA,BAVICHA,wa mkutano mkuu,Mweka Hazina N.k hawatakuwa na sifa(nafasi) ya kuteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi(mfano C,DCs,Mawaziri n.k) katika serikali itakayoundwa na CHADEMA?????
 
Tarimba Abass ni diwani na CEO wa Taasisi ya Umma
 
Bramo,

Umenichekesha kweli kweli. Kumbe na yeye mwenyewe ni mjumbe wa NEC. Sasa yeye kama Waziri anayelipwa mshahara wa umma kwa mhimili wa utendaji wa serikali sio mtumishi wa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na waraka alioutumia?

Kama ndio; Basi natoa mwito binafsi kuwa Hawa Ghasia achague kama anataka kuendelea kuwa waziri au mjumbe wa NEC. Wewe umetumia list gani Bramo? Macho yangu hayajaona jina lake kwenye list yao ya mwaka 2007 au nimesoma juu?

Je, Hawa Ghasia sio mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

JJ


Mara nyingi munaonekana hamko makini kwa sababu za kitoto sana... Waziri ni Mwanasiasa? Hivyo Membe is out.

Utumishi wa umma unaozungumziwa hapa ni wale ambao mkubwa wao ni Katibu Mkuu kiongozi.
 
Mkuu natumaini hapa tunaongelea 'civil servants' na siyo political appointee kama wengine wanavyo orodhesha kwenye hii post.

Kweli Shadow,

Mijitu mingine bwana kuvamia mambo bila kufikiri...
 
Bramo,

Umenichekesha kweli kweli. Kumbe na yeye mwenyewe ni mjumbe wa NEC. Sasa yeye kama Waziri anayelipwa mshahara wa umma kwa mhimili wa utendaji wa serikali sio mtumishi wa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na waraka alioutumia?

Kama ndio; Basi natoa mwito binafsi kuwa Hawa Ghasia achague kama anataka kuendelea kuwa waziri au mjumbe wa NEC. Wewe umetumia list gani Bramo? Macho yangu hayajaona jina lake kwenye list yao ya mwaka 2007 au nimesoma juu?

Je, Hawa Ghasia sio mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

JJ


Du!Mbunge mtarajiwa hujui concept rahisi kama hii!!! kweli safari ya ukombozi wa Tanganyika ni ndefu.
 
Prof Ishengoma wa SUA ni meya wa mji wa morogoro na bado anaofisi SUA!!
 
Political appointees ni watu gani kwa mfano? Tupe mfano wa watumishi wa umma ambao sio 'civil servants'. Kwenye civil service kuna madaraja mbalimbali ya utumishi, tunaweza kubishania madaraja, daraja gani liwe na haki gani za kisiasa lakini ukweli unabaki kwamba kama Waziri Ghasia akiitafsiri Sheria ya utumishi wa umma, kanuni zake na waraka wake kwa tafsiri anayotaka kutupa basi wengi watanasa!

JJ


Dogo no research no right to speak!!! acha kuzunguka... it is clear political appointees zinaeleweka... hata pale kwenu CHADEMA, kuna wafanyakazi na vyeo vya ku-be-appointed please acha spining unakera sasa.
 
Ghasia na genge lake ndo wezi. mbona kuna wajumbe wengi wa ccm ambao ni watumishi wa serikali na wanaudhulia vikao vya chama kila kukicha. huu msukumo wa Prof si wake binafsi ni kwa masilahali yetu sote. tuangalie mbele, hii itakuja kwako kama utendaji kazi wa kibaguzi hautokemewa haraka.
 
kaka mnyika, mnaonaje ninyi kama chadema mkaamasisha maandamano ya amani hapo dsm kulaani kitendo cha serikali kukataa kuongeza mkataba wa kufundisha wa baregu? nahisi watu wengi zaidi wangeamka na kujua kinachoondelea.

C'mon mkuu,maandamano ya nini tena??,kwa sababu tu Baregu kakataliwa kuongezewa mkataba!!!!,lol,binafsi namshauri Baregu aangalie tu ustaarabu mwingine maana sidhani kama atakaa UDSM daima(kama kufundisha anaweza kufundisha hata kwenye vyuo vingine so sioni sababu ya yeye kung'ang'ania kuendelea kuwepo UDSM)

Kwa mujibu wa Waziri Ghasia:- "Kwa kutumia utaratibu huu, Baregu alistaafu kazi kwa mujibu wa sheria Februari 24 mwaka 1999 akiwa na umri wa miaka 55 na baada ya kustaafu, aliajiriwa kwa mkataba na UDSM mara tatu na mkataba wa mwisho ulimalizika Januari mwaka 2008," alisema Ghasia....Prof Baregu keshaongezewa mkataba mara tatu sasa,mi namshauri kama vp atafute tu sehemu nyingine(chuo) maana siku hizi vyo viko vingi tu(na vingi vina matawi Dar),kuna life baada ya UDSM....Kimsingi mtu unapoomba kitu(kama kuongezewa mkataba) kuna mawili kukubaliwa ama kukataliwa,inabidi ujiandae kupata jibu la Yes ama No
 
Hapa hata mkurugenzi ndani ya ofisi ya serikali hata taasisi za umma kama ni mwanachama wa ccm inabidi ajiuzulu kazi serikalini, maana kuwa mwanachama wa ccm tu kunaondoa sifa ya kuwa mtumishi wa umma kama Mh. Ghasia alivyosema kuhusu waraka wa utumishi soma mission ya mwanachama wa ccm:
http://www.ccmtz.org/nyaraka/kanunidola.pdf
FUNGU LA KWANZA
KANUNI ZA JUMLA
MASHARTI YA UONGOZI KATIKA SERIKALI​
1. Kila Kada wa CCM anayegombea na hatimaye kuchaguliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi
katika Serikali anapaswa kukiri kwa dhati kwamba maendeleo halisi ya wananchi
yanayosimamiwa na Serikali ya CCM katika kipindi kinachohusika, yanapatikana kwa njia ya
utekelezaji uliokamilika wa ILANI za CCM za uchaguzi. Kwa hiyo wajibu wake wa kwanza ni
kusimamia utekelezaji wa ILANI zetu katika eneo lake la uongozi kwa uwezo wake wote.
2. Kiongozi wa kuchaguliwa mwenye madaraka ya utawala​
​
​
​
- Kwa mfano Mwenyekiti wa
Kitongoji, Mtaa, Kijiji au Rais wa Nchi - ana wajibu wa kuhakikisha kwamba kazi zote za
Serikali katika ngazi yake zinafanywa kwa ukamilifu kwa kufuata Taratibu, Sheria na Kanuni
za Utumishi Serikalini. Kanuni hii ina umuhimu wa kwanza na pia wa pekee katika utekelezaji
wa kazi za Serikali chini ya demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Bila ya kufuata Taratibu,
Sheria na Kanuni, Utendaji kazi Serikalini utatawaliwa sana na malumbano ya kisiasa, vurugu,
majungu, uzembe, wizi, rushwa na ubadhirifu wa mali ya umma, mambo ambayo ni kikwazo
kikubwa katika harakati za ujenzi wa Taifa.
3.(1) Kiongozi wa Serikali ya CCM ambaye pia ni Mwakilishi wa wananchi
- kwa mfano: Diwani,
Mbunge, Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi - ana wajibu mkubwa sana katika kuhakikisha
kwamba:-
(i) Anatembelea Jimbo lake na kukagua mara kwa mara utekelezaji wa miradi ya
maendeleo ambayo imetengewa fedha ili aone mwenyewe na kufanya tathmini ya
viwango vya utekelezaji ambavyo vimefikiwa. Lengo hapa ni kuharakisha utekelezaji
wa miradi hiyo ili iweze kukamilishwa katika muda uliopangwa pamoja na kuzuia au
kukomesha utekelezaji hewa wa miradi ya maendeleo kwa jumla. Tathmini hiyo
ndiyo msingi wake na sababu ya kuihoji Serikali juu ya utekelezaji wa shughuli za
Serikali zinazofanyika katika Jimbo lake.
(ii) Kuwatembelea mara kwa mara wananchi wa Jimbo lake ili kujielimisha juu ya ubora
wa maendeleo yao kiuchumi na kijamii, kujua kero zao ili aweze kushiriki kwa
ukamilifu katika kuzitatua; kusanifu mambo hayo na kuyajengea hoja zenye
mwelekeo wa kuongeza kasi ya maendeleo ya wananchi waliomchangua. Kazi hii
sharti ifanyike kwa kipindi chote cha miaka mitano ya Uwaklishi wake.
(iii) Kuwa karibu na kushirikiana vizuri na ngazi zote za vyombo vya Serikali, NGO’s na
Taasisi nyingine, vinavyosukuma siku hadi siku maendeleo ya wananchi wa jimbo
lake. Kazi kubwa ya Mwakilishi wa CCM katika eneo hili ni kuhimiza bila kuchoka
​

4​
utatuzi wa kero na shida za wananchi wa jimbo kwa moyo wa kujitegemea kulingana
na uwezo uliopo Kijijini, Mtaani, Wadini, Katani, Wilayani na Mkoani.
(iv) Kuwafikishia wananchi wa Jimbo lake maagizo ya Serikali yanayotolewa mara kwa
mara yakiwataka wayatekeleze; kuyafafanua vizuri maagizo hayo katika mikutano ya
hadhara au mbele ya Serikali ya Mtaa, Kata/Wadi na Kijiji. Lengo hapa ni
kuhakikisha kwamba kila agizo la Serikali limepokelewa na wananchi na limeeleweka
ili waweze kulitekeleza kwa ukamilifu kama raia wema na waaminifu wa nchi yetu.
(v) Anawajibika kuhudhuria na kushiriki kwa ukamilifu katika vikao vyote vya Serikali na
CCM vinavyomhusu.
(vi) Mbunge, Muwakilishi na Diwani wa CCM ajihusishe kwa ukamilifu na uimarishaji wa
Chama Cha Mapinduzi katika ngazi inayohusika na uongozi wake na pia Chama kwa
jumla.​
(2)​
​
​
​
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya ngazi ya uongozi wa Mwakilishi anayehusika
itafuatilia mara kwa mara utekelezaji wa wajibu wake huo, kuujadili katika vikao vyake na
kutoa taarifa kwa vikao vya Chama vya ngazi za juu.
​

SIFA ZA WAGOMBEA
Ngazi ya Kitongoji hadi Wawakilishi/Bunge:​
4. Kila raia wa Tanzania anayejitokeza kugombea nafasi ya uongozi Serikalini kwa tiketi ya CCM
(ngazi ya Kitongoji hadi Wawakilishi/Bunge) sharti awe na sifa za jumla zifuatazo:-
(i) Awe mwanachama wa CCM asiyetiliwa shaka yoyote katika eneo lake, mwadilifu na
anayekubalika na wananchi kwa jumla;
(ii) Awe na sifa zote zinazotakiwa na Katiba ya Nchi au Sheria au Kanuni inayohusu
uongozi anaoutaka;
(iii) Awe anakubali kwa dhati imani, malengo, madhumuni na Sera za CCM;
(iv) Awe msitari wa mbele katika kuhudhuria vikao vya Chama vinavyomhusu kwa
mujibu wa Katiba ya CCM;
(v) Awe mkweli, mwaminifu kwa CCM na mwenye tabia na mwenendo safi kwa jumla;
(vi) Awe mpenda maendeleo, mbunifu, hodari katika kazi na mwenye elimu, uzoefu na​
upeo mkubwa kuhusu maendeleo ya uchumi na jamii na ujenzi wa taifa kwa jumla
 
Hivi sheria inasema ni WAFANYAKAZI WA UMMA? Au inaendelea kuchambua ni wafanyakazi wa umma wa aina gani? Balatanda swali lako zuri sana na nafikiri tungelianzia hapo kuchambua na si kama maneno ya Kasheshe ambayo yamekaa kwa dharau na kejeli ya hali ya juu.

Tukishapata jibu la ni wafanyakazi gani wa umma au kama hii imekaa GENERAL basi ina maana huo mtego wa panya wataingia wengi hata mama mwenyewe. Kwa waliofanya mahesabu wanafahamu kuwa inabidi kwanza kukusanya DATA ndiyo uanze kulifanya swali hilo.

Wenye ufahamu hapa wa Wafanyakazi gani wa umma wanaongelewa kwenye sheria/katiba basi watuwekee ili kuuwa mzizi wa fitina. Hapa ndiyo tunaona anachemsha Mnyika au kachemsha Kasheshe.
 
C'mon mkuu,maandamano ya nini tena??,kwa sababu tu Baregu kakataliwa kuongezewa mkataba!!!!,lol,binafsi namshauri Baregu aangalie tu ustaarabu mwingine maana sidhani kama atakaa UDSM daima(kama kufundisha anaweza kufundisha hata kwenye vyuo vingine so sioni sababu ya yeye kung'ang'ania kuendelea kuwepo UDSM)

Kwa mujibu wa Waziri Ghasia:- "Kwa kutumia utaratibu huu, Baregu alistaafu kazi kwa mujibu wa sheria Februari 24 mwaka 1999 akiwa na umri wa miaka 55 na baada ya kustaafu, aliajiriwa kwa mkataba na UDSM mara tatu na mkataba wa mwisho ulimalizika Januari mwaka 2008," alisema Ghasia....Prof Baregu keshaongezewa mkataba mara tatu sasa,mi namshauri kama vp atafute tu sehemu nyingine(chuo) maana siku hizi vyo viko vingi tu(na vingi vina matawi Dar),kuna life baada ya UDSM....Kimsingi mtu unapoomba kitu(kama kuongezewa mkataba) kuna mawili kukubaliwa ama kukataliwa,inabidi ujiandae kupata jibu la Yes ama No

Nakuunga mkono sana mkuu; kinachonisikitisha zaidi ni kwamba tunaanza ku-dwell na issue moja ambayo iko straight forward na kupoliticize taaluma simply because Baregu kakosa...

Naomba nieleweke kwamba ninasikitika amekosa kazi kwani ni mmoja wa resource persons wazuri chuoni la EA nzima, ningetamani apewe muda wa kuboresha elimu yetu

lakini tuangalie upande mwingine wa shilingi,

  • ni lazima awe yeye?
  • kama ndio ina maana hakuandaa warithi? ...ili abaki milele?
  • Kwenye kuomba si kuna kupewa na kunyimwa? otherwise inakua sio kuomba bali ni kuchukua/kutaka
  • Baregu anaheshimika sana afrika na baadhi ya vyuo nilivyotembea wanamjua na kumuheshi hata UN institutions, African organizations na international NGos, sasa lazima abaki UDSM tu ndio maana yake? apanue uwigo wake na awe wa kimataifa zaidi kama akina mazrui nk
  • Bado naamini Baregu is better off now kwani atakuwa na muda mzuri wa kutuandikia vitabu, kuandaa warsha na mikakati ya kutusaidia vijana akiwa CHADEMA na kazi zake nyingine kama visiting lecturer etc.
  • kungangania jambo sometimes kunaondoa sifa na thamani ya vitu,
Baregu is a gem,...ok, let it be, a gem hujiuza na haijitembezi.... atulie na aanye mengine makubwa zaidi kwa taifa... si lazima uwe yerusalem ndio uone ufalme wa mbingu!!!

Now, back to bibi Ghasia... Tukiamua kufuata sheria... kutakuwa na vacancies kibao hapa nchini, nadhani aangalie inventory ya staff wake kabla ya kutoa sweeping statements kwani anajiumbua
 
Nakuunga mkono sana mkuu; kinachonisikitisha zaidi ni kwamba tunaanza ku-dwell na issue moja ambayo iko straight forward na kupoliticize taaluma simply because Baregu kakosa...

Naomba nieleweke kwamba ninasikitika amekosa kazi kwani ni mmoja wa resource persons wazuri chuoni la EA nzima, ningetamani apewe muda wa kuboresha elimu yetu

lakini tuangalie upande mwingine wa shilingi,

  • ni lazima awe yeye?
  • kama ndio ina maana hakuandaa warithi? ...ili abaki milele?
  • Kwenye kuomba si kuna kupewa na kunyimwa? otherwise inakua sio kuomba bali ni kuchukua/kutaka
  • Baregu anaheshimika sana afrika na baadhi ya vyuo nilivyotembea wanamjua na kumuheshi hata UN institutions, African organizations na international NGos, sasa lazima abaki UDSM tu ndio maana yake? apanue uwigo wake na awe wa kimataifa zaidi kama akina mazrui nk
  • Bado naamini Baregu is better off now kwani atakuwa na muda mzuri wa kutuandikia vitabu, kuandaa warsha na mikakati ya kutusaidia vijana akiwa CHADEMA na kazi zake nyingine kama visiting lecturer etc.
  • kungangania jambo sometimes kunaondoa sifa na thamani ya vitu,
Baregu is a gem,...ok, let it be, a gem hujiuza na haijitembezi.... atulie na aanye mengine makubwa zaidi kwa taifa... si lazima uwe yerusalem ndio uone ufalme wa mbingu!!!

Mkuu,
Hili swala si jepesi kama unavyotaka kulifanya wewe.

Nafikiri tatizo hapa si BEREGU. Angelikuwa Beregu ni tatizo basi tungelisema kuwa Tanzania au UDSM bila Beregu hakiwezi kuwa na hilo si kweli.

Hapa tatizo ni lazima tufahamu MISINGI ikoje ya WANYAKAZI WA UMMA. Kesho watapindisha mistari ili kufanikisha mambo yao jambo ambalo mtu wa kawaida anaweza kuliona si muhimu sana.

Mwisho nafikiri NIMSHUKURU Baregu kwa kukomaa nao hadi kieleweke. Ningelishauri Baregu apigane hadi ashinde na akishinda adai iwekwe wazi kwenye sheria. Kama atashindwa basi tufahamu ni Wafanyakazi gani wa umma kisheria hawawezi kuwa WANASIASA. Tukishapata hapo, tutaanza sasa kulia na hao wa CCM walioko kwenye utumishi wa UMMA. Na Mwisho kabisa kwangu mie ni kuwa Baregu hata kama ukishinda basi na UDSM usirudi ili wenye Madonge yao wajinyonge. Ila hii itakuwa imeweka njia kwa wafanyakazi wengine wa umma wanaotaka kugombea basi na wafanye hivyo bila woga na au wasifanye hivyo.
 
Kuna mchango nilioutoa leo asubuhi kutofautisha kati ya watumishi wa umma na wanasiasa naona imeondolewa sijui kwa nini. Kaaya yes anazo sifa kama za Baregu kwa maana hiyo ni muhimu Ghasia afafanue. Japokuwa Baregu hastahili kuendelea kuwa mtumishi wa umma kwa sababu ameishastaafu wakati Kaaya bado ni kijana. Kwani Naregu kuwa mjumbe wa CC Chadema ndiyo kumesababisha asiajiriwe au uzee? Kama ndiyo aliyoyasema Ghasia basi kachemsha.

By definition watumishi wa umma yaani Public Service as opposed to politicians ni kuanzia Chief Secretary hadi mhudumu wa ofisi. Hao ni permanent and pensionable. Wakati Rais, VP, PM, Mawaziri, MaRcs, MaDCs. Hawa ni political leaders and they are not pensionable but are paid gratuities. Kwa hiyo Membe na Rugimbana are not public civil servants. No. Ila Kaaya is kwa sababu he is governed by the Public Service Act.
 
Naomba list ya wajumbe wa NEC CCM tafadhali!
Re: Majina ya wajumbe wa NEC ya CCM WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA 20071. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti3. Aman Abeid Karume - Makamu Mwenyekiti (Zanzibar)4. Ndugu Yussuf R. makamba - Katibu MkuuWAJUMBE WA KUDUMU :5. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mwenyekiti wa CCM Mstaafu6 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mwenyekiti wa CCM Mstaafu7. Ndugu Rashid Mfaume Kawawa - Makamu M /Kiti CCM Mstaafu8. Dr. John S. Malecela - Makamu M/Kiti CCM Mstaafu9. Dr. Salmin Amour - Makamu M/Kiti CCM MstaafuWAJUMBE WA NEC WALIOTEULIWA NA MWENYEKITI:10. Dr. Salim Ahmed Salim - Mjumbe11. Mhe. Cleopa D. msuya - MjumbeWENYEVITI WA JUMUIYA ZA CHAMA:12. Dr. Emanuel Nchimbi - Mjumbe13. Mhe. Anna Abdallah - Mjumbe14. WAZAZI - -WENYEVITI WA MIKOA:15. Ndugu Onesmo Nangole - Arusha16.. Ndugu John Guninita - Dar es Salaam17. Ndugu William Kusila - Dodoma18. Ndugu Deo Sanga - Iringa19. Ndugu Conctancia Nyamwiza Buhiye - Kagera20. Ndugu Mberwa Hamad Mberwa - Kaskazini Pemba21. Ndugu Haji Juma Hai - Kaskazini Unguja22. Ndugu Azim Premji - Kigoma23. Ndugu Vicky Nsilo Swai - Kilimanjaro24. Ndugu Abdallah Mohamed Mshindo - Kusini Pemba25. Ndugu Haji Ussi Haji Gavu - Kusingi Unguja26. Ndugu Mohamed Mtopa - Lindi27. Ndugu Lucas Kismir Ole Mukusi - Manyara28. Ndugu Makongoro Nyerere - Mara29. Ndugu Nawab Mulla - Mbeya30. Ndugu Yussuf Mohamed Yussuf - Mjini Magharibi31. Ndugu Petro Aron Kingu - Morogoro32. Ndugu Dadi Mbulu - Mtwara33. Ndugu Clement Gregory Mabina - Mwanza34. Ndugu Mwinshehe Shaban Mlao - Pwani35. Ndugu Matete Kalol Hypolitus - Rukwa36. Ndugu Colnelius Lombandali Msuha - Ruvuma37. Ndugu Khamis Madata Mgeja - Shinyanga38. Ndugu Joram Sima Allute - Singida39. Ndugu Hassan Mohamed Wakusuvi - Tabora40. Ndugu Musa Kipindu Shekimweri - Tanga41. Ndugu - Arusha42. Ndugu Ramadhan A. Madabida - Dar es Salaam43. Ndugu Adam Omari Kimbisa - Dodoma44. Prof. Peter Msolla - Iringa45. Ndugu Nazir Karamagi - Kagera46. Ndugu Muhsin Mohamed Sheni - Kigoma47. Prof. Jumanne Maghembe - Kilimanjaro48. Ndugu Mathias Chikawe - Lindi49. Ndugu Mathayo Manyinyi - Mara50. Ndugu Mary M. Nagu - Manyara51. Prof. Mark James Mwandosya - Mbeya52. Ndugu Aziz Abood Abdulmazizi - Morogoro53. Capt. George Huruma Mkuchika - Mtwara54. Ndugu Antony Mwandu Diallo - Mwanza55. Ndugu Subira Khamis Mgalu - Pwani56. Ndugu Mizengo Peter Pinda - Rukwa57. Ndugu Jenista Mhagama - Ruvuma58. Ndugu Hillal Hamad Hillal - Shinyanga59. Ndugu Rostam Aziz - Tabora60. Dr. Abdallah O. Kigoda - Tanga61. Ndugu Mohamed Dewji - Singida62. Ndugu Khamis Salum Ali - Kaskazini Unguja63. Ndugu Ussi Yahya Haji - Kaskazini Unguja64. Ndugu Mustafa Ahmada Ali - Kaskazini Unguja65. Ndugu Mtumwa Kassim Idd - Kaskazini Unguja66. Ndugu Mohamed Aboud Mohamed - Kusini Pemba67. Ndugu Ali Issa Ali - Kusini Pemba68. Ndugu Issa Mohamed Salim - Kusini Pemba69. Ndugu Zainab Khamis Shomari - Kusini Pemba70. Dr. Maua Abeid Daftari - Kaskazini Pemba71. Ndugu Dadi Faki Dadi - Kaskazini Pemba72. Ndugu Salim Hamad Salehe - Kaskazini Pemba73. Ndugu Issa Ahmed Othamn - Kaskazini Pemba74. Ndugu Musa Makame Pandu - Kusini Unguja75. Ndugu Ramadhan Musa Shabani - Kusini Unguja76. Ndugu Issa Kassim Issa - Kusini Unguja77. Ndugu Jaffar Sanya Jussi - Kusini Unguja78. Ndugu Shawana Bukheti Hassan - Mjini Magharibi79. Ndugu Burhan Saadat Haji - Mjini Magharibi80. Ndugu Matogo Juma Matogo - Mjini Magharibi81. Ndugu Machano Othman Said - Mjini MagharibiMAKATIBU WA CCM MIKOA:82. Ndugu Mohamed Mbonde - Arusha83. Ndugu John Barongo - Dar es Salaam84. Ndgu X.X. Mhagama - Dodoma85. Ndugu Kirumbe S. Ng’enda - Iringa86. Ndugu S. Kadomole - Kagera87. Ndugu Said Shaame Hamad - Kigoma88. Ndugu C. Mayagile - Kilimanjaro89. Ndugu Stephen Kazidi - Lindi90. Ndugu V. Senguo - Manyara91. Ndugu Albert Mgumba - Mara92. Ndugu S. Kikungwe - Mbeya93. Ndugu Mary Chatanda - Morogoro94. Ndugu Catherine Ndahani - Mtwara95. Ndugu Mwangi Kundya - Mwanza96. Ndugu Amina Makilagi - Pwani97. Ndugu Verena A. Shumbusho - Rukwa98. Ndugu Asha Kipangula - Ruvuma99. Ndugu Gustav Muba - Shinyanga100. Ndugu Naomi Kapambala - Singida101. Ndugu D. Fussi - Tabora102. Ndugu Idd Ali Ameir - Tanga103. Ndugu Adam Ngawala - Kusini Pemba104. Ndugu Hassan A. Shaali - Kaskazini Pemba105. Ndugu Shija Othman Shija - Kusini Unguja106. Ndugu Khadija S. Faraj - Kaskazini Unguja107. Ndugu Ramadhan Abdalla Ali - Mjini MagharibiKUNDI LA WANAWAKE (UWT) – ZANZIBAR108. Ndugu Mwanajuma Majid Abdulla109. Ndugu Fatma Said Ali110. Ndugu Yasmin Y. Aloo111. Ndugu Amina Iddi Mabrouk112. Ndugu Asha Abdullah Juma113. Ndugu Catherine Nao114. Ndugu Asha Bakari MakameKUDI LA WANAWAKE (BARA):115. Ndugu Margareth Simwanza Sitta116. Ndugu Zakia Hamdan Meghji117. Ndugu Pindi Hazara Chana118 Ndugu Anne Semamba Makinda119. Ndugu Diana Mkumbo Chilolo120. Ndugu Aisha Omari Kigoda121. Ndugu Anna K. Malecela122. Dk. Rehema Jonathan Nchimbi123. Ndugu Shamsa Selengia Mwangunga124. Ndugu Khadija Omari Kopa125. Ndugu Asha Ramadhani Baraka126. Ndugu Kate Slyvia Kamba127. Ndugu Sofia Mnyambi SimbaKUNDI LA VIJANA – ZANZIBAR:128. Ndugu Hawa Sukwa Said129. Ndugu Hamad Masauni Yussuf130. Ndugu Adila Hilal Vuai131. Ndugu Michael Charles Bundala132. Ndugu Ashura Abdalla Ismail133. Ndugu Suleiman Muhsin HajiKUNDI LA VIJANA – UVCCM BARA:134. Ndugu Zainab Rashid Kawawa135. Ndugu Violet Mzindakaya Mpogolo136. Ndugu Nape Moses Nnauye137. Ndugu Jerry William Slaa138. Ndugu Sarah Msafiri Ally139. Ndugu Suleiman Masoud Nchambi140. Ndugu Beno Malisa141. Ndugu Edwin Mgante Sanda142. Ndugu Lucy MayengaKUNDI LA WAZAZI – ZANZIBAR:143. Ndugu Dogo Iddi Mabrouk144. Ndugu Hassan Rajab Khatib145. Ndugu Fatma Abeid Haji146. Ndugu Mtumwa Yussuf PeyaKUNDI LA WAZAZI BARA:147. Eng. Stella Martine Manyanya148 Dk. Zainab Amir Gama149. Ndugu Mussa Azzan Zungu150. Ndugu Adam Kighoma Ali Malima151. Ndugu Mohamed Nassoro Nondo152. Ndugu Richard Said NyaulawaKUNDI LA VITI (20) – ZANZIBAR:153. Dk. Ali Mohamed Shein154. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha155. Dk. Hussein Ali Mwinyi156. Dk. Mohammed Gharib Bilal157. Ndugu Saleh Ramadhan Ferouz158. Ndugu Moh’d Seif Khatib159. Ndugu Samia Suluhu Hassan160. Ndugu Kidawa Hamid Saleh161. Ndugu Salum Msabah Mbarouk162. Ndugu Khadija Hassan Bauod163. Ndugu Mansoor Yussuf Himid164. Ndugu Omar Yussuf Mzee165. Ndugu Seif Ali Iddi166. Ndugu Moh’d Hassan Nassor Moyo167. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa168. Ndugu Maudline Cyrus Castico169. Ndugu Vuai Ali Vuai170. Brig. Gen. Adam C. Mwakanjuki171. Ndugu Thuwaybah Endington Kissasi172. Dk. Ishau Abdallah KhamisKUNDI LA VITI (20) – BARA:173. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa174. Ndugu Andrew John Chenge175. Ndugu Bernard Kamilius Membe176. Capt. (mst) Jaka Mgwabi Mwambi177. Prof. Juma Athumani Kapuya178. Ndugu Abdulrahman Omar Kinana179. Ndugu Christopher Mwita Ghachuma180. Ndugu Stephen Masato Wasira181. Ndugu Aggrrey Deaisile Mwanri182. Dk. Milton Makongoro Mahanga183. Ndugu Frederick Tluway Sumaye184. Ndugu John Damian Komba185. Ndugu Kingunge Ngombale-Mwiru186. Ndugu William V. Lukuvi187. Ndugu John Zefania Chiligati188. Ndugu Amos Gabriel Makala189. Prof. Samuel M. Wangwe190. Prof. David Homeli Mwakyusa192. Ndugu Jackson W. Msome
Hiyo ndiyo orodha kama ilivyokuwa kwenye website ya ccm 26/8/2009. Yawezekana ikawa na mbadiliko kidogo ya kuwaondoa akina Kawawa waliokufa.
 
Back
Top Bottom