Kwanini Paschal Mayalla amekuwa mnafiki?

Kwanza kubali kuwa wewe pungasese afu kaa kimya. Mtafute Lissu akusaidie kumwelewa mayalla. And mwisho unajua maana ya Demokrasia na uhuru wa maoni. Mbona mnacommiti "Intellectual suicide"
Mnajifanya wapenda uhuru kumbe madikteta wakubwa. Katika kila siasa kuna wafaidika na wasiofaidika .
 
Jiheshimu mwana Demokrasia na Maendeleo . Kweli chama hiki kma kina watu wasiojua maana ya heshima basi hamtakuja kumtawala hata panzi
Tatizo umejaa mihemko na jazba..wapi kwenye hii makala umeona neno itikadi ya chama cha Siasa?
Tulia na elewa mkuu
 
Mkuu huyu jamaa alikuwa na ID mbili humu hii ya sasa na nyingine ya Pasco. Ile ya Pasco ndiyo alikuwa akiitumia kwa mengi sana kukandia au kusifia.

Akafanya makosa siku moja nadhani kulikuwa na news conference ya Chadema kama sikosei ambayo ilionyeshwa kwenye TV na baadhi humu waliangalia ile news conference. Akauliza swali la kiccm silikumbuki swali husika kisha kwa kutumia ID ya pasco na si hii ya sasa akaja kutamba humu kwamba ni yeye ndiye aliyeuliza lile swali. Watu wakajumlisha moja na moja na kupata jibu hivyo kuanza kumuita kwa jina la hii ID ya kweli na haikupita muda mrefu mabandiko yake yote ya ID ya pasco yakaunganishwa na ID hii ya sasa.

 
NDO NANI KWANI HUYO JAMAA....ILA KUMBUKA TEUZI INATAFUTWA KWA KILA NAMNA
 
unaposoma makala zake usiwe unasoma kama hadithi inawezekana uelewa wako uko chini ndio maana unamlaumu
 

Nasikitika na nakuonea mno Huruma kwamba umechelewa sana kuujua huo Unafiki wake.
 
Acheni kumuonea wivu.. kweli ana mengi mazuri na anajisimamia bila uwoga. Mmamsema mtafikiri mnamtuma kuandika humu na anawageuka... eeeeeeh

Awamu ya Tano mazuri yake yanaonekana.. kama hampendi lieni tu.. maana na bado
 
Huyo ana vyeo vingine pia zaidi ya mnafik, huyo pia ni fataani, mzandik, muongo na punguani, kwa uchache.
 
Kwa mtazamo wangu. Paschal siyo mnafiki Bali Ni mtu wa mitindo tofauti ya uandishi. Maandishi yake ya Sasa yanafanana na mtindo wa mwanafalisafa mmoja aitwaye Yohani aliyeandika kitabu Cha Injili ya Yohani na kitabu Cha ufunuo katika Biblia. Huyu Ni Kati ya mitume/watumishi kumi na wawili wa Yesu.
Ukifatilia kwa undani Kama unajua kuchambua mitindo ya uandishi,utagundua Huyu ndugu kuwa Ni muwazi na ana hoja fikirishi zilizojificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…